mpya

  1. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania BMT: Serikali ilikamilisha wajibu, Simba yatakiwa kutekeleza Katiba Mpya

    Baraza la Michezo la Taifa (BMT) limeeleza kuwa wajibu wa kutekeleza Katiba ya Klabu ya Simba iliyorekebishwa na kuidhinishwa Februari 18, 2026, sasa uko mikononi mwa klabu hiyo baada ya Serikali kukamilisha hatua ya kuidhinisha na kuikabidhi rasmi. Katiba hiyo ilipitishwa na Mkutano Mkuu wa...
  2. Xmonster

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yaingia Hatua Mpya madini Tembo au Heavy minerals sands

    Tanzania yaingia hatua mpya kwenye Madini Tembo Taarifa hiyo inahusu kampuni ya Nyati Mineral Sands Limited, inayotekeleza miradi mikubwa ya uchimbaji na uchakataji wa Madini Tembo (Heavy Mineral Sands) nchini Tanzania. Serikali ina hisa 16% katika kampuni hiyo. Kwa sasa kuna miradi miwili...
  3. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu, mpaka 2030 hatutakuwa na katiba mpya

    Wakuu, kwa katiba hii ya sasa hakuna mtawala asiye itaka, yaani mtawala anakuwa juu ya mihikili yote ya nchi. Nani asiyeitaka? Chama tawala hakitakaa kitupe katiba tuitakayo raia aba dani. Itawabana, jeshi linaheshimu katiba ya nchi, mkibadilisha mtawala akifanya ndivyo sivyo jeshi litamwambia...
  4. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Patrick Vieira Atekuliwa Kuwa Kocha Mkuu Mpya wa Senegal

    Shirikisho la Soka nchini Senegal limemtaza rasmi gwiji wa zamani wa Arsenal na timu ya taifa ya Ufaransa, Patrick Vieira, kuwa kocha mkuu mpya wa timu ya taifa ya nchi hiyo (‘Lions of Teranga’). Vieira, ambaye alikuwa sehemu ya kikosi cha Ufaransa kilichotwaa Kombe la Dunia mwaka 1998...
  5. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Walokole Wazindua Brand Mpya za Magari yao ya Umeme kushindana na Elon Musk na BYD

    Kanisa la Kilokole la Pentekost la Christ Embassy, chini ya uongozi wa Pastor Chris Oyakhilome, limezindua rasmi safu ya magari yanayotumia nishati ya umeme, ikiwa ni sehemu ya miradi yake ya kiteknolojia na viwanda. Magari hayo yamewasilishwa kupitia njia rasmi za huduma hiyo, huku baadhi ya...
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais William Ruto Apiga Simu Karen Hospital Kuhusu SHA: Je, Mfumo Mpya Unafanya Kazi?

    Rais William Ruto amempigia simu Mkurugenzi Mtendaji wa Karen Hospital, Juliet Gikonyo, kutaka kujua iwapo hospitali hiyo inapokea malipo kutoka kwa Social Health Authority (SHA). Katika mazungumzo hayo, Gikonyo alithibitisha kuwa hospitali hiyo inapokea fedha kutoka SHA na kueleza kuwa, kwa...
  7. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya Tanzania: Je, Tatizo Liko Kwenye Katiba au Kwenye Watu Wanaoiendesha?

    Tanzania imekuwa na mjadala wa muda mrefu kuhusu umuhimu wa kuwa na Katiba mpya. Wapo wanaoamini kuwa baadhi ya changamoto za kisiasa, uwajibikaji na mgawanyo wa madaraka zinatokana na mapungufu yaliyopo kwenye Katiba ya sasa. Lakini wengine wana hoja kwamba hata Katiba nzuri zaidi inaweza...
  8. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Kwenye katiba Mpya Rais wa Nchi atokee Yanga.

    Tundu Lissu ni Yanga, Mwalimu Nyerere ni Yanga. Tafadhali sana, katika mabadiliko ya katiba ya nchi, Rais atokee Yanga tu.
  9. bless on

    JamiiForums Tanzania Pixel 11 vs S26: nani Mfalme Mpya wa Android?

    Google Pixel 11 vs Samsung Galaxy S26: Je ipi simu bora kabisa ya android kwa sasa kati ya hizi? --- Google na Samsung zimeingia tena kwenye ushindani wa kutafuta mfalme wa Android. Pixel 11 inaegemea zaidi kwenye AI, kamera na uzoefu rahisi wa matumizi, huku Galaxy S26 ikijikita kwenye nguvu...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Halmashauri ya Kakonko wameambiwa wataliwa fedha nusu ya walizosaini

    Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko imesainisha ajira mpya kwa watumishi, huku kukiwa na malalamiko kwamba walioajiriwa wameelezwa kuwa watapokea nusu tu ya fedha walizosaini kwenye mikataba yao ya ajira.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Content Creator jamiiclub: Ajira Mpya Katika Dunia ya Kidijitali

    Habari wakuu, Ninaamini kuwa Content Creator ni aina mpya ya ajira katika dunia ya kidijitali, na inaweza kuwa fursa muhimu kwa vijana kujiajiri na kujenga vyanzo vyao vya kipato. Kwa sasa, mitandao ya kijamii imewezesha watu kushiriki mawazo, maarifa, vipaji na ubunifu wao kwa hadhira kubwa...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa ajili ya tetesi mpya za One UI 9.5.

    Habari za wakati huu wana JF, huu ni uzi mahususi kwa ajili ya kujuzana tetesi mpya za One UI 9.5 kwa kadri zinavyozidi kuvuja na kusambaa. Ni takriban miezi mitatu sasa tangu Samsung walipoachia One UI 9.0 beta katika series za S26 katika baadhi ya maeneo. Hata hivyo tukiwa tupo karibu kupata...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo: Katiba Mpya wale wanaojifanya Miungu watu katika ofisi za Umma watatuheshimu

    Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana Taifa ya Chama cha ACT-Wazalendo, Abdul Omary Nondo ameeleza hayo wakati akihutubia katika kongamano la ACT Wazalendo la Maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani lililofanyika katika Ukumbi wa Mrina, Dar es Salaam, Agosti 12, 2026.
  14. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Wazee wenzangu vipi huko? Ni Mimi pekee ndiye nashindwa kutumia hii app mpya?

    Hii App ni shida sana hasa kwa sisi wazee wa vijijini. Nimejuta kuipakua, sasa hivi naingilia chrome. Wazee wa mjuni nasikia mnadunda nayo tu. Maxence Melo fanya kanamna basi!
  15. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Muswada Mpya Waweka Masharti Makali kwa Wanaotaka Kufungua Shule Kenya

    Muswada wa Sheria ya Elimu ya Msingi, 2026 unapendekeza masharti mapya na makali kwa watu au taasisi zinazotaka kuanzisha na kuendesha shule za msingi na sekondari nchini Kenya. Kwa mujibu wa muswada huo, mwombaji atalazimika kuwasilisha ombi kwa County Education Board, ambayo itatathmini iwapo...
  16. O

    JamiiForums Kenya Mswada Mpya Waweka Masharti Makali kwa Wanaotaka Kufungua Shule Kenya

    Muswada wa Sheria ya Elimu ya Msingi, 2026 unapendekeza masharti mapya na makali kwa watu au taasisi zinazotaka kuanzisha na kuendesha shule za msingi na sekondari nchini Kenya. Kwa mujibu wa mswada huo, mwombaji atalazimika kuwasilisha ombi kwa County Education Board, ambayo itatathmini iwapo...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Iran yatumia video ya zamani ya Kiongoozi Mkuu Mojtaba Khamenei kuaminisha umma yuko hai

    Iran imetoa video ya zamani ya Kiongozi Mkuu wa Iran Mojtaba Khamenei akiwa hai, baada ya taarifa zinazodai kuwa alijeruhiwa vibaya katika shambulio la Marekani na Israel. Iran imeripoti siku ya Jumapili kwamba Mojtaba amekutana na rais wa Iran Masoud Pezeshkian, ambae anaanza mwaka wake wa...
  18. Maxence Melo

    JamiiForums Tanzania App Mpya ya JamiiForums - Agosti 2026

    Wakuu, Nachukua fursa hii kuwafahamisha kuhusu ujio wa App Mpya ya JamiiForums! Hii sio update ya kawaida, bali tumeisuka upya kuanzia chini. Haya ni baadhi ya mambo mapya (features): Brand-New Interface (Muonekano Mpya kabisa) - Tume-design app iwe cleaner, faster, na more readable...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aibeba Tanzania Kileleni Afrika, Mkutano wa Africa50 Watoa Mwelekeo Mpya wa Uwekezaji wa Miundombinu

    Rais Samia Aibeba Tanzania Kileleni Afrika, Mkutano wa Africa50 Watoa Mwelekeo Mpya wa Uwekezaji wa Miundombinu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameendelea kuimarisha nafasi ya Tanzania katika kuchochea mageuzi ya kiuchumi barani Afrika baada ya nchi kuwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Simu kali: Usijiulize tena simu mpya na used unapata wapi zipo kwetu Havikpro genuine phones Kariakoo

    Wadau wote nawakaribisha kwa manunuzi ya simu na vifaa vya simu na laptop kutoka dukani kwetu utajipatia series mbalimbali za simu hizi SAMSUNG.PIXEL NA IPHONE NA NYINGINE NYINGI.PIA LAPTOP ZA KAZI ZOTE NA DESKTOP ZA NYUMBANI NA MAOFISINI ZIPO BRAND ZOTE Tunapatikana Kariakoo Dsm Huduma ya topup...
Back
Top Bottom