mpya

  1. Candela

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Mbinu mpya wizi wa pesa vijana wanaosajili laini za simu

    Kama unasoma uzi huu basi u buheri, pole kwa wenye changamoto. Hawa vijana wanaosajili laini za simu mitaani wamekuja na mbinu mpya kukuibia pesa. Wanatumia app za kampuni husika, TIGO PESA APP AU MPESA APP n.k. Wanawahadaa wateja kuwaunga 5G wapate intaneti yenye kasi bure kama ofa...
  2. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza PC Kalii bado mpya

    Ssd 239 Ram 8 Touch screen Core i5 gen 7 Bei 500k njoo tuzungumze 0753865861
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Taasisi za Umma zinatangaza mashindano/kazi ya ubunifu wa nembo zao mpya kwa wabunifu halafu wanapotelea mitini na hawabadili

    Mfano mwaka 2017 Jumuiya ya Afrika Mashariki ilitangaza shindano la Ubunifu wa Nembo yake mpya kwa wabunifu mbalimbali, wa vyuoni na wa mtaani, walitangaza mshindi atapatikana mwaka unaofuata, lakini mpaka leo 2024 hawajabadilisha. Taasisi nyingine ni TPDC na TARURA
  4. chibuOG

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya ni sasa

    Katiba Mpya imekuwa ndo wimbo pendwa kwenye midomo ya wanasiasa wengi kwasasa kwahiyo na mie Mtanzania Mnyonge, Msaka Tonge, Niliyesoma shule ya Saint Kayumba ya Kidumu na Ufagio kisha Sekondari ya Kata naomba kwenye hiyo Katiba Mpya Kama kweli itakuja basi iwepo sheria ya kuwanyonga Mafisadi...
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Iran ilitumia silaha aina mpya kisiri na zote zilipigwa chini kizembe, aibu sana

    Israel wanaendelea kukagua kila aina ya silaha iliyoshushwa... Kadiri silaha zao Iran zilivyopigwa chini ndivyo walipata hasira na kujaribisha aina mpya silaha za siri walizokua wameficha, na zenyewe zilishushwa, hii ni aibu sana kwa Iran na wavaa dera wote wanaoshabikia ugaidi wa dini...
  6. Mwafrika mmoja

    JamiiForums Tanzania Pikipiki Boxer mpya inauzwa njoo ibebe

    Habarini za Asubuhi wakuu. Nimewaletea mzigo huu kwenu Pikipiki TVS inauzwa, ina miezi 5 tu tangu inunuliwe. Ni yakwangu mwenyewe haijatumika sana. Model: TVS 125 Plate number: DQF Bei yake: 2,000,000 Fixed Nicheki WhatsApp: 0683535699 NB: Nimekosea kwenye headline siyo Boxer ni TVS
  7. Ulongupanjala

    JamiiForums Tanzania Usajili wa luku mpya

    Habari za leo Watanzania? Nilifungiwa mita ya umeme LUKU mpya takribani mwezi mmoja sasa. Umeme uliwekwa units chache sana na tangu tarehe 05 Aprili 2024 nawasiliana na TANESCO makao makuu kuhusu suala hili na mara zote husema idara husika inalifanyia kazi suala langu. Naomba kuuliza kwenu...
  8. K

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Safe Box zinauzwa Mpya kabisa. Bei 750,000/=

    Safe box zinauzwa mpya kilo 120 kwa matumizi ya ofisi, mawakala, majumbani, n.k Wasiliana nasi 0712347749 Unaweza kufungulia kwa password za namba utakazo weza kuweka unazo zihitaji. Key zipo 4 Alarm sound Brand New Bei 750,000/=
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania ipo kwenye process ya kuingia kwenye kurasa mpya, na zama mpya

    Kama kisemavyo kichwa cha habari Tanzania inaingia kwenye zama mpya yafuatayo ni matukio yatakayo tokea kama njia ya Tanzania kuachana na zama zilizopita na kuingia zama mpya Kuna ishara itatokea kwenye marais waliofariki na chama flani cha siasa; ishara hizo ni za ajabu ila zikitokea jua...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti mpya wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya apongezwa

    Wadau mbalimbali kote Duniani Wamempongeza Mwenyekiti mpya wa Chadema Mkoa wa Mbeya . Baadhi hawa hapa
  11. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Ugunduzi wa aina mpya za Dawa za Kulevya daily ni anguko kuu kwa Vijana

    Huko Sierra Leone Serikali imetangaza Matumizi ya Dawa za Kulevya Kuwa Dharura ya Kitaifa huku Rais Julius Maada Bio akitangaza Mapambano dhidi ya Mihadarati aina ya 'Kush' Kush inatajwa kuwa na uraibu sawa na Bangi na tramadol na imekuwa ikitumiwa zaidi na Vijana wasio na ajira wakikabiliana...
  12. BigTall

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Wananchi hawahitaji Elimu ya Katiba ya Miaka mitatu, mchakato urejeshwe

    https://www.youtube.com/watch?v=xoyfxK2zxJk Nipo nawasikiliza Wachambuzi wa masuala ya Sias wakijadili Katiba Mpya. Baadhi ya washiriki wa mjadala ni: Dkt. Anna Henga, Mkurugenzi Mtendaji, LHRC Dkt. Willibrod Peter Slaa, Mbunge Mstaafu Zitto Kabwe, Kiongozi Mstaafu , ACT-Wazalendo Salma...
  13. U

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Fridge mpya aina ya westpoint inauzwa

    Fridge imetumika wiki 3. Inauzwa tsh.700,000/= Inagandisha, Inapoza na Ina water dispenser. Ipo Tegeta. Kwa mawasiliano 0753166010
  14. J

    JamiiForums Tanzania Mwenezi CCM kupatikana 03/04/2024; Nani anafaa kurithi mikoba ya Makonda?

    Halmashauri kuu ya CCM itakutana tarehe 03/04/2024 jijini DSM ambapo pamoja na mambo mengine itapitisha jina la Mwenezi mpya wa CCM Source: Mwanahalisi Digital Mlale Unono 😀😀
  15. S

    JamiiForums Tanzania Namuona Amos Makalla akichua mikoba ya Makonda na John Mongela akichukua nafasi ya Naibu Katibu Mkuu Anamringi Macha!

    Baada ya mabadiliko ya Mwenezi ndani ya chama cha Mapinduzi kuna kila dalili ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kurithi mikoba ya Makonda ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha! Pia aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha John Mongela kuna kila dalili ya kujaza nafasi ya Naibu Katibu Mkuu wa...
  16. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Kila ukitaka walaumu wazungu/mabeberu kuhusu Afrika kuchezewa basi usisahau kwamba kuna CCM ,Katiba mpya ni sasa

    Nimekaa nimewaza sana nikafika mpaka kuwalaumu Wazungu na Mabeberu kwa propaganda na mambo yanayoendelea Africa.. Mwisho nikakumbuka tatizo ni Wa Africa wenyewe kila Nchi viongozi wake hupambana kwa Ajili ya Wananchi wake kwa Namna yoyote ile . Kwa Tanzania nitakuwa mnafiki kama sitatupia...
  17. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Baada ya teuzi mpya Makonda kapanda cheo au kashuka?

    Kutoka kwenye Ukatibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi mpaka kuwa Mkuu wa Mkoa Arusha. Je cheo cha Paul Makonda hapo kimepanda au kimeshuka?
  18. K

    JamiiForums Tanzania Wakati wenzetu wanaongelea katiba mpya sisi wa Tanzania tunaongelea waongeaji wa vyama🤦🏾‍♂️

    Yaani ni lini tutaamka na kuanza kushindana kama nchi. Ni lini tutacha utoto kama nchi na kuanza kuleta maendeleo ya nchi. Badala ya kuongea vitu vya msingi wa TZ wengi wanaongelea waongeaji wa vyama🤦🏾‍♂️ Sijawahi kuona nchi nyingine yeyote ambayo watu wanaongelea waongeaji wa vyama kama TZ...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kwako Makonda, RC Mpya wa Arusha: Kipaupembele chako kikuu kama RC kiwe ni kuboresha mazingira ya utalii bora

    Kwako Mkuu wa Mkoa Arusha mteuliwa Ndg. Paul Makonda, ninakupongeza Kwa uteuzi wako ambao kimsingi umenipa furaha hususani Kwa kupelekwa mkoa ambao ni kitovu Kwa shughuli za utalii ndani ya nchi yetu. Utalii ni Moja ya sekta tegemeo katika upatikanaji wa fedha za kigeni na upatikanaji wa ajira...
  20. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Sare mpya Kwa madereva bodaboda DAR

    Sare mpya kwa Madereva Bodaboda Dar es salaam Hivi karibuni zitazinduliwa sare mpya kwa madereva wa Bodaboda Dar es salaam ambapo sare hizo zitakuwa na namba na ukiingiza hiyo namba kwenye mfumo utajua taarifa zote za huyo dereva na sehemu anapotokea. Ambapo Mkuu wa Wilaya ya Ilala Muheshimiwa...
Back
Top Bottom