mpenzi

  1. Ndenji five

    JamiiForums Tanzania Ulichukua maamuzi gani ulipokuta SMS za miadi za ex wa mpenzi wako kwenye simu yake

    Wakuu kila mmoja najua kapitia au anapitia haya mambo unakuta tu hutarajii umeshika simu ya mpenzi wako Mimi bwana ilikuwa jumamosi moja hivi natoka zangu masafa si unajua wengine sisi sio wakaaji wa nyumbani ile unatoka hom leo kurudi pengine wiki kazaa mbele Basi bwana baada ya wiki kazaa...
  2. Kifaru86

    JamiiForums Tanzania Katika mahusiano mapya ukigundua mpenzi uliyenaye hakukubali huwa unachukua hatua gani?

    Mwanamke au mwanaume yeyote anapokuwa mwenye akili timamu zilizo tulia katika mahusiano mapya kuna vitu ni lazima utavigundua kama huyu mpenzi wangu ananikubali au hapa nilipo nalazimisha huu uhusiano. Kwani utagundua huyu mtu nilie naye hanikubali Je, ukigundua mahala ulipo haukubaliki huwa...
  3. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Harmonize: Zuuh ni mpenzi wangu wa kwanza

    Nyota wa Bongo Rajab Abdul Kahali almaarufu kama Harmonize amefunguka kuhusu utata uliozingira kuzaliwa kwa binti yake Zulekha Nasra. Alipokuwa anafafanulia mashabiki wake maana ya nyimbo zilizo kwenye albamu yake ya pili 'High School' hivi majuzi, mwanamuziki huyo alifichua kwamba kuzaliwa kwa...
  4. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Marioo: Sina mpenzi na sijawahi

    Msanii wa kizazi kipya Omary Ally maarufu kama Marioo, alisema hana mahusiano na wala hajawahi kuwa na mahusiano na mwanamke yoyote yule katika maisha yake. Marioo alibainisha hayo Agosti 28, 2019 wakati akizungumza katika Kikaangoni cha EATV wakati akijibu swali aliloulizwa kuhusu mwenendo...
  5. Ben Zen Tarot

    JamiiForums Tanzania Mambo 20 ya kumuambia mpenzi wako Kila siku

    Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza kutumia maneno matamu. Na lazima ujue kuwa sio kila neno unalotumia litagusa moyo wa mwanamke unayemtaka, Lakini maneno matamu yanafanya kazi ya kushangaza. Wakati vijana wengine wanalalamika...
  6. Equation x

    JamiiForums Tanzania Dalili zinazoashiria mpenzi wako wa kike anakuitaji

    Hizi ni baadhi ya dalili zinazoashiria mpezi wako wa kike anataka penzi:- Ukimuuliza swali anakujibu kwa lugha ya ukali Akianza kukusemesha yeye ataongea kwa taratibu bila kujiamini Anaweza kukuuliza kitu kisichokuwa na maana yoyote na ukahisi labda ana akili za kitoto Anasahau sahau kitu...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kumwambia mpenzi au mke wako kuwa hakuridhishi?

    Wakuu naomba tusaidiane. Unawezaje kufikisha ujumbe kwa mapenzi wako au mkeo kuwa hakulidhishi? Je, ni sahii kumwambia direct au Kuna njia ya kufikisha ujumbe huu kwa wepesi? Je, ni sahii kujinyima raha ya kulidhishwa kimapenzi kwa kigezo cha kuitwa mwaminifu na mwenye msimamo? Karibuni
  8. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Hivi Mwanamke kutopenda Kuomba Omba Hela kwa Mpenzi wake ina Maana gani?

    Nianze kwa kusema OLE OUT! Wanangu wa MAN-U na Leo tunakufa tena. Turudi kwenye Topic. Wakuu hapo nyuma nilikua na Mpenzi Dadek Pisi kali ya kwenda ila ilikua inapenda Pesa sana hela za Shopping ilikua kila week mara kusuka na ukweli alikua hakuna mda hajapendeza hadi Rafiki zangu walikua wana...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanaume hamko serious, weekend outing na mpenzi wako unaishia kumnunulia maji ya Tsh. elfu 1 tu, kweli?

    Jumapili moja nilikuepo kwenye mgahawa mmoja hapa Dar, kiukweli ni mgahawa wenye hadhi kidogo (upo classic) mgahawa una ukuta wa kioo, ndani kiyoyozi plus tv Pana flat screen. Nilivokua nje ya mgahawa mara akaingia mdada mmoja mzuri kweli nikasema dooh. Mungu ni fundi ile nimeingia ndani mdada...
  10. Fall Army Worm

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kujilaumu baada ya kufanya mapenzi na mpenzi wako?

    Wapendwa habari za jioni. Bila shaka kila mmoja wetu ameshashiriki Mapenzi mara kadhaa iwe na mke/mume wako au mchumba au mchepuko au Malaya tu. Na kabla ya kumpata ulikuwa umemjengea picha fulani kuwa atakuwa na ladha fulani ya pekee na sifa kibao kutokana tu na mwonekano wake wa nje, lakini...
  11. Cvez

    JamiiForums Tanzania A crazy story na mpenzi wangu wa Chuo

    Wiki mbili zilizopita ilikuwa niwe na date with my ex, mpenzi wa Chuo. To give you a back story, ni binti ambaye nilidate nae wakati tupo chuo kwa muda kama miezi 4 au 6 hivi. Nilimpenda sana ila unfortunately ndio only mpenzi nilidate nae kwa muda mchache. Ni mrembo haswa na ana self...
  12. Equation x

    JamiiForums Tanzania Dalili mojawapo ya kujua mpenzi uliyekutana naye kwa mara ya kwanza anakupenda

    Unapompatia namba yako ya simu, yeye ndio anakuwa wa kwanza kukutafuta, iwe kwa meseji au kwa kukupigia. Lakini wengi sisi huwa tunakosea, unakuta wewe ndio uliyempatia namba yako ya simu na unakuwa wewe ndio wa kwanza wa kumpigia mara kwa mara bila yeye kukutafuta, hiyo inaitwa kujipendekeza...
  13. chugaa

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kumfanya mpenzi wako awe na Exposure?

    Wasalaam JF, Kuna binti nimetokea kuwa naye kwenye uhusiano miaka miwili sasa. Nampenda jinsi alivyotulia mpole , mstaarabu ,mcha Mungu na asivyo na tamaa hana makuu. Tatizo Academic exposure yake ipo chini sana , sizungumzii ile exposure ya Kidimbwi na Juliana. Kifupi huyu binti amesoma na...
  14. Equation x

    JamiiForums Tanzania Maana halisi ya kutafuta mpenzi, ni kutafuta mtu aje akusaidie kutumia fedha zako ulizozitafuta kwa jasho

    Maana halisi ya kutafuta mpenzi, ni kutafuta mtu aje akusaidie kutumia fedha zako ulizozitafuta kwa jasho. Kama wewe unaponda kokoto tani 20, unatafuta mtu aje akusaidie kutumia fedha zako kutokana na mapato uliyoyapata kwenye kazi ngumu ya kuponda kokoto. Kwa hiyo kama mpenzi wako anayumbisha...
  15. Kifaru86

    JamiiForums Tanzania Je, kuna faida gani ya kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja?

    Ningependa kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja huwa kuna faida yeyote ilee unapokuwa na mpenzi wa njee. Kama ndio hebu tueleweshane kuhusu hili jambo.
  16. sanalii

    JamiiForums Tanzania Usimfanyie wema wa kuzidi mwanamke aliye - single au mbali na mpenzi wake

    Sijui kama ni nature ya wanawake au ni dunia imekua na watu katili kiasi cha kuwa ukimfanyia wema mtu anakuona wewe ni wa ajabu na anatafuta mbinu kurudisha wema wako. Mwanzoni ilikua najua labda ni kwa walio single tu ila sasa hadi mke wa mtu yaani unamsaidia jambo kwa wema then yeye...
  17. Bata batani

    JamiiForums Tanzania Dalili 6 zinazoonyesha mpenzi wako hajaachana na ex wake

    1.Ukiona mpenzi wako kila unapomuomba tendo la ndoa anakwambia subiri au usubiri au unakupiga kalenda ujue bado hajaachana na ex wake 2.Ukiona mpenzi wako kila mkiongea anataka uwe unaongea point 3.Ukiona mpenzi wako kipindi akiwa na shida huwa ana speed sana ya kukutafuta alafu shida ikiisha...
  18. kilamba lamba

    JamiiForums Tanzania Ukikuta meseji ya kimapenzi kwenye simu ya mpenzi wako, kipi cha kwanza cha kufanya?

    Natumai mu wazima sana. Utafanya nini cha kwanza unapokuta meseji ya kimapenzi ya mtu mwingine kwenye simu ya mpenzi wako .je utafatilia kimya kimya ujue ukweli, au utaamua kumkalisha chini mpenzi wako na kumwambia ukweli?
  19. HUKU ABROAD

    JamiiForums Tanzania Cha kufanya baada ya kuachana na mpenzi wako

    Ukweli ni kwamba mkiachana. Sio kwamba mmeachana. Ni kama mme pumzishana Sasa akitokea ni mwanamke ameringa kabisa Cha kufanya 1. FUTA namba yake ya What's App asione Picha zako 2. Kama ulimfollow . Mu unfollow chap chap alafu mblock 3. Kama ulikua na mchongo una. Fanya, utaona pole pole...
  20. HUKU ABROAD

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu amenichoka, amehama kabisa nchi

    Tulianza mahusiano vizuri tu baada ya mwezi akapata scholarship kusoma nje ya nchii baada ya mwezi mmoja, mawasiliano yakapungua kinoma, na sasa cha kushangaza ameniblock kabisa.. Nifanyeje wanazengo na bado nampenda?
Back
Top Bottom