Mpenzi ndani ya social network

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
2,080
2,000
Ni sahihi kuanzisha mahusiano na mtu unayekutana naye social network ? Hili swali nafahamu sio ngeni masikion mwenu embu na leo tulighamue (review)
 

recycle Bin

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
2,292
2,000
Ni sahihi ila kuna vipaumbele kabla ya kuanzisha mahusiano nadhani unazungumzia mahusiano ya kimapenzi ujaspecify ni mahusiano ya aina gani.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom