Halmashauri ya Meru (Meru DC), Mkoani Arusha, inachelewesha malipo ya pesa za kujikimu kwa walimu walioajiriwa katika Mwaka wa Fedha 2025/2026.
Walimu tumekuwa tukifuatilia malipo tangu Januari hadi sasa, lakini tumekuwa tukizungushwa bila kupewa maelezo ya kueleweka. Tunaambiwa kuwa fedha hizo...
Ujenzi wa Shule Mpya ya Makulo, iliyopo katika Kijiji cha Makulo, Kata ya Nkinto, Wilaya ya Mkalama, yenye thamani ya TSh milioni 300.2, umeleta matumaini mapya kwa wananchi wa eneo hilo na unatarajiwa kuondoa adha ya wanafunzi kutembea umbali mrefu kufuata elimu.
Awali, wanafunzi wa Kijiji cha...
Majeneza ya Kukodi (Casket Rental).. Haya ni sawa na kusema ni 'used'
Kitu pekee kitu pekee sana na chenye faida kubwa lakini hakipatikani kwa urahisi nchini Tanganyika.. Hiki ni kile kinachojulikana kama Rental Caskets (Majeneza ya Kukodi), ambayo hutumiwa zaidi katika nchi za Magharibi...
By December, huenda tukawa na chama kipya cha upinzani. Acha matapeli na madalali wagawane fito na kumalizana wenyewe.
CCM ya Samia imefanya political rejuvenation ya hatari. Kwa kasi hii, wapinzani watahitaji miaka 100 mingine kuiondoa madarakani.
Siku moja mtatambua kwamba sisi chawa...
Mimi ni mkazi wa Mbuyuni-Salasala, Dar es Salaam. Kuna baa mpya imeanzishwa takribani miezi miwili na nusu iliyopita, ikiwa kwenye ghorofa, na imekuwa kero kubwa kwa wakazi wa maeneo ya jirani.
Muziki unaopigwa kwa sauti kubwa huendelea hadi usiku wa manane, hali inayofanya iwe vigumu kupata...
Kituo cha Gesi Asilia Iliyoshindiliwa (CNG) kinachopangwa Morogoro kinafungua fursa mpya katika sekta ya usafirishaji, kwa kuwezesha magari na vyombo vingine kutumia nishati mbadala yenye gharama nafuu na rafiki kwa mazingira. Serikali kupitia TPDC imepanga kuweka kituo cha CNG katika eneo la...
Maneno ya Wasira yameonyesha mambo matatu makubwa sana ambayo bila shaka si Watanzania walielewa mpango huu muovu wa CCM;
CCM hawako tayari Tanzania iwe na Katiba Mpya
CCM waliamua kutumia kisingizio cha Octoba 29 kama kizuizi cha kuwa na katiba mpya
CCM waliamua kumfukuza Nchimbi kwa sababu...
Kampuni kubwa ya media East Africa Azam media wameongeza channel mpya ya mpira ya Azam sports 5 HD na kufanya wawe na jumla ya channel 10.
Katika hizo channel 10, tisa ni HD na moja ni ya matangazo, hii inafanya iwe ni kampuni kubwa inayomilikiwa na wazawa Afrika nzima
Haya ni mapinduzi...
KIBANO CHA "SOFT-BALL" NA UPWAYAJI WA HABARI: Uchambuzi wa Mahojiano ya Kihongosi na Odemba, na Somo la Katiba Mpya kwa Wana-CCM
Habari za jioni Wana-JamiiForums (JF),
Matumaini yangu mko salama na mnaendelea na majukumu ya ujenzi wa taifa letu. Leo nimeona nilete mada hii mezani kwenu kwa...
Kuna watu wanataka kupandia juu kwa kutumia ngazi ya vurugu za Oct29 kupata Katiba mpya.
Chanzo halisi cha vurugu za Oct29 ni kifo cha Rais Magufuli na ujio wa Rais SAMIA madarakani. Nyingine hizi zoote ni mbwembwe za kutumia fursa za vurugu na vifo vilivyotokea.
Kama JMP angekuwahai...
Nukuu ya Steve Nyerere kwa Maandishi
"Tukiikubaliane kwamba yaliyopita si ndio yetu, tugange yajayo.
Laiti pili, mimi sizani, na hili ninawaomba kwa wenyeviti wa Chama cha Mapinduzi wa mikoa yote, sizani kama kuna afya sana kuendelea kutoa matamko. Kwa sababu tamko limeshatolewa na Kamati Kuu...
Israeli: Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu anasema alitembelea makao makuu ya Mossad na kukutana na wafanyakazi waliokuwa wakifanya kazi usiku na mchana kuhusu usalama wa Israeli. Netanyahu alitoa wito wa sehemu ya Torati ya wiki hii, akitoa wito wa "kuwa hodari na jasiri," na akasema, "Hiki ndicho...
Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu kuhusu Gaza:
Hakutakuwa na ujenzi mpya huko Gaza isipokuwa, kwanza kabisa, kutakuwa na uondoaji wa kijeshi. Siwezi kukuambia ni aina gani ya ujenzi mpya utakaokuwa; tunajadili hili na marafiki zetu wa Marekani.
Wakati mwingine tunaonana ana kwa ana...
Utawala wa hayati Magufuli uliona tatizo la gharama za matengenezo ya barabara zinazoelekea bandarini, hivyo rais Magufuli akaamua kujenga bandari kavu mkoa wa pwani eneo la Kwala, na ili itumike ikaamuliwa iunganishwe na reli ya sgr. Uwepo wa reli hiyo ungeiingizia mapato serikali ambayo...
Umoja wa Mataifa umepiga kura ya kupitisha ramani mpya rasmi ya dunia iliyobuniwa kuonyesha ukubwa halisi wa kijiografia wa bara la Afrika na maeneo mengine ya kanda ya ikweta.
Mabadiliko haya yanalenga kuchukua nafasi ya "Mercator projection" (ramani ya kale ya Mercator), ambayo imekuwa...
Wakuu, kama tunavyofahamu, hivi karibuni tumeshuhudia mabadiliko makubwa katika uongozi wa juu wa nchi yetu baada ya Dkt. Emmanuel Nchimbi kujiuzulu wadhifa wa Makamu wa Rais, na Bunge kumthibitisha Mhe. Deogratius John Ndejembi, aliyekuwa Waziri wa Nishati, kuwa Makamu mpya wa Rais.
Ndejembi...
Je,
utachangia bila kujulishwa ile tone tone ya milioni mia 334 iliishaje, zilikusanywa kiasi gani cha pesa na zimeishaje?
Unadhani ni kwanini tangu kuanzishwa kwa kampeni za chadema za kuchangisha pesa kwa tone tone, hakuna hata kampeni moja iliyowahi kufanikiwa na kutimiza lengo,
unadhani...
🌍 Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha pendekezo la Afrika la kuwa na ramani mpya ya dunia inayoonesha uhalisia wa ukubwa wa maeneo.
🟢 Waliounga mkono: 164
🔴 Waliopinga: 1
⚪ Waliojizuia kupiga kura: 6
📅 4 Septemba 2026
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.