mpira

  1. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Umewahi kujiuliza kwanini Halaand kila mpira anafunga?

    Mabeki wengi wakikutana nae huwa wanasema anachafua hali ya hewa, mabeki wanapoteza umakini jamaa ndio anatupia.
  2. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Uwanja wa Mpira Dodoma kwa msaada wa Mfalme wa Morocco umeishia wapi?

    Huenda kuna mambo yamenipita, nimeona niulize hapa. Ninakumbuka takribani miaka mitano iliyopita kulitokea ujio wa Mfalme wa Morocco hapa Tanzania wakati wa kipindi cha utawala wa Magufuli na ulikwenda sambamba na utiaji wa saini wa mikataba zaidi ya 10 (ambayo hatukuambia kwa kina kila mkataba...
  3. Mangi shangali

    JamiiForums Tanzania Mpira ulivyo jaa midonini mwa watu mpaka keroooo

    Kwanzia baba mama mpaka watoto wanabet. Kama una bet basi akili zako pia za kubet. Samahani jamani sijaamanisha kuwa tusi..
  4. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania Nchi ya Mpira

    Umegundua kadri umaskini na ukosefu wa ajira unavyoongezeka ndivyo muda wa vipindi vya redio na TV kujadili michezo unavyoongezeka; Kipindi cha michezo kinapewa airtime ya masaa matatu na mara nyingi kinarushwa zaidi ya mara moja Kwa siku Kwa kuwa michezo ndiyo inayopewa airtime nyingi basi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Huku wakiwapumbaza watanzania kwa Mpira, nyuma ya pazia wanauza Nchi

    Ndani ya wiki hizi mbili kuna mambo ya kutisha yanaendelea nchini. Lakini kwa kuwa watawala wamegundua akili za Watanzania ni kufuatilia vitu vyepesi, wameamua kuinvest kwenye mpira wakati huku behind the scene wakiwa busy kuuza nchi na kupalilia ufisadi. Haya ni baadhi ya mambo ya kusikitisha...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Shirikisho la mpira Afrika (CAF) limekaa kizamani sana

    Habari, Hili shirikisho letu la mpira Africa limekaa kizamani sana kwa kuendelea kutukuza na kukumbatia kanuni zisizo na faida Wala manufaa kwa mpira wetu. Hili la fainali kuchezwa nyumbani na ugenini ni jambo la hovyo lisilokua na faida chanya kwa mpira wetu. Sioni mantiki ya kanuni hii ya...
  7. Mangi shangali

    JamiiForums Tanzania Daima usiamini maneno yao mpira dakika 90..

    Habari zenu.. Mpira sio uchawi wala mpira sio mdomo na maneno ya kijinga. Bali mpira ni dakika 90.. Daima usipende kuamini utabiri wao. Mpira unadunda. Walitabiri mengi sana. Mara itakuwa aibu ya taifa. Aisee mwarabu amelala na viatu. Amepelekewa moto mpaka kaomba poo. Daima mbele nyuma mwiko
  8. covid 19

    JamiiForums Tanzania CAF wasifumbie macho uhuni wa waarabu ule sio mpira ni fujo

    kwa tuliyoyaona jana kwenye mechi ile kubwa kabisa ya fainali africa zima imeshuhudia na rais mwenyewe wa CAF ameshuhudia ule haukuwa mpira zile ni fujo. Lazima waarabu waadhibiwe kwa upumbavu ule, mpira ulisimama mara mbili sababu ya moshi wa baruti kutoka kwa washabiki wao. Mpira ulikuwa...
  9. John Gregory

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson: Timu ya Bunge inapiga mpira mzuri mithili ya Yanga

    Akielezea timu ya Bunge, Mapema leo katika mkutano wa 11 kikao cha 39 cha Bunge tukufu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Spika wa Bunge, Dr.Tulia Ackson ameisifia timu ya Bunge kwa kiwango chake bora cha mpira. Pia Spika ameongeza kwa kuilinganisha ubora huo na Klabuya Young Africans ambayo...
  10. Utopologist

    JamiiForums Tanzania Mpira ni mchezo wa mipango na mikakati, sio hamasa na siasa.

    Mpaka tutambue hili, hakuna maendeleo ya maana kisoka yatapatikana. Matokeo ya jana pamoja na Taifa Stars v Uganda mwezi uliopita ilikuwa ni funzo lakini bado hatutaki kuelewa.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Hamasa za wanasiasa kwenye mpira ni laana

    Katika dunia ya leo ambayo ustaarabu upo kwenye kiwango cha juu mambo ya hamasa kwenye michezo hususani mpira yamepewa nafasi ndogo sana. Mpira ni mchezo wa medani unaitaji mikakati, mbinu na uhodari kuweza kumshinda mpinzani wako. Hamasa zimewafanya wachezaji wa yanga kuwa overwhelmed na...
  12. Bwana Bima

    JamiiForums Tanzania Mtine bonge la CEO. Huyu ndio anaujua sasa mpira wa Afrika

    Itoshe kusema jamaa anatosha kabisa kukalia kiti cha CEO. Naamini huyu ndo atatusaidia kuleta kombe la CAFCL hapa bongo. Nilianza kumuelewa kuanzia tulipopangwa na rivers and now tumepewa waamuzi wa Congo wawili yaani referee na line number 2 huyo mbili ni wa south. Ngojeni muone USM...
  13. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Mpira wa "Anao anao" wa Fiston Mayele unamkosesha soko

    Kwanza niwapongeze Yanga kwa kufika Fainali. Huyo mganga wenu msimuache na akifa endeleeni na atakayemrithisha matunguli yake. Leo nazungumzia goli la pili alilofunga Mayele. Nimpongeze kwa kuwa mshambuliaji mwenye kasi ya ajabu. Ananikumbusha wachezaji wa zamani kina Lunyamila na hata Ronaldo...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Niliacha kushabikia mpira nilipobaini Mpira unageuza Watu Wachawi!

    Asalamu alyekum! Niliacha kushabikia mpira miaka 10 iliyopita Baada ya kugundua kuwa Mpira unanigeuza kuwa wanga, mchawi na mwenye Roho ya husda. Nilikuwa Mshabiki wa Simba Kwa timu za ndani, Huko Ulimwenguni nilikuwa Mshabiki wa Liverpool. Lakini nikaja kugundua kila timu pinzani(namaanisha...
  15. kavulata

    JamiiForums Tanzania Yanga ni bingwa 2023, ni darasa kwa wadau wote wa mpira nchini

    Mpira ni uwekeaji, uongozi wa vijana na usajili wa vijana wenye vipaji. Mpira unachezwa na vijana hivyo huwezi kuwa na viongozi wa mpira wazee waongoze mpira. Mpira sio ulozi na mizengwe bali sayansi ya mpira kama kama waliyonayo Nabi na kaze. Mpira ni coordination ya wadau wengi, sio mtu...
  16. bitebo7

    JamiiForums Tanzania Hongera mtani mpira sio uadui

    Nawapongeza watani zetu, ingawa roho inauma kwa mafanikio ya soka lenu lilivyokua kwa kasi Kwenye ushabiki nitasema nyinyi ni wabovu ila mbungi ikipigwa nakubari kuwa mlijifunza kutoka kwa 🦁 na mmeongeza kitu zaidi Mwakani naamini chama langu SIMBA litafanya mabadiriko, nasi tutaonesha...
  17. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Siasa zinaamua pia mpira: Kipindi cha Rais wa Pwani / Zanzibar GSM huwa anachapisha pesa, Timu anayoidhamini itaendelea kutawala hadi 2030

    Kwa mpunga anaoingiza kwenye biashara kwa sasa pesa zinatiririka mithiri ya mashine ya kutoa copy. Kipindi cha Kikwete mambo kwa GSM yalikuwa poa sana japo hakuwa kaingia kwenye mpira. Kipindi cha Magu hali ilikuwa ngumu sana, hapa nakumbuka alikuwa anasumbuliwa hata na kina Makonda Rais wa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania FIFA irudishe sheria ya kuchomekea, vijana kwenye mpira wamekuwa wahudi sana

    Kuchomekea shati au tu kochomekea tu ni ishara ya udhanifu na heshima duniani kote. Hilo linafahamika wazi. Ukiangalia wachezaji wa mpira kabla 2005 kurudi chini walikuwa na heshima, dhanifu sana kwasababu walikuwa wanachomekea jezi. Lakini baada ya 2005 FIFA walipoivunja sheria ya...
  19. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Ni lini ukarabati na ujenzi wa viwanja vya kisasa vya mpira utaanza chini ya Serikali hii?

    Ndugu Watanzania, umekuwa ni wimbo usiokuwa na mwisho,kila siku ni maneno tu,"tutakarabati,tutajenga uwanja Dodoma wa KISASA " lakini wapi. Wimbo huu toka mwaka 2020 Hadi sasa unaimbwa tu. Watanzania wamegeuzwa wajinga,wanabebeshwa mabango kwenye mechi za Yanga na Simba eti anaupiga mwingi...
  20. Frank I Ritte

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli timu ya Taifa ya mpira wa kikapu ya Walemavu jezi zao zimeandikwa na maker pen?

    Hivi ni kweli timu ya taifa ya mpira wa kikapu(basketball) ya walemavu jezi zao zimeandikwa na maker pen hamuoni mnaaibisha taifa?
Back
Top Bottom