Natafuta mpenzi ambaye atakuwa mke wangu wa ndoa soon

ubnt

Member
Jul 21, 2020
85
56
Habarini ndugu zangu, nimeingia kwenye jukwaa ili kutafuta mpenzi wa kike ambaye ataenda kuwa mke wangu ivi karibuni:

SIFA ZANGU:
Urefu: Ni mrefu wa wastani
Umbo: sio mnene wala sio mwembamba sana.
Rangi: Maji ya kunde
Dini: Christian (RC)
Elimu: Degree 1
Status: Single na sijawahi kuwa na mke wa ndoa wala mtoto.
Shughuli : Nimeajiliwa taasisi binafsi
Makazi: Napatikana Dar es saalam
Age: 30

SIFA ZA MWENZANGU NINAYEMTAKA:
Urefu: wa wastani
Kabila: Lolote
Umbo: Siza ya kati plus Shape nzuri**
Rangi: Yeyote
Dini: Awe Mkristo mwenye ofu ya mungu**
Elimu: Angalau form six, diploma na kuendelea..
Status: Asiwe na Mtoto**
Shughuli: zozote halali za kuingiza kipato
Makazi: Popote ila around Dar itapendeza zaidi
Age: Around 21-30

Note:
**- namaanisha ndio za kuzingatia sana

Aliye serious aje PM, Kama haupo serious please please usije pm.
Asanteni
 
Chura will be added advantejii in your CV so leidi hurry up

.mkuu ulikuwa umesahau hio sifa
 
Una miaka 30 lakini unatafuta mume mwenye miaka Around 21-30. Ruhusu pia mume wako akuzidi umri kidogo; na siyo mbaya ukiruhusu mabaharia wa kuanzia 21-35 au mpaka 40 kabisa. Nasema hivi kwa sababu, kulingana na maumbile yenu na misukosuko ya kubeba mimba; na heka heka zingine za ndoa miili yenu hubadilika sana na ni rahisi kuchakaa mapema. Ni kwa sababu hii inapendekezwa sana kuwa mume akuzidi umri angalau miaka mitano hivi.

Halafu umeweka kigezo cha shepu nzuri. Sikukitegemea kukiona kigezo hiki kwa mwanamke wa miaka 30. Hiki kinaashiria utoto na huwa tunaviona vigezo hivi kwa mabinti wa 18-25; mabinti ambao bado wanajiona kuwa dunia yote ni yao kiasi kwamba bila six packs na gari kali huwezi kuwasogelea. Umejiaandaje kisailokojia kama ukimpata huyo mwenye shepu nzuri lakini baada ya miaka miwili au mitatu huko mbele ya safari akafumuka kitambi? Ndoa itakufa ama?

Yote kwa yote haya ni maisha yako lakini mimi nilikuwa natoa angalizo tu. Usinielewe vibaya na nakutakia kila la heri mkuu.
Soma tena kaka huyu ni mwanaume anatafuta NKE.
 
aiseeeeeeeee..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom