Kuna mtazamo ambao umejengeka kwamba Serikali Haina lengo la kutengeneza faida bali kutoa huduma, mtazamo huu Kwa uono wangu hafifu nafikiri ndio chanzo kikubwa Cha baadhi ya mashirika kushindwa kujiendesha na kupelekea kubinafsishwa ama kuingia ubia na sekta binafsi.
Badala ya kuwa na mtazamo...
Hakuna maana yoyote na wala haileti mantiki CAG kuisomea report serikali wakati ndo mtuhumiwa mkuu wa madudu hayo.
Katika katiba ijayo kama itaridhiwa tuukatae huu upuuzi. Haina maana sana serikali hiyo hiyo inayofanya madudu ndiyo ati isomewe report.
Nashauri marekebisho yafanyike na CAG awe...
Kumekuwa na utata juu ya gharama za ujenzi wa uwanja mpya wa mpira jijini arusha, wananchi wamehoji sana na kuonekana kutokukubalina na gharama na hasa wakilinganisha na gharama za Uwanja wa Benjamin Mkapa uliojengwa kipindi cha nyuma 2007 ukiwa na uwezo wa kubeba watu 60,000 kwa gharama ya 64...
🔥VANGUARD MPYA VITI 7 IPO OFISINI, LIPIA IWE YAKO🔥
Km 80,000
Camera
Nyeusi
4WD
Leather
Push 2 Start
Cc 2360
Curtain Airbags
Bei 41,000,000 mpaka Usajili
Piga 0719 989 222
YETU MOTORS (Washauri& Waagizaji Magari)
Dar- Posta Mpya, Golden Jubilee Towers
Mbeya- Mwanjelwa Soko Jipya
Leo Mashabiki wa Vilabu vya Simba na Yanga wamehojiwa na Wanahabari (Media) na Kilichonishangaza hasa GENTAMYCINE ni kusikia Mashabiki hao wakitumia dakika Tano Kumsifia Rais Samia huku wakitumia Sekunde 30 tu Kuziongelea na Kuzisifia Simba na Yanga.
Hivi ni nani Aliyewaroga sasa baadhi ya...
Inawezekana mimi sio engeneer au mtaalamu wa Meli, ila juzijuzi nimebahatika kuiona Meli yetu mpya ziwa victoria ikifanyiwa marekebisho ya mwisho kutembea ziwani.
Kwa muonekano wake tu wa nje, inawezekana ndani ikawa ni kali balaa (excuse of doubt).Bila kumung'unya maneno muonekano wake wa nje...
https://www.youtube.com/watch?v=r1yNAnTHyC0
Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa amefika katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam (JNIA) kama mgeni rasmi katika tukio adhimu la kupokea ndege mpya aina ya Boeing B 737-9 ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), leo...
Wabobezi ktk fani ya lugha Profesa Aldin Mutembei UDSM, Prof. Mabala na Prof. Raymond Mosha wa chuo nchini U.S.A wajitosa katika mjadala mzito wa TAHASUSI / COMBINATION mpya zinazotegemea kuaza kutumika
https://m.youtube.com/watch?v=bnGuW-H_OeY
Yalitakiwa wajadiliwe kwa upana ili umma mpana...
Siku moja baada ya kuchaguliwa uenyekiti wa Chadema Mkoa wa Kagera, bosi wa zamani wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Gratian Mkoba amesema ataanza na mambo sita ikiwamo kuamsha ari ya wanachama wa chama hicho.
Mengine amesema ni masuala ya kikokotoo, Katiba mpya, Tume huru, bima ya afya na...
Rais wa Chama cha Walimu Mstaafu ndg Gration Mukoba amechaguliwa kuwa mwenyejkiti wa chadema mkoa wa Kagera ambapo amepata kura za ndiyo 58 na 5 za hapana.
Msimaizi wa uchaguzi ni John Mrema na Wenje
unaweza kutazama utangazaji wa matokeo hapa chini katika matngazo ambayo ni live
Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi akielezea sababu ya Serikali kujumuisha Tahasusi za masomo ya Dini katika ngazi ya Elimu ya Sekondari baada ya mwongozo kutolewa hivi karibuni kuhusu masomo hayo.
Wimbo wa Zuchu Sukari umefikisha views 100M kwenye mtandao wa YouTube, hii ni historia mpya kwenye ukanda wa Africa.
Sukari unakuwa wimbo wa kwanza ulioimbwa na msanii mmoja (Solo artist) Wenye views wengi Africa Mashariki na Kati kwenye mtandao wa YouTube.
Na pia anaingia kwenye orodha ya...
Ndege mpya ya Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), Boeing 737-9 Max, inatarajiwa kuwasili nchini Machi 26 mwaka huu kutokea nchini Marekani, hii itakuwa ndege ya 14 kutoka ATCL.
SENEGAL: Kura za Uchaguzi Mkuu utakaoamua muelekeo mpya wa Taifa hilo zinatarajiwa kupigwa leo Machi 24, 2024 ambapo Wagombea 19 wanawania nafasi ya Urais kwa lengo la kumrithi Rais Macky Sall atakayemaliza utawala wa miaka 12 ifikapo Aprili 2, 2024
Uchaguzi huu unafanyika baada ya kuwepo...
Tabia za kijamii (community norms) ni very dynamic, hakika kweli hazitabiriki. Mwanzoni tuliambiwa ili kujikinga na ukimwi tuepuke ngono zembe, tutumie kinga (condom), lakini uhakika wakasema tuwe na mwenza mmoja mwaminifu mmoja aliyepima.
Kwa sababu hayo masharti yalikuwa magumu, kwa sasa...
Tabia za kijamii (community norms) ni very dynamic, hakika kweli hazitabiriki. Mwanzoni tuliambiwa ili kujikinga na ukimwi tuepuke ngono zembe, tutumie kinga (condom), lakini uhakika wakasema tuwe na mwenza mmoja mwaminifu mmoja aliyepima.
Kwa sababu hayo masharti yalikuwa magumu, kwa sasa...
Kuna njia ya hii ya utapeli ambapo mtu anatengeneza urafiki na wewe kupitia mtandaoni. Kadri siku zinavyoenda mnatengeneza ukaribu na ka imani kanaanza kukuingia kiasi fulani kuwa umepata rafiki mzuri kutoka nchi jirani japokuwa wakati mwingine inaweza kuwa hapa hapa bongo.
Sasa akishaona...
Anonymous
Thread
makini
matapeli
milioni
mpya
njia
njia mpya
siku
utapeli
wanakuja
Habari wa kuu ,
Nmeona combination mpya zimeongezwa ili kuwapa uwanja mpana wanafunzi wa advance lakini naona hazija ongeza kitu kwa wanafunzi wa sayansi zaidi ya computer.
Kwa maono yangu tungepata combination zifuatazo
1. Math, Physics And Chinese
2. Physics, Chemistry and Russian or...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.