Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,468
- 23,744
Muda huu sisi Wanayanga ndio tunatoka Uwanjani kukamilisha maagizo ya awali ambayo tumepewa na mtaalamu wetu kuhusiana na mechi ya tarehe 5 Nov.
Mechi si ngumu kama ambavyo mmedhania. Maana tayari tumeshauziwa ramani. Tunajua wapi pa kupita, tunajua wapi pa kupiga.
Kikosi cha Simba tumeshakivuruga na kuwafungia matofali miguuni, na hili tulilifanya baada tu ya kuisha mechi ya Ihefu. Maana tuliendelea kubaki na Uwanja kuufanyia ukarabati na tayari wachezaji watatu wa Simba wana hati hati ya kucheza siku ya tukio.
Usiku wa deni haukawii kufika. Zimebaki siku kadhaa tu tuje kujipigia na kuchukua points zetu tatu kujishindilia pale kileleni na ndio hatutashuka tena, piga ua garagaza.