Nimesalitiwa na mpenzi wangu, naumia sana na sina raha kabisa

Handsome boy 1

Senior Member
Jun 2, 2021
105
142
Ni mwaka wa pili sasa nipo kwenye mahusino na mpenzi wangu niliyempenda sana na kumjali. Mwanzoni mwa mapenzi yetu alinionyesha tabia ambazo sizo tabia za kuchat na ma ex boyfriends wake na sio mmoja ni zaidi ya mmoja. Nilijitahidi sana kukaa naye kuongea nae na akakubali kunikosea hivyo kuniahidi mabadiliko na kweli niliyaona mabadiliko.

Toka hapo mpka leo ni mwaka na zaidi mnamo wiki iliyopita nilimtembelea mpenzi wangu nikiwa na zawadi yake niliyoinunua kwa kujibajeti kwani mshahara wangu ni mdogo na maisha ya mjini ni gharama lkn nkasema nimpatie mwenzangu hiki kidogo.

Nilifika kwao na kumkuta akiwa katika mazingira ya kuogopa nsije nkakutwa na mwanaume wake mwingine na haya niliyajua baada ya yeye kugoma kutoka nje jambo ambalo lilifanya tushinde tu ndani na muda ulipofika nilishika cm yake na niliyoyakuta basi najua mwenyewe.

Niliumia sana kiukweli sikuweza hata kuaga nilitoka na kuanza safari ya kurudi kwangu ambapo ni sehem ya mbali sana. Nilijikaza sana njian nlitaman nikae sehem nipate ata bia nisahau lkn nkasema hapana ngoja nirudi home tu. Nashukuru nipo likizo mana nisingeweza ku perfom kazini naumia kwa aliyoyafanya mpenzi wangu sikuwahi kuwaza kama tutaachana lakini sina jinsi sio fungu langu mana angekuwa fungu langu asingenisaliti.

Sasa nipo single naishi kiupweke nimezoea meseji zake kila mara nmezoea utani wake mara kwa mara lkn sasa nipo tu najaribu kujifariji lkn kuna muda nashindwa nmefuta picha zake na kila kitu chake. Sina raha kabisa japo siwezi tena kurudiana naye hata akiniomba msamaha.

Nimeumia kweli mtu ambaye kila mara nawaza juu ya ndoa yetu nawaza tutaishije badae nawaza watoto wetu badae wataishije najibana nipate kidogo nimuoe leo hii ananisaliti ni maumivu sijawahi yapata ndugu zangu.

1623394383009.png

Ukiona hivyo hakutaki, ana tamaa au achana naye utafute akufaaye. Utajiua kwa miwaya na uchuro bure. Shukuru Mungu mwanangu umegundua hayo. Kwani wanawake wamekwisha? Kama ni wale toka karibu na mlima mrefu barani ujue ndo tabia ya wengi wao. Kengeuka mwanangu mapema kabla hujaumizwa zaidi.
 
Asante mwamba ila hapo uliposema karibu na mlima mrefu kama umemaanisha mchaga ndo mwenyewe mwanangu
 
Asante mwamba ila hapo uliposema karibu na mlima mrefu kama umemaanisha mchaga ndo mwenyewe mwanangu
Sitaki niwahukumu wote ila ndivyo walivyo. Wanatembea hata na kaka zao, wajomba, baba wadogo na yeyote mwenye fedha. Atakuua kwa miwaya au ukimuoa mambo yakanyoka akunyotoe roho bure. Hawa japo ni wanangu, waogope kama ukoma. Waache wao kwa wao wamalizane mwanangu. Miili yao ni sawa na bajaj. Yeyote mwenye fedha anapanda mbele na nyuma bila kikwazo. Ni laana hao.
 
Nimejifunza sana kupitia hili
 
Real man knows when to walk away.
kuna red flags ambazo huwa unazifumbia macho.
kuchat na ma ex, kwake yeye simu ni bora kuliko kitu kingine, hata ukiongea nae focus yake ni kwenye simu si ww.

kaka ujue huna kitu.

jifunze kuwa a MAN. hawa viumbe wanapenda mwanaume mwenye maamuzi. ukiwa wa kulialia wanachepuka sana.

walk away dont look back.
 
Back
Top Bottom