Muda wa kumteka mpenzi wako kimahaba ni usiku kati ya saa 4 na saa 8 usiku

Janjawid

Member
Jul 15, 2020
93
185
Hii ni kwa wale wanaoangaika na kutafuta wapenzi au kutafuta namna ya kuwashawishi watu wenye wapenzi tayari,muda mzuri wakuchanga karata zako nikuanzia SAA 4 hadi SAA 8 usiku wa manane ukiweza kuwa na salio lakupiga kuanzia mida hiyo kwa wiki mbili mfululizo unaweza kuwa na nafasi kubwa yakushinda mtihani huo au kuchukua mpenzi wa MTU hayo huitwa masaa ya Hisia halisi
 
Umeshachukua fomu, kuijaza na kuirejesha? Mapenzi wapelekee akina stunter, daby, sent heaven kule mmu, hapa tuletee mbinu za kumteka jiwe aamke vizuri apitishe majina yetu tukale mema ya nchi mjengoni.
 
Fomu tumechukua na hata kama tuko 8000 lkn na mapenzi tunafanya
 
Naona mmeanza kutumia mbinu za kichawi sasa..!
We kesha ila jua kuna mabaharia asubuhi tu ikimnunulia supu kwisha habari..
 
Back
Top Bottom