mpesa

  1. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimehamisha fedha kutoka Benki kwenda M-Pesa yenye makosa, nifanye nini?

    Ndugu wanabodi, Nimehamisha kimakosa fedha kutoka account ya benki kwenda M Pesa ya mtu lakini nikawa nimekosea. Nimepiga customer service ya benk kwa sasa wamefunga na nikipiga voda 100 imeishia kunipeleka Wassap.
  2. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Badala ya Noti kwanini Serikali isitengeneze Mpesa yake?

    Kwanini serikali isiunde mpesa yake ambayo watu watakuwa wanatumiana pesa na kufanya biashara bila makato yoyote. Yaani kama hivi wanavyofanya kwa noti. Si litakuwa jambo la kimapinduzi sana ikifanya hivyo halafu baada ya muda noti zikaondolewa kwenye mzunguko.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Vodacom: Baada ya ujio wa Tozo, mapato ya MPESA yameshuka kwa 13.9%

    Kwenye report ya hesabu ya robo ya tatu ya Vodacom wamekiri kua mwanzoni mwa mwaka hali ilikua nzuri ila baada ya ujio wa tozo, wateja wa MPESA zaidi ya milioni 1.3 wameacha kabisa kutumia huduma za kutuma na kupokea simu ama MPESA hivyo kupelekea kushuka kwa matumizi na mapato kwa 13.9%. Soma...
  4. GwaB

    JamiiForums Tanzania Kulikoni Vodacom Mpesa Mastercard?

    Katika hali ya kushangaza leo niliomba kuangalia mini statement kwenye akaunti zangu za Vodacom. Nimebaini kuwa pesa zangu zilizokuwa kwenye akaunti ya Mastercard zimerudishwa Mpesa. Hivi sasa huduma ya Mpesa Mastercard imeondolewa kabisa kwenye menu. Inawezekana Vodacom walitangaza...
  5. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania House4Sale Banda la Miamala linauzwa, keko Dar es salaam

    Nipigie 0713096076 bei 250,000
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu kuhusu API za tigo pesa na Mpesa

    Habarini ndugu zangu! Kwa anayefahamu kuhusu hizi API za tigopesa , Mpesa , Je? Huwa ni za kulipia?na kama ni kulipia ni Tsh ngapi?
  7. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Mpesa inakataa kutuma pesa tigo pesa, TCRA waangalieni hawa voda.

    Siku nyingi. Nikijaribu kutuma pesa kutoka Mpesa kwenda Tigopesa inakataa. Inarudiarudia kusema niweke namba ya siri hata mara kumi. Nahisi Voda wanafanya hili makusudi, labda wana bifu na Tigo. Maana hata kununua airtime tigo kwa kutumia Mpesa haiwezekani. Kama wana bifu, basi linatukwamisha...
  8. Sengo Furaha

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje kupata line ya lipa kwa mpesa?

    samahani wadau kuna mwenye ujuzi jinsi ya kupata line ya lipa kwa mpesa utaratibu gharama na faida zake
  9. Vodacom Tanzania

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Ndugu mteja, Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu? Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi. Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya: - Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika...
  10. NnkoJR

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tozo mpya zinauma, lakini zinaweza kuwauma CCM,upinzani ukasongesha

    ALHAMISI ya Julai 15, 2021 inaweza kuwa moja ya siku yenye kumbukumbu ya kuchosha akili za mamilioni ya Watanzania, ambao simu imekuwa tegemeo lao la kufanya miamala ili kufanikisha shughuli mbalimbali za kibinafsi na hata maendeleo yao. Hii ni kutokana na kuanza kutekelezwa rasmi kwa tozo mpya...
  11. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Mpesa hawajaweka sytem ya kuweza kulipia kwenye app za google play?

    Nimecheki nimeona wenzetu Kenya, safaricom wanaruhusu hili jambo, tena muda mrefu sana. Hii inarahisisha sana malipo. Si kila mtu ana mastercard au visa card. Kwanini Mpesa na wenzake hawaliangalii hili?
  12. Gentleman96

    JamiiForums Tanzania Natafuta eneo kwaajili ya mgahawa au M-Pesa. Mtaji laki tano tu

    Habari wakuu. NATAFUTA ENEO KWA AJILI YA MGAHAWA AU M PESA MTAJI LAKI TANO TU. Nimehangaika sana hapa Dar sasa nimepata laki tano kama mtaji wa kuanza kufanya biashara ndogo ndogo kwa sababu njaa ni kali sana. Hivyo nimefikiria kuanza biashara za migahawa, baba/mama lishe, m pesa au kuuza nguo...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mbunge ataka kuwe na utaratibu wa kuchukua fedha M-Pesa, Tigo Pesa kwa watu wanaofariki na kuacha fedha huko

    Mbunge wa Viti Maalum, Judith Kapinga amesema watu wanaofariki na kuacha fedha kwenye mitandao kama Tigo pesa, M-Pesa, Airtel Money nk wanazinufaisha kampuni za simu huku serikali ikiwa haipati kitu. Ameishauri serikali iweke utaratibu ili ndugu wa karibu waweze kudai fedha hizo na serikali...
  14. D

    JamiiForums Tanzania M-Pesa kulikoni haifanyi kazi?

    Tangu asubuhi najaribu kununua muda na bundle sipati inagoma tu, na hatujaambiwa chochote, na mzigo wote upo humo, leo mipango hakuna yani.
  15. Samedi Amba

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutuma transferwise (WISE) kwenda Voda Mpesa

    Habari wanajamvi, Kwa wale tunaofanya kazi mtandaoni, what's the best way kutransfer hela from Wise kuja Mpesa/Tigopesa? Kuna rafiki yangu kaniambia Mpesa ni dakika 30, sasa bank transfer nilijaribu, wananiambia 48 hours! Msaada please.
  16. A

    JamiiForums Tanzania TILL ya TigoPesa na M-Pesa

    Nina shida na lines ya M- Pesa na Tigopesa na ana full documents zote na niko Dar es Salaam. Mwenye namba ya mawakala wakuu wa Mpesa na TigoPesa naomba au kama unatengeneza hizi lines nijulishe kwa namba 0625828267
  17. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Till za Mpesa na Tigopesa

    Nina shida na lines ya Mpesa na Tigopesa, nina full documents zote na niko Dar es salaam. Mwenye namba ya mawakala wakuu wa Mpesa na Tigopesa naomba au kama unatengeneza hizi lines nijulishe kwa namba 0625828267
  18. HAZOLE

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu akifa na hela zake ziko benki na Mpesa, tukiwa na cheti cha kifo tunaweza fuatilia?

    Wajuzi naomba msaada. Ndugu kafa. Ana akaunti benk ila password hazijulikani pia ana mpesa na pesa zipo ila no password. Mkewe ana death certificate. Atapataje pesa za mmewe? Pia ana cheti cha ndoa. Msaada
  19. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania M-Pesa: Ubunifu wa Kenya wazidi kuongoza Afrika kwa miamala

    Mchango wetu kwa ukuaji wa Africa ni jambo la kufurahisha kwa kweli, tulibuni MPESA na sasa inazidi kuwa tegemeo la Afrika. === Mobile money platform M-Pesa is now processing transactions of Sh1.6 trillion per month in Kenya and other African countries, making it the largest payment platform on...
  20. lwifunyomangula

    JamiiForums Tanzania Mpesa MasterCard Tanzania: Kama unapenda uhakika wa malipo yako mtandaoni USIITUMIE

    Habari wana-bodi, kwa Majina naitwa Lwifunyo Mangula, ni mmoja wa watu wanaopenda technolojia ikiwamo IT ninaifurahia na nina kautaalamu kidogo kuhusu online business maana ninapenda hivyo vitu. So hapa nipo kutoa ushauri kwa wadau wengine kuhusu MPESA MASTERCARD TANZANIA kulingana na UZOEFU...
Back
Top Bottom