Youssoph Dabo Atangazwa Rasmi Kocha Mpya Azam FC

AbaMukulu

JF-Expert Member
Jan 1, 2018
2,048
3,568
Taarifa rasmi toka Chamazi zinathibitisha Azam kushusha kocha mpya kutoka Senegal. Yossouph Dabo ni kocha kijana mwenye mafanikio makubwa ambayo yameipaisha Senegal kwenye ulimwengu wa soka . Kocha huyo amepewa kandarasi ya miaka mitatu.

FvDA5hcWcAEzw42

WASIFU WAKE.
Dabo amezaliwa kwenye mji wa Saggata,Senegal miaka 43 iliyopita.
Amecheza soka nchini mwake, kisha Tunisia na Ufaransa.

Yafuatayo ni baadhi ya mafanikio yake kama kocha. Mwaka 2016, akiwa na Tengueth alishinda ubingwa wa Kombe la Ligi.

Mwaka 2017 akiwa kocha wa Tengueth alifika fainali ya Kombe la Senegal (sawa na Kombe la Shirikisho la Azam hapa nchini)

Desemba, 2018 alitwaa ubingwa wa vijana chini ya miaka 20 kwa timu za taifa ukanda B wa Afrika Magharibi (Wafu B), mashindano yalipofanyika Togo.

Februari 2019 alichaguliwa kuwa kocha bora wa Afcon chini ya miaka 20 huko Niger alipoisaidia Senegal kufika fainali. Juni 2019 aliiongoza Senegal kufika robo fainali ya Kombe la Dunia chini ya miaka 20 nchini Poland.

Julai 2019 alikuwa sehemu ya benchi la ufundi la timu ya taifa ya Senegal iliyofika fainali ya Afcon kule Misri. Agosti 2019 akiwa kocha wa timu ya taifa ya Senegal chini ya miaka 23, aliiongoza kushika nafasi ya tatu na kushinda medali ya shaba kwenye michezo ya Afrika jijini Rabat, Morocco.

Desemba 2019 aliiongoza Senegal kushinda ubingwa wa kanda ya Wafu mashindano yaliyofanyika Guinea. Machi 2020 aliiongoza Senegal kushinda ubingwa vijana chini ya miaka 20 wa mashindano ya mataifa ya Kiarabu. Senegal ilishiriki kama wageni waalikwa mashindano yaliyofanyika Saudi Arabia.

Novemba 2020 akiwa kocha wa timu ya taifa ya Senegal chini ya miaka 20 walifika fainali kuwania ubingwa wa kanda A ya Afrika Magharibi. Msimu wa 2020/21 alishinda ubingwa wa ligi ya Senegal akiwa na Tengueth.
 
Nadhani Azam fc ni team as funs to kwenye michezo ila siyo team ya ushindani hasa.

Mambo inayofanya kwa kipindi cha miaka mitatu hadi leo huwezi dhani ni team ya tajiri flani, unaweza sema labda inamilikiwa na Alex Kajumulob😄.

Nilicheka sana kwenye mapinduzi cup walichofanya, yaani ni kama walienda kula bata na kulala 5star hotel Verde!.
 
Nadhani Azam fc ni team as funs to kwenye michezo ila siyo team ya ushindani hasa.

Mambo inayofanya kwa kipindi cha miaka mitatu hadi leo huwezi dhani ni team ya tajiri flani, unaweza sema labda inamilikiwa na Alex Kajumulob.

Nilicheka sana kwenye mapinduzi cup walichofanya, yaani ni kama walienda kula bata na kulala 5star hotel Verde!.
Azam hawakogi serious kwenye ushindani sijui kwanini wakati wana Kila kitu hawa jamaa.
 
Azam wanashangaza sana.

CHUKUENI HATA DIDIE GOMES DAROSA.
MICHO.
IBENGE NK.

mtaishia kuwa wasindikizaji.
Ukitoa Ibenge hao wengine ni makocha wa kawaida.
Ibenge dau lake alikuwa anataka $ 55k kwa mwezi.
So ikashindikana kufikia makubaliano.
 
Azam hawakogi serious kwenye ushindani sijui kwanini wakati wana Kila kitu hawa jamaa.
Azam kulikuwa hakuna kocha. Kocha ndio huyu amepatikana. Ishu ni Yusuf Bakhresa wampe muda tuu wa kufanya kazi.
Mafanikio yapo njiani
 
Taarifa rasmi toka Chamazi zinathibitisha Azam kushusha kocha mpya kutoka Senegal. Yossouph Dabo ni kocha kijana mwenye mafanikio makubwa ambayo yameipaisha Senegal kwenye ulimwengu wa soka . Kocha huyo amepewa kandarasi ya miaka mitatu.

FvDA5hcWcAEzw42

WASIFU WAKE.
Dabo amezaliwa kwenye mji wa Saggata,Senegal miaka 43 iliyopita.
Amecheza soka nchini mwake, kisha Tunisia na Ufaransa.

Yafuatayo ni baadhi ya mafanikio yake kama kocha. Mwaka 2016, akiwa na Tengueth alishinda ubingwa wa Kombe la Ligi.

Mwaka 2017 akiwa kocha wa Tengueth alifika fainali ya Kombe la Senegal (sawa na Kombe la Shirikisho la Azam hapa nchini)

Desemba, 2018 alitwaa ubingwa wa vijana chini ya miaka 20 kwa timu za taifa ukanda B wa Afrika Magharibi (Wafu B), mashindano yalipofanyika Togo.

Februari 2019 alichaguliwa kuwa kocha bora wa Afcon chini ya miaka 20 huko Niger alipoisaidia Senegal kufika fainali. Juni 2019 aliiongoza Senegal kufika robo fainali ya Kombe la Dunia chini ya miaka 20 nchini Poland.

Julai 2019 alikuwa sehemu ya benchi la ufundi la timu ya taifa ya Senegal iliyofika fainali ya Afcon kule Misri. Agosti 2019 akiwa kocha wa timu ya taifa ya Senegal chini ya miaka 23, aliiongoza kushika nafasi ya tatu na kushinda medali ya shaba kwenye michezo ya Afrika jijini Rabat, Morocco.

Desemba 2019 aliiongoza Senegal kushinda ubingwa wa kanda ya Wafu mashindano yaliyofanyika Guinea. Machi 2020 aliiongoza Senegal kushinda ubingwa vijana chini ya miaka 20 wa mashindano ya mataifa ya Kiarabu. Senegal ilishiriki kama wageni waalikwa mashindano yaliyofanyika Saudi Arabia.

Novemba 2020 akiwa kocha wa timu ya taifa ya Senegal chini ya miaka 20 walifika fainali kuwania ubingwa wa kanda A ya Afrika Magharibi. Msimu wa 2020/21 alishinda ubingwa wa ligi ya Senegal akiwa na Tengueth.
Kama Kali Ongara bado yupo kwenye benchi lka ufundi hiyo ni kazi bure
 
ataishia kufukuzwa na timu atapewa kocha asiye na vyeti kali ongala
 
Kwahiyo Azam wameamua Kumuajiri Carpoza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom