Habari wana JF,
Mimi ni mvulana miaka 27 ni mfanyakazi katika taasisi fulani hapa Dar.
Mimi naingia kazini kuanzia saa 1.30 asubuhi na kutoka saa 12 jioni hivyo mda mwingi nakua kazini. Naishi temeke.
Natafuta mpenzi awe sifa zifuatazo;
1. Awe na umri kati ya miaka 18 hadi 25
2. Asiwe...