Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 374,255
- 866,575
Nafuatilia kwa karibu sana mitandaoni hii vita vya Iran marekanani na Israel.. Ni wazi sasa propaganda imehamia kwenye AI kwa asilimia 100
Video zinazorushwa kina AI nyingi sana mpaka kuna baadhi unashindwa kutofautisha halisi na feki
Lakini pia ni mwanzo wa vita ijayo itakuwa ni laser war tupu
www.facebook.com
Video zinazorushwa kina AI nyingi sana mpaka kuna baadhi unashindwa kutofautisha halisi na feki
Lakini pia ni mwanzo wa vita ijayo itakuwa ni laser war tupu