mpya

  1. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Kumbe vunja Bei kapigwa kitu kizito mno. Nimeona igenda amevaa jezi mpya ya Simba ikiwa na nembo ya VB akijitambulisha lkn inazibwazibwa

    Nimemuona huyo jamaa mkenya uko Simba app akiongea kavaa Uzi mpya juu ya nembo ya mo xtrer Kuna nembo ya VB inapaushwa kwenye video editing ili isisomeke. Kweli VB alifanya kosa kubwa kutoweka nembo za mo kwenye Uzi wa Simba wa kimataifa hata msahau Muhamedi Kamwe.
  2. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kuwekwa kwa somo ya Kiislamu kwenye Tahasusi kunaashiria nini?

    Kuna siri nyuma ya pazia? Kuna watu wana jambo lao? Kama sio kwa nini Bible knowledge haipo? Kwa nini limekuja awamu ya 6? ===== Hii ni orodha ya masomo kwenye TAHASUSI za Tanzania Bara pamoja na Zanzibar, kwa Zanzibar wana masomo ya dini yanayoingia kwenye TAHASUSI tofauti na Tanzania Bara...
  3. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Straika mpya wa Azam Fc, Alassane Diao

    Unaambiwa jamaa ni Didier Drogba mtupu, hakabiki wala hazuiliki. Ndiyo, ni straika mpya wa Azam Fc aitwaye Alassane Diao ambaye ni kipande cha mtu. Mabeki wa NBC PL hasa type ya akina Dickson Job watateseka sana. Ukimuangalia unamfananisha straika Diao na wajihi wa mchezaji gani?
  4. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Yanga wazindua jezi yao nchini Malawi

    Rais wa Malawi Lazarus Chakwera na Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania wamezindua jezi mpya za Club ya Yanga usiku huu kwenye Ikulu ya Malawi ambako Yanga na Rais Samia walialikwa kusherehekea uhuru wa Nchi hiyo. Kwenye video fupi ya tukio hilo Rais wa Club ya Yanga Engineer Hersi Saidi...
  5. Saint_Maxi

    JamiiForums Tanzania Nimeanza kufuga kuku wa kienyeji

    Habari za muda huu, Nimeanza kufuga kuku wa kienyeji ila changamoto ilionileta hapa ni kuwa.... Kuna jike moja wapo lilianza kutaga mpaka sasa ana mayai zaidi ya kumi ila kila akitaka kutaga haendi sehemu niliomuandalia ila anatanga tanga mpaka nimkate nimuweke sehemu hiyo. Je, nifanyaje?
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Lipumba Mwenyekiti mpya wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD)

    Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) huku makamu wake akiwa ni mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, Haji Ambar Khamis. Uchaguzi huo umefanyika leo Jumatatu Julai 3, 2023 katika mkutano mkuu wa TCD uliokuwa na...
  7. Mmea Jr

    JamiiForums Tanzania Nani kaua kwa michano katika hii ngoma mpya ya Izzo Bizness inayoitwa "Nilipotoka”

    Wazee wazee wazee, recently hizo bizness kaachia chuma ambacho ndani yake kuna wakali kibao wa hip hop waliotupia verse zao. Versa ya kwanza kabisa unakutana na one the incredible akiwa kafanya yake, verse ya pili anaipokea izzoo naye katupia swagger zake pale verse ya tatu ni mnyama chaba...
  8. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Ofisi mpya ya CHADEMA na ramani tuliyooneshwa vinakinzana sana

    Miezi kadhaa iliyopita tulionyeshwa ramani ya jengo la gorofa wakidai ndiyo itakuwa Ofisi mpya ya CHADEMA. Juzi hapa vyombo vya habari vimeonyesha jengo tofauti kabisa na Ramani ambayo CHADEMA wangejenga, mbaya zaidi jengo linaonekana Kama ni used kwa kuangalia ukubwa wa miti na maua...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Nataka nije na dini mpya

    Kwa hoja zifuatazo 1 Kuoa mwanamume aoe infinitely kulingana na uwezo wake. 2. Kuoa mke mmja ni dalili ya uroho na kukosa ukarimu Kwa wengine. 3. Mwanamke anaweza kuoa wanaume zaidi ya mmja kulingana na uwezo wake 4. Kwamba Mungu ni upendo. 5.kwamba hakuna aliye Bora kuliko wengine,hakuna...
  10. Mtini

    JamiiForums Tanzania Serikali itueleze, imeanzisha tozo mpya kwenye manunuzi ya luku kinyemela? Au system imejichanganya, kwanini tozo zinakatwa mara 2 kwa mwezi?

    Nimenunua umeme tarehe 29 mwezi wa sita nimekatwa 1000 huku huko nyuma nilishakatwa tarehe moja. Nilijua wamebadirisha tareha za makato. Leo nimenunua tena nimekatwa 1000
  11. J

    JamiiForums Tanzania FIFA waja na sheria mpya ya Offside, je hili litavuruga soka au ni bora?

    Shirikisho la soka la Kimataifa (FIFA) wamekuja na sheria mpya ya offside ambayo ili mchezaji ahesabiwe alikuwa offside ni lazima awe amempita mchezaji wa timu pinzani kwa mwili wake wote
  12. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi na waandishi wa michezo nanyi jiandaeni kwa msimu mpya 2023-24

    Mpira ni mchezo wa wazi uliokunyanya wadau wengi sana wanaoufuatilia, hivyo sio hekima kwa mtu asiyekuwa na weledi wa uchambuzi na uwandishi wa mpira akajichambulia na kujiandikia kwa kuongozwa na mahaba na chuki kwa timu hii na Ile. Mpira wetu Sasa unapiga hatua kubwa kitaifa na kimataifa...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Bajeti mpya inakuja kuweka pilipili kwenye vidonda vya gharama za maisha kwa wananchi

    Bajeti imeingilia maisha ya watu ambayo tayari ni magumu kuwahi kutokea katika kipindi cha miongo kadhaa iliyopita. Bajeti imeweka kodi katika bidhaa ambazo bei zake ni kero kubwa kwa wananchi kuwahi kutokea tangu nchi ipate uhuru; 1. Kupandisha kodi ya mafuta kwa hali ya mafuta ilivyo sasa ni...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kama kweli suala la DP World limewagusa basi nguvu kubwa ielekezwe kwenye kudai katiba mpya

    Inakera, inaudhi na inauma sana kuona katiba yetu inawafanya wananchi kuwa wanyonge. Hawana sauti, hawana maamuzi na wala hawawezi kupindua chochote kilichoamuliwa na viongozi (serikali). Chanzo cha upuuzwaji huu wa sauti za wananchi, uvizwaji wa nguvu ya wananchi na viongozi kutoogopa/...
  15. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Huu wimbo mpya wa Meja Kuta aisee ni moto wa kuotea mbali jamaa anajua sana

    Kama ushapata bahati ya kuusikiliza huu wimbo mpya wa Meja Kunta utakubaliana na mimi jamaa anajua sana tofauti na waimba singeli ambao badala ya kuimba wanapiga piga kelele tu. Wimbo ni mzuri sana ,mashairi mazuri melody Kali Yani kwa kifupi hauchoshi kuusikiliza. Huyu kijana kwa kweli tumpe...
  16. The Eric

    JamiiForums Tanzania Naomba wanaume tuje tubuni mbinu mpya za kuomba namba za simu.

    Salaam! Imani yangu inaniambia Jf wengi wao ni watu mordenized ones......kwa heshima hii nawapa. Sasa naomba wakaka wa kisasa tubuni namna ya kuomba namba kwa hawa wadada. Hizi ni tabia za kijinga kwa wakaka washamba na limbukeni. 1. Kila demu anayepita unajeuza shingo au kumtolea mimacho...
  17. mfanyakazfake

    JamiiForums Tanzania Wakati wa Katiba Mpya ni sasa

    Spika wa bunge, msemaji wa serikali na Waziri mkuu wanamjibu nani kuhusiana na hili sakata la bandari kuuzwa? Je wanawajibu wananchi au Wabunge waliuopotasha umma au wanawajibu DP World? Tunahitaji kujua walikosimama wao wakati wakitoa hoja zao. Sina hakika kama wanajua wanachokifanya! kama...
  18. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kaizer Chiefs washindwana na Nabi. Watangaza kocha mkuu mpya

    Ni wazi kuwa dili la Nabi na Kaizer Chiefs limebuma. Kaizer Chiefs watangaza kocha mkuu mpya ====== Katika ukurasa wao rasmi wa mtandao wa Instagram, Timu ya Kaizer Chiefs wametanaza rasmi uteuzi wa Molefi Ntseki kuwa Kocha Mkuu kuanzia sasa. Pia soma - Nabi na Kaizer Chiefs ngoma bado ngumu
  19. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Dula Makabila aja na muonekano mpya wa kike

    Dula Makabila msanii maarufu wa Tanzania wa miondoko ya Singeli ameamua kubadilisha muonekano wake asili wa kiume na kuja na muonekano mpya wa kike akiwa amevalia wigi la kike pamoja na glasss ya kike. Dula anadai kuwa anafuata ushauri wa mpenzi wake aliye naye sasa na kila analomweleza basi...
  20. Area 56

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga zinawataka wafanyabiashara waweke oda za jezi mpya bila kuziona, huu ni uwendawazimu

    Sasa najiuliza unawezaje uagize jezi kibao bila haya kuziona zinafananaje? Hapa ni kama DP World tu na bandari yetu
Back
Top Bottom