MwanaJF mpya, nipokeeni

Karibu karibu ndani, fika hadi barazani,
Unataka maji, juice, soda, chai, kahawa, mvinyo au beer?
 
Baada ya rafiki zangu wengi kuwa wanaongelea sana habari wanazopata JF hasa kwenye mambo ya siasa na kijamii, na mimi nikaona bora nijiunge. natumaini nitakaribishwa kwa mikono miwili.
Karibu sana.
 
Karibu sana sasa unajiunga jukwaa lipi kati ya hayo ulotaja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom