Wataalam nawasalimu,
Moja Kwa Moja nakuja kwenye tatizo.
Juzi alhamis mwanangu mdogo alirudi kutoka shule akiwa anachechemea kidole gumba hakigusi chini anakipandisha juu ya nyayo.
Nilimuangalia nikaona kama ana mwiba umemchoma.Sikumtoa nikawaza nimuwekee utomvu wa papai Ili iwe rahisi kuutoa...