KERO Kipi kinakwamisha Ajira Mpya Halmashauri ya Itilima (Simiyu) kutothibitishwa kazini tangu 2024?

KERO Kipi kinakwamisha Ajira Mpya Halmashauri ya Itilima (Simiyu) kutothibitishwa kazini tangu 2024?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Halmashauri ya Itilima iliyopo Mkoani Simiyu vivyo hivyo pia Watumishi wake walioajiriwa Mwaka 2024 katika Sekta ya Afya hawajathibitishwa kazini.

Hii inaleta ulakini ni nini hasa changamoto, maana mwanzo walidai madiwani hawajaapishwa ila sidhani mpaka leo hiyo inaweza kuwa sababu ya watumishi wake kutothibitishwa.
 
Back
Top Bottom