Picha: Shamila (Shamy_BK) ndio mrembo mwenye shepu kwasasa bongo

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Dec 8, 2015
1,397
3,490
Huyu mrembo ana trend sana huko IG naona ameanza kumpiku yule Poshy Queen.

Hivi hawa wanakula nini jamani maana sio kwa shepu hizi? Kwasasa sidhani kama kuna mrembo anamzidi huyu bibie.
IMG_0276.jpg

IMG_0280.jpg

IMG_0277.jpg

IMG_0282.jpg

IMG_0277.jpg

IMG_0278.jpg

IMG_0281.jpg
 
Namuona Instagram ni mmiliki wa duka
Lakini telegram anauzwa kwa laki moja tu..
Sijawahi elewa wapi ndo kuna ukweli..

Same with sanchoka
Telegram anauzwa
Instagram ni star..

Sijawahi elewa wapi ndo uongo wapi ukweli
Uko Telegram kuna wauzaji waliochoka siamini kama anaweza kujishusha vyeo kujiuza kule. Unaoona wanapost picha yake ni wale madarali wanaojifanya wana connection ukiwatumia elfu 8 yao wanakupa namba ya tapeli naye anaendeleza chain ya utapeli.

Kuhusu duka sijawahi liona wala sijui ila kuna wauzaji kule Telegram wana IG account zinazodai wanauza nguo. Lolote lawezekana
 
Inategemea NTU na NTU Mkuu, wengine huo mshepu ndiyo ugonjwa wao.
To be honest mie huwa sivutiwi na wasichana wa dizaini hii kabisa, napenda sana awe na kijishep flan hivi ila kiwe na mvuto, ukishakuwa na zigo kama hili nakuwa sikuhitaji kabisaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom