mpira

  1. Mpira wa Miguu ni Mchezo wenye Maajabu yake Young Africans inayopewa nafasi Kubwa kwenda Makundi Huenda akurumushwa, na Simba isiyopewa nafasi ikafuzu

    Mpira wa miguu una mambo yake wakati mwingine usilotegemea likatokea na unalotegemea lisitoke na ndiyo maana kwenye Betting kuna fedha nyingi sana. Timu yangu ya Young Africans inapewa nafasi kubwa sana ya kushinda kwenye mechi zake za Klabu Bingwa dhidi ya Elh - Melekh na kutinga makundi...
  2. TPA: Tutajenga Uwanja Mkubwa wa Kisasa wa Mpira wa Michezo hapa Kizimkazi

    Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka za Bandari Tanzania Bara (TPA) ameahidi kujenga uwanja mkubwa na wa kisasa wa michezo katika eneo la Kizimkazi, Zanzibar. Mkurugenzi Mkuu wa TPA ameyasema hayo leo katika kilele cha Tamasha la Kizimkazi huku mgeni rasmi akiwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  3. Ijue siri ya kucheza mpira wa umiliki mpira, yaani boli kutembea

    Kumekuwa na kelele nyingi sana kuhusu Simba kucheza mpira usiovutia, au wengine wanaita papatu papatu. Kuna wengine wamekuwa wanasifia uchezaji wa Yanga hivi sasa. Ngoja niwagusie mbinu mojawapo ninayoijua mimi ya kuwajenga wachezaji kuweza kucheza mpira wa umiliki yaani possession football...
  4. Wanachofanya AZAM TV kwenye mpira ni uhuni na utapeli, wadau amkeni

    Wakuu Azam tv hivi karibuni imeanza uhuni ambao lazima ukemewe! Azam walijinasibu kuonyesha ligi ya ufaransa (Ligue 1) ligi ya ujerumani (bundesliga) ligi kuu ya Tanzania (NBC) na hivi karibuni wakasema na Ligue ya waarabu kwa kina Ronaldo .. Ajabu Leo hii nimeona tena kesho wanaonyesha ligi...
  5. Brazil Kwao Olivieira wanaujua Mpira ila Argentina Kwao Gamondi wanauelewa na wanaucheza hasa Mpira

    Mpira wa Kibrazili unakupa Matokeo japo kwa kila mara Kumuomba Mungu, ila baada ya Mechi unalazimika kutafuta Panadol Extra na Dawa za Kushusha Presha ili Unywe. Mpira wa Argentina tangu unaanza tu unakupa Raha Kuutizama, husikii Njaa, huhisi Pepo wa Ukichaa Kukupanda, Maji na Juice vinashuka...
  6. Kucheza mpira kuna uhakika zaidi kuliko kuimba Bongo Flava. Ewe kijana ama mzazi mwenye kijana, Mpira Ruksa ila Bongo Flava iwe burudani tu

    Ni ushauri kwa vijana na wazazi wenye vijana ambao wanataka kuingia kwenye haya mambo, Kwa nchi yetu tuwaase zaidi vijana wanaotaka kucheza mpira kuna chance nzuri ya kufanikiwa ila hawa wanaotaka kuimba watafute shughuli zingine, mziki waufanye kwa burudani tu maana chance yake ni ndogo sana...
  7. Kucheza Mpira V/s Bongo Flava, wapi angalau kuna uhakika wa maokoto ya kuendesha maisha kwa sasa?

    Diamond naomba tumuwekee exception asiwepo, hata kwa sasa pesa anavuna zaidi kwenye uwekezaji Binafsi nachoona ni wasanii ni wachache sana wanaoingiza hela kwa mziki pekee, kinachoumiza wasanii wengi ni kulazimika kuishi maisha ya juu kwajili ya brand, mfano kuishi nyumba za milioni 3 kwa...
  8. R

    Vijana wa 2000 wanajua maigizo(films), muziki, kubeti, kuendesha bodaboda na story za mpira. Huko tuendako watatawaliwa na wageni

    Tanzania inapitia kipindi kigumu sana pale unapokuwa na taifa la vijana 18yrs na 25 wasiofahamu mambo ya msingi kwenye nchi. Hawajishughulishi na siasa, uchumi wala maendeleo; Hawapo kwenye mikakati ya Taifa kusonga mbele. Wao wanaamini katika ulevi, kamati, kubeti, mpira na mambo kama hayo...
  9. Kanuni mpya za TFF ni za ovyo kupindukia; wanaendesha mpira kishamba sana!

    Kwa mujibu wa kanuni mpya za TFF, wachezaji binafsi hawapaswi kuwa na mdhamini ambaye ni mpinzani kibiashara wa mdhamini mkuu wa ligi kuu (NBC). Hili ni jambo la ajabu sana. Kwanini kanuni hii ya ajabu imepitishwa? Nionavyo mimi kanuni hii inalenga kuwarudisha nyuma wachezaji kiuchumi na...
  10. FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

    === Greatest of all time Leo ni Sikukuu ya Soka. Mnyama Mkubwa Mwituni. Simba SC itakuwa ikishuka dimbani kuwakabili Singida FG FC katika dimba la Mkwakwani pale jijini Tanga. Simba ambayo imesheheni wachezaji mafundi kama vile Onana, Baleke, Kramo, Mwalimu Fabrice Ngoma na wengineo...
  11. Wabongo Mnalima Mpira mtavuna mpira

    Unachopanda ndio utakachovuma. Akili zimekuwa finyu sana. Miaka ya hivi karbun wanaume, wanawake watoto na kila mmoja ni mpira tu. Je huu utakuwa urithi wa watoto wetu. Wabongo akili yoote ipo kwenye Mpira, mtavuna mpira. Huu ndio ukweli na unawauma. Watu mnawekeza kwenye mipira, tena bora...
  12. Kama Magodoro yana Chawa, Kunguni na Mba hayanunuliki tena, kwanini Wasikimbiwe na Wanaojua Mpira?

    Huwezi kunywa Mo Energy Drink halafu Timu ikakosa Utajiri mpaka akina Wapiga Ngoma na Wanaoonana wasipende Kuichezea. Mido ya Chini Mtoto wa Tshisekedi na Mido ya Juu Mtoto wa Mwinyi na Wote wana Hasira na Walikotoka hivi hiyo Wiki Mbili ijayo Team Magodoro Kudoda Madukani FC watatokea wapi?
  13. Mpaka sasa serikali 3, watumishi 0. Mpira umebaki dk 7

    Ngoja kwanza nicheke Ahahahahahah
  14. Biashara ya Kamari: Mbadala wa Dawa za Kulevya?

    Kwa wale ambao mmeshawahi kusikia namna 'punda' wa 'sembe ya mwakyembe' wanavyo 'packiwa' mizigo ya kusafirisha mtakubaliana na mimi kwamba biashara hii 'takatifu' ina faida kubwa iliyotukuka. Ni ukweli unaosikitisha kwamba 'pipi' za 'sembe' hushindiliwa kupitia njia ya nyuma mpaka tumbo lijae...
  15. Waarabu wanatuharibia mpira wa Ulaya

    Ruben Neves katika umri wa miaka 26 huku Barcelona wakiwa wanamuhitaji amechagua kwenda zake Uarabuni. Huko Chelsea lundo la wachezaji wako mbioni kuelekea Uarabuni. Alianza Ngolo Kante, na sasa Koulibaly na golikipa Mendy muda wowote wataelekea Uarabuni. Waarabu wamedhamiria kweli nina...
  16. Umewahi kujiuliza kwanini Halaand kila mpira anafunga?

    Mabeki wengi wakikutana nae huwa wanasema anachafua hali ya hewa, mabeki wanapoteza umakini jamaa ndio anatupia.
  17. Ujenzi wa Uwanja wa Mpira Dodoma kwa msaada wa Mfalme wa Morocco umeishia wapi?

    Huenda kuna mambo yamenipita, nimeona niulize hapa. Ninakumbuka takribani miaka mitano iliyopita kulitokea ujio wa Mfalme wa Morocco hapa Tanzania wakati wa kipindi cha utawala wa Magufuli na ulikwenda sambamba na utiaji wa saini wa mikataba zaidi ya 10 (ambayo hatukuambia kwa kina kila mkataba...
  18. Mpira ulivyo jaa midonini mwa watu mpaka keroooo

    Kwanzia baba mama mpaka watoto wanabet. Kama una bet basi akili zako pia za kubet. Samahani jamani sijaamanisha kuwa tusi..
  19. R

    Tanzania Nchi ya Mpira

    Umegundua kadri umaskini na ukosefu wa ajira unavyoongezeka ndivyo muda wa vipindi vya redio na TV kujadili michezo unavyoongezeka; Kipindi cha michezo kinapewa airtime ya masaa matatu na mara nyingi kinarushwa zaidi ya mara moja Kwa siku Kwa kuwa michezo ndiyo inayopewa airtime nyingi basi...
  20. M

    Huku wakiwapumbaza watanzania kwa Mpira, nyuma ya pazia wanauza Nchi

    Ndani ya wiki hizi mbili kuna mambo ya kutisha yanaendelea nchini. Lakini kwa kuwa watawala wamegundua akili za Watanzania ni kufuatilia vitu vyepesi, wameamua kuinvest kwenye mpira wakati huku behind the scene wakiwa busy kuuza nchi na kupalilia ufisadi. Haya ni baadhi ya mambo ya kusikitisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…