naisha nasri
Member
- Apr 25, 2016
- 67
- 64
Nipo kwenye mahusiano na mrembo takribani miezi sita hivi. Huwa anakuja kwangu nakuspendi nights. Kinachonishangaza sana ni kwamba juzi kati amekorofishana na baba yake na ameamua kwenda kukaa na rafiki yake hostel.
Hana kazi na wala biashara. Sijajua sababu ya kwenda hostel coz at times she depend on me. Sielewi jamani kwa nini ameamua hivi na sitaki kumuacha coz she is so sweet.
Hana kazi na wala biashara. Sijajua sababu ya kwenda hostel coz at times she depend on me. Sielewi jamani kwa nini ameamua hivi na sitaki kumuacha coz she is so sweet.