mradi

  1. JamiiForums Tanzania Mradi wa ujenzi wa mji serikali (Mtumba - Dodoma): Ushauri wangu kwa CS Hussein Katanga na VP Dkt. Phillip Mpango

    Habarini wakuu, Leo napenda nami pia kupongeza uteuzi wa Mh. MPANGO na Mh. KATANGA kwa nafasi ambazo wameaminiwa na Mheshimiwa Rais na taifa kutumikia. Nijielekeze ktk mchango wangu wa mawazo juu ya mradi muhimu wa ujenzi wa mji wa serikali, nikichagizwa na furaha ya kuhakikishiwa na Rais wetu...
  2. JamiiForums Tanzania Hatua za kufuata ili kuanzisha mradi wa kuku kwa faida zaidi

    HATUA ZA KUFUATA ILI KUANZISHA MRADI WA KUKU: 👆Kutokana na wengi sana kunitafuta kuomba ushauri, hasa wafugaji wageni au wapya wanao anza kwamba waanzaje mradi wa kuku 👇Zifuatazo ni hatua sahihi za kufuata ili kuwa na mradi endelevu wa kuku 1.Moja Jenga banda la kufugia kuku wako, Kabla ya...
  3. JamiiForums Tanzania Nani anajali Mradi wangu?

    Katika utafutaji wa fedha kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo (grant support for community projects), vyanzo mbalimbali huweza kutumika, vyanzo hivyo hujumuisha; Taasisi Binafsi (Private Foundations) mfano; Foundation for Civil Society, Women Fund Tanzania n.k. Taasisi za Kifamilia...
  4. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Maji aagiza fundi wa mradi awekwe ndani

    Huyu ni naibu waziri wa maji, Meryprisca Mahundi. Baada ya kuchukizwa na kitendo alichokifanya fundi Imani Mussa, ambaye ni fundi wa mradi wa maji huko Kyenda, wilaya ya Ngara, mkoani Kagera. Inadaiwa fundi alitaka kuupeleka msafara wa Bi. Naibu waziri kwenye sehemu tofauti na sehemu iliyo na...
  5. JamiiForums Tanzania Hoteli ya nyota Tatu inajengwa Chato, Wana-CCM mnafurahishwa na kitendo cha kupeleka kila mradi wa ujenzi Chato?

    Maelezo ya Picha: Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja(Kulia) akikagua hoteli ya nyota tatu inayojengwa na Hifadhi za Taifa Tanzania inayojengwa Wilayani Chato mkoani Geita. Mwalimu Nyerere akijua kabisa kuwa kuku wa taifa lazima aliwe na wote, aliamua almasi inayochimbwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi wilayani Ludewa mkoani Njombe walalamikia ubovu wa mradi wa umeme madope hydro power

    Wananchi wa Kata sita zinazopitiwa na Mradi wa Umeme wa Madope Hydro uliojengwa kwenye Kata ya Lugarawa Wilayani Ludewa Mkoa wa Njombe wameulalamikia mradi huo kwa kushindwa kuwasaidia tangu uanzishwe mwaka 2016. Baadhi yao akiwemo Bw, Bosco Mgina na Sabinus Haule wakazi wa Kijiji na Kta ya...
  7. JamiiForums Tanzania Piga ua, mradi wa JKN Power Plant (Stiegler's Gorge) lazima ukamilike

    Binadamu tuna maneno sana. Lakini kati ya vitu vyote, Magufuli atakumbukwa kwa vizazi vingi vikavyo kwa kutekeleza mradi wa Umeme wa JK Nyerere Power plant kule Stieglers Gorge. Huu mradi kiuchumi ni game changer. Umeme rahisi utapunguza sana gharama za uzalishaji na hata kimaisha kwa matumizi...
  8. JamiiForums Tanzania TANESCO kujenga bwawa la kufua umeme mto Malagarasi litakaogharimu bilioni 330 kwa ufadhili wa Benki ya Afrika

    Baada ya kupata ahadi ya ufadhili wa kifedha wa mradi wa bwawa la kufua umeme mto Malagarasi, shirika la umeme nchini limetangaza tenda ya kumtafuta mshauri kukamisha mradi huo. Mradi huu wenye thamani ya zaidi ya dola za kimarekani milioni 144 utajengwa kwenye maporomoko ya Igamba kwenye mto...
  9. J

    JamiiForums Tanzania DC Gondwe: Serikali hairidhishwi na kasi ya Ujenzi wa mradi wa Mwendo kasi (BRT)

    Mkuu wa wilaya ya Temeke Godwin Gondwe amesema serikali ya Rais Magufuli hairidhishwi na kasi ya mkandarasi katika mradi wa ujenzi wa miundombinu ya mwendo kasi wilayani Temeke. Gondwe amempa miezi mitatu mkandarasi huyo kupeleka mpango kazi wa ujenzi huo ofisini kwake. Source ITV habari...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma: Ujenzi wa Mradi wa Kituo cha Kisasa cha Michezo unaendelea kwa kasi Kigamboni

    Hongera kwa Serikali ya awamu ya Tano inayoongozwa na Mzalendo nambari moja Dkt John Pombe Magufuli kwa kuthamini na kuwezesha kuwa na mazingira mazuri ya michezo Ujenzi huo unasimamiwa na Shirikisho la Soka Nchini Tanzania ( TFF) maeneo ya Kigamboni Jijini Dar es Salaam.
  11. JamiiForums Tanzania Mzee Butiku: Hili la Rais kutoka au kutotoka ni la utaratibu

    Akimalizia mazungumzo yake kwenye mdahalo wa CCM unaorushwa mubashara TBC muda huu Mzee Butiku ameuliza "mbona Uingereza malkia yupo....., mbona Angela Merkel yupo miaka 16? Mradi tufate taratibu" ======= MZEE BUTIKU: Mimi nampenda sana Rais Magufuli, ngoja niseme hili hapa leo. Watu wengi...
  12. JamiiForums Tanzania Dalili za mvua ni mawingu: Mradi wa SGR hautakamilika wote ndani ya utawala wa Magufuli

    Bandugu sehemu pekee ya kuambiana ukweli hapa Tanzania imebaki Jf maana sioni gazeti, radio au Tv ambayo inaweza kujilipua na kusema ukweli au kutoa wazo lenye mantiki ya ukweli ili kuiambia ukweli serikali yetu. Mfano ni dhahiri kuwa ujenzi wa Sgr toka Dar to Morogoro ulipangwa kukamilika 2019...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azindua mradi wa maji Kagongwa - Kahama

    Rais John Magufuli akizindua mradi wa maji ulioko Kagongwa, Isaka - Kahama Mradi umegharimu takriban Tsh bilioni 23.157 fedha ambazo zimetolewa na serikali ya Tanzania. Matenki yanajaza lita milioni 1.6 Serikali ilitoa tsh. 24 mkandarasi alitumia Tsh bilioni 23.157
  14. JamiiForums Tanzania Tangazo: Kongamano la wadau kujadili fursa katika mradi wa SGR

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC) kwa Kushirikiana na Taasisi ya Sekta Binafsi (TPSF) inapenda kuwaalika wafanyabiashara, watoa huduma, wakandarasi, wasafirishaji wa mizigo na wadau wote katika Kongamano la wadau utakaofanyika jijini Mwanza katika...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali yaanza mchakato wa ujenzi wa Mradi Mkubwa wa Umeme Mto Ruhudji Njombe

    Timu ya Watalaamu wa Serikali imefika na kufanya ukaguzi wa kwanza katika maporomoko ya mto Ruhudji katika kijiji cha Itipula mkoani Njombe ambao unatarajiwa kujengwa mradi mkubwa wa umeme utakaozalisha megawats 358 za umeme. Mradi huo ambao utajengwa katika kipindi cha miezi 36 unaotarajiwa...
  16. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Madini ya Montero kuishitaki Serikali ya Tanzania ikidai fidia kwa mradi wa Wigu Hill

    Naona Mabeberu yameingia kazini tena. Kampuni ya Montero imeazimia kuishitaki serikali ya Tanzania ikikusudia kudai fidia kutokana na kupoteza mradi wake wa utafiti wa madini wa Wigu Hill uliotokana na mabadiliko ya sheria ya madini ya mwaka 2010 iliyofuta baadhi ya leseni zilizokuwa zikitolewa...
  17. JamiiForums Tanzania Maelekezo ya Naibu Waziri wa Afya kwa watendaji alipotembelea mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Wilaya ya Songwe

    Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewataka watendaji wanaosimamia ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe kufanya kazi kwa weledi na kuzingatia taratibu za mawasiliano zilizopo serikalini Amewataka watendaji hao kutoa taarifa za maendeleo ya ujenzi wa mradi huo katika mamlaka...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri Jafo atamani Halmashauri zijitegemee baada kutembelea mradi wa Government City Complex wa jijini Dodoma

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe, Selemani Jafo amesema ndani ya miaka mitatu ijayo matamanio yake ni kuona Halmashauri zinajitegemea zenyewe kupitia mapato ya ndani na kwamba ifike muda ziwe zinalipa watumishi wake mishahara. “Nikiangalia hoteli...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali yavunja mkataba na Mkandarasi wa mradi wa maji Same - Korogwe kwa kushindwa kuukamilisha kwa wakati

    Serikali imevunja mkataba na Mkandarasi aliyekuwa akitekeleza mradi mkubwa wa maji wa Same, Mwanga na korogwe, kutokana na kushindwa kuukamilisha kwa wakati. Mradi huo ambao umegharimu zaidi ya Sh bilioni 262, ulipaswa kukamilika Mwaka 2017 na kuhudumia jumla ya wananchi 438,000. Waziri wa...
  20. JamiiForums Tanzania Wazo la mradi "Digital marketing agency", initial capital 150m

    Habari wakuu. Wazo la mradi wa biashara ya matangazo. Wazo linahusiana na kufungua kampuni itakayokuwa inatoa huduma ya kufanya matangazo ya kibiashara katika mfumo wa kidigitali (digital Marketing agency),katika mfumo na mtindo ambao Tanzania haujafanyika bado,kwa nchi nyingine tayari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…