mpenzi

  1. Ncha Kali

    JamiiForums Tanzania Unamwacha mpenzi kisa hazai, akienda kupata mtoto kabla yako utajisikiaje?

    Hii kitu usiombe! Tumeumbwa na wivu wa asili, japo sio uchawi ila inapotokea unaanza kuombea mabaya wenzako. Huu unabaki kuwa ukweli mchungu unaotibu kwa kuchoma roho yako. Nyieee..!![emoji1614][emoji36]
  2. Kapepo

    JamiiForums Tanzania Naamka nakuta kaniblock

    Habari wakuu, Nina mpenzi wangu ambaye nampenda kweli yaani, sasa tumeongea usiku huu kwenye saa mbili hivi akasema atanicheki, ikabidi nijipumzishe naamka usiku huu nakuta nimechezea block bila kujua nini chanzo dah, haya mapenzi haya dah [emoji1787]
  3. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Unapopewa zawadi na mpenzi wako jiulize una mapungufu yapi?

    Wakuu habari za weekend, Leo nakuja na ushauri au maoni yangu juu ya uhalisia wa zawadi tunazopokea toka kwa wapendwa wetu tuwe tunazitafakari kwa upande wa pili. Namaanisha unaletewa Pafyumu au body spray jua kabisa unaharufu mbaya inayomkera mwenzio ila kashindwa namna ya kukwambia na hataki...
  4. Granted Faith

    JamiiForums Tanzania Usipompa Mkeo/ Mpenzi wako pesa basi utasaidiwa na wanaojua kujali

    Wanaume acheni ubahili kwa wapenzi wenu ili kuepuka dharau na kuibiwa. Mwanaume usipompa mpenzi wako pesa au kumjali kwa vizawadi na care za hapa na pale basi jua lazima mkeo; 1} Akudharau 2} Awe kisirani kisichoisha 3} Ni rahisi sana kukucheat 4} Atakuchukulia poa Acheni ubahili mpe mpenzi...
  5. kilamba lamba

    JamiiForums Tanzania Unamchukuliaje mpenzi wako ambaye anakujibu "shida yangu haikuhusu"

    Nawasalimu wana Jambi. Natumai mu wazima. Aiiisee! Nimekaa hapa kuna jambo kidogo limenipandisha hasira. Iko hivi , nimempigia manzi kwa kutegemea muda huu atakuwa home . lakini katika kumuuliza akaniambia ametoka kidogo . Ikabidi nimuulize , umeenda kufanya nini huko ulipoenda . Akanijibu kuna...
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyowaacha wapenzi wapenda pesa

    Ashukuriwe Mungu kwamba mpaka leo wapo wanawake wanaompenda mwanaume kwelikweli. Yaani toka moyoni. Ila wapo kwa uchache sana, hawa ukiwa nao kwenye uhusiano huteseki. Mnaishi maisha ya kusaidiana. Akiwa vizuri anakutoa, ukiwa vizuri unamtoa. Mkichalala wote mnafarijiana mnafurahi. Maajabu ni...
  7. financial services

    JamiiForums Tanzania Jinsi gani uliweza kuendelea baada ya kuachana na mpenzi uliyekuwa unampenda sana?

    Habari wakuu. Hivi mliwezaje kumove on, mimi nashindwa kabisa kumsahau huyu EX mpenzi niliyetokea kumpenda sana ila kutokana na sababu kadhaa hatukuweza kuendelea na mahusiano, ni muda sasa umepita tangu alivoniacha ila bado namfikiria sana na nilijipa muda huenda angeweza kurudi ila ndiyo...
  8. KENZY

    JamiiForums Tanzania Kwako mpenzi wangu

    Sikuwahi kupenda hivi kama ninavyokupenda wewe. Hisia zangu juu yako hazipimiki Kama usivyoweza kuupima ulimwengu!,umekuwa ukitikisa hisia zangu pindi nisikiapo sauti yako tamu. Hakika nimepata mpenzi nakuahidi kukutunza na kukuimbia utenzi. Tabasamu lako hunimulika na kuuona uzuri wako!,si tu...
  9. B

    JamiiForums Tanzania GEITA: Amteka mpenzi wake akitaka arudishiwe hela alizohonga, amuua

    Amteka mpenzi wake akitaka arudishiwe hela alizo honga, amuua Jeshi la Polisi Mkoani Geita linamshikilia mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 30 kwa tuhuma za kumuua mpenzi wake aitwaye Esta John (28) mkazi wa Ibamba Wilaya Bukombe Mkoani humo ambaye kabla ya kifo chake alitekwa nyara na mpenzi...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Unatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani hadi unaamua kula makombo? Single mama hana moyo wa kupenda tena. Hapo amekufanya wewe mwanaume...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi mtu mzima

    Akiwa na mtoto au watoto amezaa ni vizuri. Akiwa aliachika katika ndoa na angalau alipewa taraka itapendeza zaidi. Asiwe chini ya miaka 35 na asifike 55. Dini yake yoyote aendelee nayo. Mi situmii pombe na yeye ajitathimini. Awe ni mnene wa shep au awe na mzigo. Awe anaishi Dar au jirani...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kijana wa miaka 29 sina kazi, sina mpenzi ila ninaishi

    Kijana mwenzangu kama title thread ilivyo jinsia ni mwanaume 29 years old, Graduate. Sina kazi rasmi zaidi ya mishe za hapa na pale, wala sina mpenzi ni jukumu ambalo siwezi kulimudu kwa sasa. Ratiba yangu kwa siku nikuamka na kushukuru Mungu kwa uhai, kwenda kuzurura huko duniani angalau...
  13. Brigadier Isaac

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kufanyiwa visa kisa kumkatalia mtu kuwa mpenzi wako?

    Habari wa JF members. Leo nilikuwa nimekutana na rafiki yangu niliyewai soma naye shule moja hivi ambayo baadae nikaja kuhama tulikua tukielekezana habari za baada kutengana muda mrefu, baadaye mazungumzo yakahamia ishu moja kipindi nasoma iyo shule kabla sijahama ishu yenyewe ilikuwa inahusu...
  14. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ndoto anazoota huyu jamaa na mpenzi wake

    Nimekuwa na Jamaa ya ambaye tumeishi wote toka shule ya Msingi , mpaka sekondari. Kwanzia kidato cha tano ndipo mtengano ulipotokea baina yetu kwa kuwa tulipangwa shule tofauti , lakini uswahiba wetu upo hata asa. Tuseme kiubinadamu , kila mtu anakuwa na Yule Rafiki yake ambaye Amejawa Utayari...
  15. 2

    JamiiForums Tanzania Mpenzi aliyenisaliti amerudi, nawaza nimfanye nini?

    Habari wana bodi, Niende moja kwa moja kwenye maada tajwa hapo juu, ni miezi takribani 3 tangu aliyekuwa mpenzi wangu (x-girlfriend) aliponiacha kwa kunitamka kuwa "kuanzia leo mimi na wewe basi" alipo nitamkia sentence iyo tu tangu siku iyo hakuwai kuona sms wala calling yangu, nilifuta...
  16. TheGreatASA

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanasema simu ya mpenzi wako sumu?

    Wengi wanajutia au hata kufurahia uamuzi wao wa kujikuta wanachungulia ujumbe na mawasiliano ya wenzao katika simu zao za mkononi lakini matokeo yake ni jambo ambalo hawakulipangia. Ni kifaa kidogo cha mkononi ambacho kilifaa kurahisisha mawasiliano miongoni mwa watu. Lakini sasa hivi kama...
  17. kilamba lamba

    JamiiForums Tanzania Je, ni muhimu kufahamu chanzo cha kuvunjika mahusiano ya mpenzi wako na EX wake?

    Nawasalimu wana jukwaa. Natumai mu wazima sana humu ndani. Kuna jambo ningependa kufahamu kutoka kwenu. Je, hivi ni muhimu kufahamu chanzo cha kuvunjika mahusiano aliyotoka mpenzi wako kabla ya kuwa na wewe. Na hii ni kwa wote, wanaume na wanawake? Ukweli wako kwa upande wako ni muhumi hapa.
  18. Handsome boy 1

    JamiiForums Tanzania Nimesalitiwa na mpenzi wangu, naumia sana na sina raha kabisa

    Ni mwaka wa pili sasa nipo kwenye mahusino na mpenzi wangu niliyempenda sana na kumjali. Mwanzoni mwa mapenzi yetu alinionyesha tabia ambazo sizo tabia za kuchat na ma ex boyfriends wake na sio mmoja ni zaidi ya mmoja. Nilijitahidi sana kukaa naye kuongea nae na akakubali kunikosea hivyo...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Nini hasa lilikua lengo lake kuniuliza kama nimeoa au bado?

    Kuna msichana nikikutana nae maeneo flani katika mizunguko ya hapa na pale nikatokea kumpenda, ingawa sikumuweka wazi palepale ila nilifanikiwa kupata mawasiliano yake na yeye mwenyewe ndie alienipa. Mwanzoni tulikua tu kama marafiki wa kawaida ila baada ya kupita kama wiki moja nikaona...
  20. Thomas10

    JamiiForums Tanzania Nilivyomshauri rafiki yangu aliyeachwa na mpenzi wake

    Rafiki yangu wa karibu, aliachwa na mwenzi aliyemhudumia kwa miaka takribani sita (6) hivi. Alianza nae mahusiano binti akiwa amemaliza kidato cha nne, aliapata ufaulu wa daraja la nne (div 4 point 28) Alijitoa kumlipia ada na mahitaji mengine ya kibinadamu tangu alipoanza masomo ya ngazi ya...
Back
Top Bottom