Kwa uchunguzi wangu miradi mingi ya ujenzi ya serkali iko nyuma sana tokea utawala huu wa mama Samia uingie! Natoa mifano ifatayo!
Ujenzi wa barabara ya Kumara mpaka kibaha ulikuwa umekamilika kwa zaidi ya asilimia 94 lakini mpaka sasa hakuna umaliziaji wa barabara hiyo.
Ujenziwa daraja mahususi la mto wami ukipita maeneo hayo unaona kabisa mwenendo wake wa ujenzi unasuasua sana.
Ujenzi wa barabara za mitaa hususani Dar kama umesimama kidogo mwendo kasi ya Mbagala wanajitahidi kujikongoja na pia ujenzi wa fly over za chang'ombe na uhasibu uko na kasi ndogo sana.
Ujenzi wa daraja la Busisi nao uko chini na majuzi tumeona watu wakihujumu pia tumemuona Mbarawa akiwa huko ila hali pia si shwari, Ujenzi wa meli ya MV Mwanza nao polepole sana.
Ujenzi wa terminal airport ya mwanza umaliziaji haufanyiki!
na mikoa mingine pia kasi ya ujenzi sio nzuri.
Hata barabara ya kuunganisha tabora kigoma naona mkandarasi anaruruka tu vipande kadhaa havijakamilika!
Upande wa Kakonko kuja kasulu napo changamoto Nyanza Roads Construction huko chini sana.
Lakini yote hayo sio tatizo ila serkali bado inatuamimisha kuwa inakusanya kodi zaidi ya kipindi cha awamu ya tano ikiwemo na tozo katika miamala!
Bila kuwepo kwa fedha za UVICO ambazo zinaifanya serkali ionekane kuna kitu inafanya kwa ujenzi wa madarasa na zahanati hakuna kitu kingine cha maana serkali ingeonekana imefanya!
Natoa rai kwa Serkali ijitahidi sana kusimamia miradi hii mahususi kwa taifa letu ikamilike!