mpya

  1. JamiiForums Tanzania Naipongeza serikali kwa kuanzisha kodi hii ya nyumba na sehemu za biashara kwa wamiliki

    Nipende kuipongeza serekali yetu tukufu kwa kubuni kodi ya upangishaji hasa hasa ikiwalenga wenye majengo ya kimakazi au ya kibiashara hakika hapa kulikuwa na fedha nyingi mno zilizokuwa zinapotea na kulikosesha taifa letu mapato stahili na halali. Ispokuwa ombi langu ni kwamba ingelipaswa...
  2. JamiiForums Tanzania Mahusiano kati ya namba ya NIDA na mfumo wa ajira yakoje? Dogo kazinguliwa ajira mpya, naomba ushauri wenu

    Dogo ni mwalimu idara ya msingi, Majina yake ya vyeti vyote ni MARIAM ELIAS (mfano) Majina ya Nida ni MARIAM ELIAS MMASA. Wakati wa kuomba ajira Tamisemi details zilikubali vizuri kabisa na mimi ndiye nilimuombea. Selection zimetoka kachaguliwa lakini halmashauri wanamiweka kwenye mfumo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar yaridhia mwaka mpya wa kiislamu kuwa siku ya kitaifa

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametangaza Siku ya Mwaka Mpya wa Kiislamu kuwa Sikukuu ya Kitaifa Zanzibar. Dkt. Mwinyi ametangaza siku ya Jumatano ya Julai 19, 2023 sawa na Mwezi Mosi Muharram kuwa siku ya mapumziko Kitaifa Zanzibar ili...
  4. JamiiForums Tanzania Bei mpya elekezi ya mbolea

    Serikali imetoa mbei mpya ya mbolea yenye ruzuku. DAO kutoka 131,676 hadi 70,000 Urea..................124,724 ...........70,000 CAN ...................108,156............60,000 SA...........................82,852............50,000 NPK.......................122,695...........70,000 MAMA SAMIA...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mashine mpya ya miwa inauzwa Tsh 900000

    Mashine ya kutengeneza juisi ya miwa inauzwa Tsh 900000. Mashine inatumia umeme ( motor) imetumika kwa miezi miwili tu ipo Dar Nicheki 0685510781
  6. JamiiForums Tanzania Simba SC tuzindua jezi zake mpya leo

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa ile kiu ya mashabiki wa simba juu ya uzi wao mpya watakao utumia msimu huu kitendawili sasa kimeteguliwa. Leo saa tano asubuhi jezi zitazinduliwa kaa mkao wa kula.#we are unstoppable.
  7. JamiiForums Tanzania Zanzibar yaridhia mwaka mpya wa kiislamu kuwa siku ya kitaifa

  8. JamiiForums Tanzania Hiki ndicho kilicho nyuma ya Kauli Mbiu mpya ya Simba SC isemayo We are Unstoppable

    Ni kwamba baada ya kuwa na tabia ya Kuhonga Marefa na Wachezaji wa Timu Pinzani na kuwa Bingwa wa Ligi Kuu kwa miaka Minne mfululizo na Yanga SC nao Kuiga Mbinu hiyo waliyopewa na Haji Manara ( aliyekuwa Simba SC) na Wao kuwa Mabingwa Msimu ulioisha ni kwamba Simba SC wameamua kuurudia huo...
  9. JamiiForums Tanzania Kocha wa Yanga, Prof Nabi asaini mkataba mpya Yanga

    Mabingwa wa soka wa Tanzania Bara, Dar es Salaam Young Africans (Yanga) usiku huu imetangaza kumsainisha mkataba mpya Kocha wao Nasredeen Nabi Prof Nabi amesaini mkataba wa miaka miwili utakaomuweka Yanga mpaka mwaka 2024 Nabi kusaini mkataba huo mpya anamaliza uvumi uliokuwa unaenea kuwa...
  10. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Sera ya mfumo mpya wa Elimu

    SERA YA MFUMO MPYA WA ELIMU. Binafsi, Kama kijana naumia sana kuona watoto, vijana na watu wengine kwenye jamii zetu wanapoteza uwezo wao wa kipekee walio zaliwa nao eti kisa, MFUMO WA ELIMU ULIOPO SASA. MFUMO WA ELIMU ULIOPO SASA, Ni Mfumo ambao, haujatengenezwa kwa ajili ya kila...
  11. JamiiForums Tanzania Nimefanikiwa kuona jezi mpya za Simba, wameua...

    Ni jezi kali sana, nimetamani kuiweka hapa jukwaani ila maadili hayaniruhusu. Hakika Fred Vunjabei umejua kuwakosha wanasimba.
  12. JamiiForums Tanzania EWURA: Bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kuanzia Jumatano, tarehe 3 Agosti 2022

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 3 Agosti 2022. Bei za Mafuta katika soko la dunia zimeendelea kuongezeka na kusababisha bei za mafuta katika soko la...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Chalamila wewe ni mfanyakazi mzuri ila naomba ukakue

    Rais Samia amemwambia RC Chalamila kuwa yeye ni mfanyakazi mzuri sana ila ni mtundu mno. Amesema alimuacha kipindi kilichopita ila anaamini sasa amekua, akili imekua anamuomba aende akakue, amesema asidhani kupata nafasi ndio kamaliza, anamfuatilia kwa karibu sana.
  14. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Inatisha! Tazama jicho la mtawala na mtawaliwa ndani ya Katiba Mpya

    Hakuna maisha kamili pasi na sheria za kuyaongoza, sheria za Mungu waamini tunamini kuwa zimekamilika lakini nijiulize mimi na wewe je sheria wanazoandaa wanaadamu zitakuwa na ukamilifu milelee? Naomba utunze swali hilo utanijibu wakati ukifika. Hayati Rais Julius Kambarage Nyerere akihutubia...
  15. JamiiForums Tanzania SoC02 Ajira mpya Serikalini ziwe ni kwa miaka kumikumi, itasaidia kupunguza tatizo la ajira na ugumu ya maisha

    1.0 Ikisiri Nchi nyingi duniani zinakumbana na changamoto ya ajira kwa vijana. Hii ni kutokana na ongezeko la idadi ya wahitimu katika ngazi mbalimbali za elimu ingali hapajatengenezwa mazingira rafiki kwa ajili ya kuwaajiri au kujiajiri vijana hao. Pamoja na kuonekana madhara makubwa...
  16. JamiiForums Tanzania KIUNGO mpya wa Yanga, Stephane Aziz Ki ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Ligi ya Ivory Coast

    KIUNGO mpya wa Yanga, Stephane Aziz Ki ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Ligi ya Ivory Coast kwa msimu uliopita wakati akiichezea Asec Mimosas. Nyota huyo ambaye amejiunga na Yanga msimu huu usajili wake ulikuwa gumzo kutokana na utambulisho wake uliofanyika Julai 15 alfajiri huku akitegemewa...
  17. JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Ugonjwa wa Homa ya Mgunda hakuna mgonjwa mpya

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema: “Taarifa za ufuatiliaji wa ugonjwa huu kutoka kwa wataalam wetu walioko Mkoani Lindi zinaonesha kuwa toka tarehe 18 Julai 2022 hadi sasa hakuna mgonjwa mpya aliyeonesha dalili za ugonjwa huu. Hivyo hadi kufikia asubuhi ya leo tarehe 29 Julai 2022, idadi ya...
  18. JamiiForums Tanzania Uzi mpya ligi kuu

    Hivi macho yako yanaona kama mimi ? Nasikia Hadi traffic wapo
  19. JamiiForums Tanzania Hizi hapa Jezi mpya za yanga zavuja kabla uzinduzi

    Wananchi wameketa jezi mpya zenye viwango vya dunia hakika Rais wetu anafanya kazi kubwa sana.
  20. JamiiForums Tanzania Orodha mpya ya vilabu bora ishirini Afrika kwa mujibu wa CAF

    1. Al Ahly 🇪🇬 2. Wydad Casablanca 🇲🇦 3. Petro de Luanda 🇦🇴 4. CR Belouizdad 🇩🇿 5. Raja Casablanca 🇲🇦 6. Mamelodi Sundowns 🇿🇦 7. Pyramids FC 🇪🇬 8. ES Setif 🇹🇳 9. Zamalek SC 🇪🇬 10. JS Saoura 🇩🇿 11. RSB Berkane 🇲🇦 12. Simba SC 🇹🇿 13. Orlando Pirates 🇿🇦 14. Al Hilal 🇸🇩 15. Esperance 🇹🇳 16. TP...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…