msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania CUSNA Investment Limited yatoa msaada wa magongo 100 MOI

    Kampuni ya CUSNA Investment Limited imetoa msaada wa magongo 100 kwa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo (MOI) ikiwa ni sehemu ya mpango wake wa kusaidia makundi mbali mbali ya wahitaji. Akizungumza wakati wa makabidhiano ya msaada huo jana Februari 10, 2026, kwa niaba ya Mkurugenzi wa kampuni...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kusimamia tawi la biashara iliyombali km40

    Habar wakuu nimekuja kwenu kutaka msaada wa mawazo,nataka kupungua tawi la biashara ninayoifanya,tawi Hilo litakua km40 Toka nilipo nataka nimuweka mtu aniuzie Sasa ntawezaje kusimamia ili muuzaje asiweze kuja kimbia nahela ama kusababisha loss kwa maksudi,napia muuzaji kuweka vitu...
  3. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaomba msaada kutoka China kukamilisha ujenzi wa miundombinu ya AFCON 2027

    Dar es Salaam – Serikali imeiomba China kuunga mkono maendeleo ya miundombinu ya kisasa ili kuhakikisha Tanzania iko tayari kuwa mwenyeji mwenza wa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 pamoja na majirani zake wa Afrika Mashariki. Ombi hilo lilitolewa Ijumaa, Februari 6, na Naibu Waziri wa...
  4. Damaso

    JamiiForums Tanzania Tusipokuwa makini na watu kuwajibika, basi AFCON 2027 inaweza kuwa bonge la failure badala ya fahari

    Suala la kuwa mwenyeji wa AFCON 2027 kwa Tanzania, Kenya na Uganda ulitangazwa kama ushindi wa kihistoria kwa Afrika Mashariki. Lakini kadri siku zinavyosonga, ndivyo uhalisia unavyozidi kuwa mchungu. Ila nimeshangazwa sana na taarifa na habari za Tanzania kuomba msaada wa taifa la China mwaka...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaomba msaada China kukamilisha ujenzi wa miundombinu ya AFCON 2027

    Serikali yaiomba China kuunga mkono jitihada za kuendeleza miundombinu ya kisasa ili kuhakikisha Tanzania iko tayari kuwa mwenyeji mwenza wa Kombe la Mataifa ya Afrika 2027 (AFCON) pamoja na majirani zake wa Afrika Mashariki. Ombi hilo lilitolewa Ijumaa, Februari 6, na Naibu Waziri wa Mambo ya...
  6. Sasso

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Mawazo na Wadau wenye uhitaji au Interest kwenye Kuwekeza kwenye ufugaji hususani kuku

    Wakuu, natumai mko vyema, na kama kuna mwenye madhila Mwenyezi Mungu ampe faraja. To make a long story short, nilikua niko mkoa X for the long good six years nikiwa nimeajiriwa kwenye miradi lakini nikiwa nafanya ujasiriamali wa ufugaji (Tanga Region). Kufuga, kutotolesha, kuuza mayai, kuuza...
  7. Mtoto wa nzi

    JamiiForums Tanzania Msaada WiFi haiungi kwenye Laptop yangu..

    Habari. Msaada tafadhali... Ofisini hapa tumejichanga tumenunua Router ya ZTE model K12 unlimited bundle. Sasa issue inakuja kwenye kuunga kwenye Laptop yangu Dell Latitude 3340. Wenzangu wote zimeunga fresh tu. Wifi zingine za ofisini zote naziona lakini hii tulionunua peke yangu ndio siioni...
  8. jangos

    JamiiForums Tanzania Msaada wa vitabu

    mwenye softcopy za hivi vitabu naomba anisaidie. -To kill a mockingbird -Mindset -Outliers -Gravity's rainbow -The lord of the rings -Wings of fire -How to win friends & influence people -The monk who sold his ferrari -The power of habit -The obstacle in the way -The turtle theory -The alchemist
  9. BigTall

    JamiiForums Tanzania Said Mikidadi anaomba msaada wa kupata Sh Milioni 40 akatibiwe nchini India baada ya kushindikana Nchini

    Rais Wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, viongozi mbalimbali pamoja na wananchi kwa ujumla wameombwa kujitokeza kumchangia Said Mikidadi anayesumbuliwa na uvimbe mkubwa ili apate matibabu na kuokoa maisha yake. Said Mikidadi, anakabiliwa na tatizo la uvimbe linalohitaji kufanyiwa upasuaji wa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Msaada please, CCBRT wanakubali bima ya Macho NHIF?

    Nisaidie kujua kama CCBRT wanakubali NHIF ( bima ya afya ya Taifa serikali) kwa matibabu ya macho? ASANTE
  11. I

    JamiiForums Tanzania Msaada hivi vipele vimekuwa changamoto.

    habari wapendwa nasumbuliwa na hivi vipele naomba msaada kwa anaejua dawa nimezunguka mahospitalini bila mafanikio.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Uume na korodani ngozi inababuka sana inatoa magamba magamba kama nyoka. Msaada wa dawa

    Msaada wakuu nimejichunguza mda huu,,hasa ngozi chini ya uume kuanzia kwenye kichwa Hadi korodani zote mbili ngozi imebabuka haswaa Hadi magamna ya ngozi yanatika nafanya kuyavuta,pia uume chini wote tokea kwenye kichwa Hadi kwenye kinena nikifanya kupangusa uume ngozi inapukusika,hii itakua...
  13. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Ewe kijana/baba/mzee, kama una nafasi moja ya kutoa msaada. Msaidie mwanaume

    Dunia haijali chochote kuhusu mwanaume mpaka unapokufa, ukiwa tajiri au kuna namna walimwengu wananufaika nawe. Jamii imeshakua programmed kuwaonea huruma wanawake lakini mwanaume anapoanguka anaanguka peke yake. A woman cries and the while world comes running, a man cries and they call him...
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kurudi kumshukuru mtoa mada/comment kutokana na content yake kuwa na msaada, hamasa, hint au suluhisho kwako?

  15. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa sehemu ya kujishikiza wakuu; Hali ni mbaya

    Habari wakuu Week kadhaa nyuma nilileta Uzi wa kumba Akira ya medical lab ila Hadi Leo bado sijafanikiwa kupata Leo nakuja tena kwenu kama kuna MTU ana sehemu hata yakupata nauli Tu kwa siku pia nipate hata Ile sabbu Tu yakunitoa nyumbani Elimu yangu NI diploma, Nina skills kadhaa kama...
  16. mbeyu T

    JamiiForums Tanzania Wadau, msaada kidogo hapa

    Mimi ni mwanafunzi wa MSc in Data Science (UDSM). Kwa upande wa research, mambo yamekuwa magumu sana hadi nimeshindwa kumaliza kwa wakati. Kwa hiyo naangalia option ya kuhamia chuo kingine ili niweze kumaliza masters yangu. Sasa changamoto niliyokutana nayo ni hii: Chuo ninachotaka kuhamia...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Huduma ya Maji kwa Wakazi wa Ubungo na Mabibo hakuna, ni kama tunaomba msaada

    Hali ya maji Ubungo ni mbaya sana na DAWASA wapo kimya, hawatoi solution kwa Wananchi, kuna baadhi ya maeneo wiki ya nne sasa hatujapata maji, wenzetu wa Mabibo Makutano - Mtaa wa Kanuni nao ndio kabisa, maji kuna muda yanatoka kidogo tena kwa saa moja tu hali ambayo imedumu tangu Oktoba 2025...
  18. Siri yangu

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada kwenye picha hii

    Wakuu Samahanini kwenye hii picha nimeitoa kwenye ukurasa wa ofisi ya waziri mkuu wakisema kuwa picha hii ni vijana waliokuwa wanaagwa na kwenda kufanya kazi ya boda boda huko UAE ama falme za kiarabu . Swali: Hawa kweli ni vijana wanaoenda kuendesha boda boda uarabuni na je ni kweli uarabuni...
  19. geofreyngaga

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani!!!

    Habari wana bodi Naomba uzoefu wenu kwa mtu yeyote aliewai tumia hii mashine winchi hasa kwenye kazi za kubebea zege. Aina gani nzuri, tani ngapi nzuri kwa ujenzi wetu wa wastani, matumizi yake kama kweli inafaa mtu wa ujenzi kua nayo au kama kuna lolote la ziada please share tufaidike sote...
  20. Seran

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kununua gari ndogo (IST)

    Habari zenu, Naomba msaada kwa mtu anayefahamu jinsi ya kuagiza gari nje, gari ndogo aina ya Ist, nimeulizia kwa makampuni ninayoyafahamu naona bei hazipishani na yard japo wanasema bei imepanda(17-18m) Briefly, rafkiangu anataka kuagiza gari (mwenyewe)aina hiyo kupunguza gharama, bila...
Back
Top Bottom