msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Msaada Ajira Portal NIOMBE IPI?

    Kwenye tangazo la kazi Serikalini, kuna nafasi 3 katika shirika moja, Marketing, customer service, sales, business development Kote huko nina vigezo vya kuomba, je ninaweza kuomba zote? Na nikiomba zote, ninaweza kutokea kwenye interview zote? Na je barua ya maombi IANDIKWE KWA MKONO AU...
  2. BumbleBeeBot

    JamiiForums Tanzania Msaada wa hospital/Dermatologist Mbeya

    Habari, kama Kuna mtu anafahamu hospital nzuri Mbeya yenye wataalam wa magonjwa ya ngozi au kama unamfahamu dermatologist hapa Mbeya unisaidie kuniunganisha nae. Natanguliza shukrani
  3. mbasa ya konge

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka: Demu wangu ameniambia tokea nianze kudate na yeye sijawahi kumridhisha

    Wakuu nimeabika na kudhaurika.yaani demu wangu ameniambia tokea nianze kudate na yeye sijawahi kumridhisha Wala kumfikisha kileleni. Wakuu kwa yoyote mwenye mkongo au dawa yoyote anielekeze Ili niweze kutumia nikamkomeshe. Ameniudhi sana yaani Huwa najua namshughulikia vizuri kumbe simridhishi...
  4. GANG MO

    JamiiForums Tanzania Najaribu ku log in kwenye mfumo wa mikopo HESLB lakini inashindikana

    Wadau habari ya jioni! samahani kuna dogo aliomba, mkopo mwaka jana alikosa. Sasa anataka kuomba mkopo tena. Lakini ameshalipia elfu 30 lakini akijaribu kulog in mfumo haufunguki. Shida ni nini wadau?
  5. Jackpiano

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhusiano msaada wa kifedha kutoka kwa sponsa unakubaliana na hili tujadili

    Uhusiano na Msaada wa Kifedha Kutoka kwa “Sponsa” — Ushauri Wenu Body ya thread: Siku moja kijana akiwa na simu ya mpenzi wake, akaona meseji zinazomuonyesha msichana akichat na mwanaume mwingine. Baada ya kumuuliza, msichana alikiri kuwa huyo mwanaume ni “sponsa” anayemlipia ada ya chuo na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye kujaza fomu ya mkopo HESLB

    Kwenye kujaza fomu ya mkopo HESLB kama majina ya mama yaliyopo kwenye cheti cha mtoto Cha kuzaliwa ni tofauti na majina yake yaliyopo kwenye kitambulisho chake kuzaliwa ni tofauti na majina yaliyopo kwenye kitambulisho chake cha taifa na hana cheti cha kuzaliwa inachukuliwa hatua gani hapo na...
  7. Mwanakulipata

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Fani niliyosomea imegawanyika mara mbili AJIRA PORTAL

    Niende moja kwa moja, Nimesoma Ordinary Diploma in Laboratory science and Technology... Pale kwenye kuchagua kozi kuna Diploma in Laboratory science and technology na pia kuna Diploma in Laboratory technology Changamoto ni kuwa nimechagua Diploma In Science and Laboratory Technology...kazi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada ninaomba kuambiwa ni chuo gani ? Kina toa shahada ya ufuatiliaji na utekelezaji wa miradi kwa Tanzania

    Msaada wa vyuo au chuo kinacho toa shahada ya ufuatiliaji na utekelezaji wa miradi Tanzania
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kwa walioko nje ya mkoa wa Mwanza na unahitaji msaada, wasiliana nasi tukusaidie

    Tumeamua kutoa huduma mbalimbali ndani ya Mkoa wa Mwanza (Wilaya zote) ili kuwasaidia watanzania wenzetu walioko mbali na Mkoa huu. Wasiliana nasi ili tukusaidie kupunguza changamoto Kama si kuimaliza kabisa - unayokabiliana nayo kwa vile uko mbali na Mwanza. Kwa wenye uhitaji huo njoo...
  10. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye jambo hili,linanitatiza kidogo

    Wasalaam. Hii ni Kwa wanaume wenzangu japo hata akina dada,mama mnaweza toa ushauri. Iko hivi, Juzi, yaani jumamosi, Nilijichanganya kwa kuhisi nimepotelewa na kifaa changu ndani cha muhimu mno,yaani mno. Sasa kumbe kuna mtu aliniazima na Mimi nikasahau kabisa kuwa nimeazimisha Mtu. Basi...
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijui nimewaambukiza wangapi ila wengi ni waume za watu

    Mimi ni mwanafunzi wa chuo, binti mwenye sura ya kawaida lakini anayejua kuitumia. Natabasamu na kuongea kwa upole, lakini ndani yangu nimebeba maumivu makali sana. Na leo, nimeamua kusema ukweli wangu, kwa sababu nimechoka kubeba mzigo huu peke yangu. Nilipoingia darasa la sita, familia...
  12. Fursakibao

    JamiiForums Tanzania Msaada Kuhusu kampuni ya Prestige Auto Export

    Habari za mda huu wadau. Naomba kama kuna mtu humu aliewahi kununua Gari Prestige Auto Export anisaidie kuhakiki kama hizi taarifa na account ni sahihi. Nauliza kwa Niagara ya jirani anaogopa kupigwa.
  13. stephot

    JamiiForums Tanzania Msaada kuinstall windows 11 kwenye Microsoft Surface Laptop

    Nimekwama wadau,kama kichwa cha habari kinavyoeleza,lengo langu ni kuweka windows 11 version 23H2,nimefuata taratibu zote za jinsi ya kuinstall windows 11 kwenye laptop yangu ya Microsoft Surface lakini kila nikifika hatua ya mwisho inarudia window iliopo ambayo ni 11 version 24H2...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Je, Tanzania kuna Trust Funds

    Habari zenu wanajukwaa. Nimekuja kwenu kujua endapo mimi kama mzazi ninaweza kumwanzishia mtoto wangu Trust fund atakayoweza kupata manufaa yake akishakuwa mtu mzima? Naona kwenye filamu huko Marekani na Ulaya kuna huu utaratibu wa kiasi gani beneficiary atapokea, kwa muda gani na nani...
  15. Solo Traveller

    JamiiForums Tanzania Msaada, Mambo ya kuzingatia kwenye zoom meeting interview

    Nimepata fursa ya kufanya interview kwenye kampuni ya utalii kutoka Egypt Kupitia zoom meeting Sasa jamaa wamenitumia email kuwa saa kumi na moja kamili niwe onair Nizingatie mambo Gani? Wakiniuliza experience mana KAZI ni mambo ya utalii wakati Mimi ni mtalaamu wa sayansi ya jamii...
  16. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Msaada Bei ya Tank la Maji la Kiboko (2000L au zaidi) kwa aliyewahi kununua tafadhali

    Habari wana JF, Naomba msaada kwa yeyote aliye wahi kununua au anayefahamu bei za tanks za Kiboko (Polytank) za kuhifadhia maji – hasa zile za ujazo wa 2000 L liters au zaidi. Nimepitia kurasa zao za Instagram na Facebook (@kibokoplasticstz) lakini hawajaweka bei, na hata namba zao za simu...
  17. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Msaada kifua kisichopona

    Nimekuwa nikisumbuliwa na kifua na mafua yasiyopona, naombeni msaada mwenye kufahamu dawa au wapi ntapata tiba, Asanteni.
  18. adriz

    JamiiForums Tanzania Msaada : Changamoto nimekwama hapa kwenye kuomba mkopo HELSB naisovu vipi hii ?

    Moja kwa moja.. Namuombea dogo mkopo kwenye kipengele Cha kuweka namba ya Napa karibia siku ya Tatu inasema hivyo , nimemwambia anitumie barua ya Napa yenye hiyo namba labda alivyonitumia alikosea , akanitumia nimehakikisha ila bado sasa sijajua tatizo ni Nini ? Naomba Msaada wakuu..
  19. S

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa HESLB na RITA Unatuumiza Maskini – Msaada Unahitajika Haraka

    Ndugu wanajamii, Naitwa Sese, Naandika ujumbe huu nikiwa na maumivu ya moyo na sintofahamu kubwa juu ya hatima ya mtoto mdogo ninayemshughulikia kwa ajili ya mkopo wa elimu ya juu. Katika hatua ya kujaza fomu ya mkopo (HESLB), kwenye kipengele cha preliminary information, ukiweka taarifa za...
  20. Naxria abdalla

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa neno “moyo kulipuka”

    Habari husika na mada apo juu naomba kuuliza mtu akisema moyo kulipuka ndio ana maana gani?
Back
Top Bottom