mradi

  1. Mzee Wa Republican

    JamiiForums Tanzania Mradi wa bandari ya Tanga ulifia wapi?

    Hakuna asiyeujua umuhimu wa bandari kwa maendeleo mapana ya nchi yoyote iliyojaliwa kuwa nayo. Tunaweza kushabihisha umuhimu huo kwa kuangalia mifano halisi ya bandari zilivyochochea uchumi wa mataifa kama Singapore, Vietnam, Malaysia (bandari ya Klang), China (bandari za Dalian, Xiamen...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tume ya Nguvu ya Atomiki Tanzania, yatekeleza Mradi wa Ujenzi wa Maabara Changamani awamu ya pili kwa ufanisi

    KAMATI YA BUNGE YAKOSHWA NA KASI YA UJENZI NA UBORA MAABARA CHANGAMANI TAEC Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imeipongeza Tume ya Nguvu ya Atomiki Tanzania kwa kutekeleza Mradi wa Ujenzi wa Maabara Changamani awamu ya pili kwa ufanisi. Akizungumza kwa niaba ya Kamati...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wananchi walalamika kunyimwa ajira mradi wa SGR Mwanza-Isaka

    Kundi la Wananchi katika eneo la Fela wilayani Misungwi mkoani Mwanza unapojengwa mradi wa Reli ya Kisasa (SGR), kati ya Mwanza hadi Isaka mkoani Shinyanga, limesimamisha msafara wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu huku wakitoa kilio cha kunyimwa ajira katika mradi huo. Wananchi hao...
  4. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Mwambieni Rais Samia amalizie mradi wa umeme wa mto Rufiji

    Najua utekelezaji wa mradi huu umeshuka Sana kwa Sasa! Hadi mwaka huu tungekuwa kwenye hatua za Mwisho za utekelezaji wa mradi huu! Lakini hakuna cha maana Hadi Sasa! Mkumbuke ni fedha za kodi za watanzania ndio zilizozikwa kwenye huo mradi! Je mmekubali kweli fedha zetu zizikwe na mradi iende...
  5. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Mradi wa LNG: Tukicheza Vizuri wakati huu ni hakika Umasikini tutausahau Tanzania na Samia anaweza kuwa Rais Bora zaidi kuwahi kutokea Tanzania

    Amani iwe nanyi wadau, Hali ya bara ya Ulaya na Asia sio nzuri kwa sasa, Urusi anaonesha ubabe wa waziwazi kwa kuanza kurudisha maeneo ya uliokuwa Umoja wa nchi za kisovieti. Wiki hii imeanza kwa moto baada ya Rais Putin kutangaza kuyatambua maeneo ya Donesk na Luhansk kuwa nchi huru ikiwa ni...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Mradi wa uwekaji wa Anuani za Makazi usimamiwe kwa weledi

    Pongezi nyingi sana kwa Serikali ya awamu ya 6 chini ya Amiri Jeshi Mkuu Samia Suluhu kwa kuamua kufanya zoezi hili muhimu na nyeti kwa usalama wa nchi yetu lakini pia kwa uchumi wa Taifa kwa ujumla. Zoezi hili ni muhimu na nyeti sana, ni zoezi mtambuka kwani linagusa kila wizara, kila sekta...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kumpenda "lumpen" ili mradi ana via vya uzazi

    Nimewachoka hawa limbukeni wanaojiita wasomi. Bahati nzuri nimepata huyu asiyejua mengi, aliyejaa utu, utii na ubinadamu. Akiombwa anatoa, akiambiwa anasikiliza na akibembelezwa anabembelezeka. Usaliti kwake ni zaidi ya dhambi....yaani ni mwiko. Hajui mengi hivyo hajali mengi, maana wahenga...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Faida za mradi wa SGR ukikamilika

    FAIDA ZA MRADI WA SGR UKIKAMILIKA 1. Kuongeza soko la ndani na kuimarisha Shilingi ya Tanzania (economy localization) hii ni kutokana treni kutumia umeme utakaozalishwa nchini, kama tungetumia mafuta diesel ambayo ni lazima kuagiza ingeongeza gharama kubwa kwa uendeshaji na matumizi ya akiba ya...
  9. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Wallace Karia simama imara. Kuna watu wanakusaka kila pembe ili mradi tu

    Kinachoendelea ni kwamba kuna genge linaloongozwa, au kama si kuratibiwa na (Mdau mmoja wa michezo mkubwa kutoka radio iliyoko Maeneo ya DARAJANI Barabara ya KAWE). Kwa kutumia watu wanaopatikana au kwa mgongo wa club moja kubwa hivi hapa nchini yenye jina la Mnyama wa Pori. Wanatumia kila...
  10. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Bwawa la Nyerere tulijilisha upepo au ndiyo mwendelezo wa siasa chafu za kibepari?

    Wazungu husema hivi "Once is an accident, Twice is a Coincidence, but Thrice is a Pattern". Hapa namaanisha nini, duniani kote ambako miradi ya namna hii yenye lengo la kuwakwamua wananchi kwenye lindi la umasikini lazima kuwepo na malalamiko. Tena nimefuatilia kwa umakini na kufahamu kwamba...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe: Tuko kwenye hatua ya mwanzo ya mradi wa kesho imara

    WAZIRI BASHE: TUKO KWENYE HATUA YA MWANZO YA MRADI WA KESHO IMARA. "Nataka kukufahamisha kuhusu ‘Building a better tomorrow’ project Mradi huu uliopo hatua za mwanzo sisi wizara tutatenga fedha, kima cha chini 5B kwa kuanzia. Kwasababu: Vijana hawaendi shambani na hawana motisha kuingia katika...
  12. Replica

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amteua Zuhura Yunus kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Jaffar Haniu kupangiwa kazi nyingine

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu amemteua aliyekuwa mtangazaji wa BBC, Zuhura Yunus kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais-Ikulu akimrithi Jaffar Haniu. Mwezi uliopita Zuhura aliaga BBC na hakusema anapoelekea. Kumbukumbu zinaonyesha Zuhuru atakuwa mwanamke wa kwanza kushika...
  13. chiembe

    JamiiForums Tanzania Bashungwa, John Paul Wanga hafai kuendelea na ukurugenzi, ukiacha Jimbo la Musukuma, mradi wa viwanja Buwelu East alitapeli,Waziri wa ardhi fuatilia

    John Paul Wanga, ni sehemu ya ukoo wa magufuli, amelalamikiwa sana na Mbunge Musukuma kwa ufisadi katika halmashauri yake, lakini alipokuwa Ilemela, kilikuwa na mradi wa Buswelu East wa viwanja, walitapeli kwamba watapeleka barabara,maji, umeme, vyote havipo, na tunaambiwa Hela nyingi...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yazindua mradi wa akili bandia

    Dodoma. Serikali ya Tanzania imezindua mradi wa maabara ya akili bandia (artificial intelligence) utakaosaidia kurahisisha shughuli za maendeleo nchini. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mohamed Khamis Abdullah akizindua mradi huo katika Chuo Kikuu...
  15. Ze Bulldozer

    JamiiForums Tanzania Maswa: Wakazi elfu 10 kunufaika na mradi wa maji wa Rais Samia wa Isulilo

    MRADI wa Maji ya bomba wa kijiji cha Isulilo katika wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu kuwanufaisha wananchi wapatao 10,497. Mradi huo unatekelezwa na wakala wa maji na usafi wa mazingira vijijini(Ruwasa) kwa ufadhili wa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, Meneja wa Ruwasa wilaya ya...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Mwaka sasa unaisha lakini Serikali haijamalizia hata mradi mkubwa mmoja

    Kwa uchunguzi wangu miradi mingi ya ujenzi ya serkali iko nyuma sana tokea utawala huu wa mama Samia uingie! Natoa mifano ifatayo! Ujenzi wa barabara ya Kumara mpaka kibaha ulikuwa umekamilika kwa zaidi ya asilimia 94 lakini mpaka sasa hakuna umaliziaji wa barabara hiyo. Ujenziwa daraja...
  17. evangelical

    JamiiForums Tanzania WAZEE WA KWAMSISI HANDENI WACHOMOA BETRI GARI YA MRADI YAPOTEA NJIANI BAADA YA KULIPWA MILIONI MOJA KATI YA 15 WALIZOTAKA WALIPWE

    Kuna taarifa za kupotea gari ya maradi wa ujenzi wa barabara ya afrika mashariki inayopita kata ya kwa msisi handeni tanga. mkandarasi wa barabara iyo alikuwa anapeleka gari kwa ajili ya kazi hiyo sasa gari moja halijafika kwa msisi handeni kutokea bandari ya dsm Ujenzi huo unandelea baada ya...
  18. K

    JamiiForums Tanzania REA imetelekeza Mradi wa Kilosa Vijijini, Mfuruni na Idete

    Tangu mwaka 2016 Rea ili Saini mkataba no:AE/008/2016-17/HQ/G/11 -Lot 6 na Mkandarasi State Grid ya DSM. Mshangao Mkandarasi huyo alileta nguzo mwaka 2016 ambazo mpaka leo haziko sehemu ya Mradi na masalia zimeteketezwa na moto. Hii imekaaje May 2021 imekuja SUMA JKT tunaona wanaanza na...
  19. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Unaponunua viwanja vya mradi wa viwanja, unaweza kufahamu ujirani?

    Unaponunua nyumba au kiwanja ni uwekezaji wa kudumu. Ni muhimu ufahamu; Kiwango cha uhakifu, Utoro na mahudhurio ya watoto ma shuleni, Kiwango cha kelele na udhibiti wake. Haya mambo uyafahamu wakati umehamia, yanaweza hata kuathiri thamani ya nyumba au kiwanja unapotaka kukiuza. Mfano tu...
  20. J

    JamiiForums Tanzania China: Hatuna nia ya kukamata mradi wowote Afrika kwa sababu ya mkopo

    No project in Africa has been ‘seized’ by China due to inability to repay loans: Chinese Embassy in Uganda By Global TimesPublished: Nov 29, 2021 01:08 PM Updated: Nov 29, 2021 01:39 PM Aerial photo taken on July 11, 2020 shows the Karuma hydropower project under construction along the River...
Back
Top Bottom