Member Mpya

Sultankundi

Member
May 10, 2023
26
37
Habari wana JF,

Member mpya nipo Uturuki kwa wale watakao kuwa na shida ya kuniagiza bidhaa karibuni pia tuunganishane me ni mwanafunzi huku na pia mtafutaji kwa wale wanaotaka kusoma na kuuliza kuhusu scholarship tafadhali me ni kijana wenu.

Natanguliza Shukrani
 
Nakushauri anzisha uzi jukwaa la biashara...

Jitahidi uambatanishe na picha haswa za masoko na bidhaa, ikiwezekana na bei...

Pia utaratibu wa namna wa mtu kukupata n.k

Huku ulipoweka uzi wako hakuna wasomaji wengine...

Kila la kheri
 
Habari wana JF,

Member mpya nipo Uturuki kwa wale watakao kuwa na shida ya kuniagiza bidhaa karibuni pia tuunganishane me ni mwanafunzi huku na pia mtafutaji kwa wale wanaotaka kusoma na kuuliza kuhusu scholarship tafadhali me ni kijana wenu.

Natanguliza Shukrani
Karibu JF
 
Nakushauri anzisha uzi jukwaa la biashara...

Jitahadi uambatanishe na picha haswa za masoko na bidhaa, ikiwezekana na bei...

Pia utaratibu wa namna wa mtu kukupata n.k

Huku ulipoweka uzi wako hakuna wasomaji wengine...

Kila la kheri
Shukrani sana brother wazo zuri sana ngoja nlifanyie kazi haraka iwezekanavyo.
 
Back
Top Bottom