Habari wana-bodi, kwa Majina naitwa Lwifunyo Mangula, ni mmoja wa watu wanaopenda technolojia ikiwamo IT ninaifurahia na nina kautaalamu kidogo kuhusu online business maana ninapenda hivyo vitu. So hapa nipo kutoa ushauri kwa wadau wengine kuhusu MPESA MASTERCARD TANZANIA kulingana na UZOEFU...
Kilio cha wadau cha kutaka kurahishwe njia za kupokea pesa zimeanza kusikilizwa
Sasa hivi Mteja wa vodacom mwenye Mpesa Sasa waweza pokea pesa toka nchi za nje kwenye simu yako ukitumiwa kwa njia ya World Remit,Money Gram na Juba express.
Kama una mtu nje na una namba ya vodacom yenye Mpesa...
Nazungumzia namna ya kulipa deni ulilorushiwa kwa M-pesa, Tigopesa, halopesa nk. Katika maisha ni kawaida kukwama na kuomba marafiki watunasue na kamkopo.
Mtu anakukopa tuseme laki tano. Unamrushia kwa mpesa (yaweza kuwa mtandao mwingine wowote) laki tano na elfu kumi ili apate na ya kutolea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.