Msaada ulaji mzuri katika zoezi la kushusha presha

Abdull hameed

Senior Member
Joined
Jan 29, 2025
Posts
112
Reaction score
213
Assalam alykum,bwana yesu asifiwe,hali zenu ndugu wana jamvi kwa upole sana naomba munipe maelekezo juu ya ulaji wa matunda wakati nipo katika hali ya kupambana kushusha presha je ni matunda yote naruhusiwa kula km ndizi,tikitik naomba kuelekezwa
 
ChatGpt anaweza kukupangia Kila kitu piga nae story ila all in all imarisha kutembea asubuhi na jioni
Acha pombe na sigara kama na watu wanaokupenda
 
Assalam alykum,bwana yesu asifiwe,hali zenu ndugu wana jamvi kwa upole sana naomba munipe maelekezo juu ya ulaji wa matunda wakati nipo katika hali ya kupambana kushusha presha je ni matunda yote naruhusiwa kula km ndizi,tikitik naomba kuelekezwa
Hamidu Mpishi hujambo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom