moyo

Dambisa Felicia Moyo (born (1969-02-02)2 February 1969) is a Zambian-born economist and author who analyzes the macroeconomy and global affairs. She currently serves on the boards of Barclays Bank, the financial services group, Seagate Technology, Chevron Corporation, the global miner Barrick Gold, and the 3M Company. She worked for two years at the World Bank and eight years at Goldman Sachs before becoming an author and international public speaker. She has written four New York Times bestselling books: Dead Aid: Why Aid Is Not Working and How There Is a Better Way for Africa (2009), How the West Was Lost: Fifty Years of Economic Folly – And the Stark Choices that Lie Ahead (2011), Winner Take All: China's Race for Resources and What It Means for the World (2012), and the most recent Edge of Chaos: Why Democracy Is Failing to Deliver Economic Growth – and How to Fix It (2018). She holds a bachelor's degree in chemistry and an MBA from American University, an MPA from the Harvard Kennedy School, and a DPhil in economics from the University of Oxford.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu umegusa moyo wa watu wa Tarime

    Akiwa huko Tarime, Lissu alielezea namna alivyokwenda Tarime kwa mara ya kwanza mwaka 2003 ambapo alikuta wananchi wengi wamebambikiziwa kesi na wengine kufungwa kifungo hadi cha miaka 30 Jela kwa kupinga kuporwa migodi huko Nyamongo na wengine kuporwa ardhi zao. Huku akiongea kwa kutaja majina...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hoja mbili za Membe zawakonga moyo wazanzibari

    Katika mkutano wa mapokezi ya wagombea urais kwa tiketi ya ACT, mheshimiwa Membe alipewa dakika chache tu za kuwasalimia wazanzibari, katika dakika hizo Membe aliongea mambo mawili ambayo yaliwafurahisha sana Wazanzibari nayo ni 1)Mamlaka ya nchi ya Zanzibar ndani ya muungano 2) Kuwarudisha...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kukuza uzalendo miongoni mwa Watanzania?

    Wanajamvi, Ili nchi yoyote iweze kiendelea inahitaji wananchi wake wawe na uzalendo. Kwa maoni yenu, nini Kifanyike ili kukuza uzalendo miongoni mwetu sisi raia wa Tanzania?
  4. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Leo Dunia inasimama Yanga tumelipiza kwa kupiga kwenye chembe ya Moyo

    Kitendo cha Kumchukua Morrison kimetuvuruga sana. Maumivu yake bado mabichi kabisa. Simba mngechukua hata nzima lakini siyo Morrison. Sasa leo hii tunalipiza. Hatutawaacha salama. Tunalipiza sababu kisasi ni Sunna. Tutapiga kwenye chembe ya moyo. SUBIRINI MAMBO YANAKUJA MUDA SI MREFU...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Bangi husababisha maradhi ya moyo

    Taasisi ya Moyo ya Marekani imetoa tafiti inayoonyesha kuwa uvutaji wowote unaathiri mapafu, mirija ya damu na moyo kwa ujumla Utafiti wa hivi karibuni umeonyesha bidhaa zote za bangi zinazotumika husababisha maradhi ya moyo ikiwemo mshituko wa moyo na kiharusi Tafiti hiyo inatoa tahadhari kwa...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Wataalamu: Bangi sio salama kwa moyo wa binadamu

    Wataalamu na watafiti nchini Marekani wameonya wavuta bangi kua sio salama kwa moyo wako. Chama cha madaktari wa Moyo Marekani wamesema uvutaji bangi sio salama kwa moyo wa binadamu, hivyo kabla hujaanza kuvuta bangi shauriana kwanza na wataalamu wa afya. Weed is not good for your heart...
  7. majoto

    JamiiForums Tanzania Nakutia moyo: Furahi siku yako ipo na hicho kinachokunyanyasa kitalia siku hiyo

    Mpenzi msomaji, Popote ulipo Duniani Nakusalimu katika nia njema kabisa ya kukutia moyo. Kwa mfano huu! pokea faraja kwa kila gumu unalopitia. Daima kumbuka kwamba tuliumbwa na Mungu na Mungu wetu anatutakia yaliyo mema na yeye hutuandalia njia ya kuondokana na maumivu yoyote tunayotendewa na...
  8. SN.BARRY

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tamaa za Wateule wa Rais kutia nia Ubunge zitawaponza wengi. Ushahidi huu hapa wa Rais Magufuli na Humphrey Polepole

    KUNA FUNZO LOLOTE KWA SASA? Aprili 2019 Rais Magufuli ktk moja ya vikao vya ndani ya chama cha CCM, amemlaumu Naibu Waziri wa zamani wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na aliyewahi kuwa pia RC Tabora ndugu Ludovick Mwananzila kwa kumwita mwenye tamaa nyingi sana. Mwananzila alishika nafasi ya...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Usichague kazi, soma hapa nikutie moyo

    Naomba niwatie moyo wote wanaotafuta kazi bila mafanikio . Wakati nimemaliza degree yangu miaka ya nyuma kidogo, nilikaa kwa muda wa miaka miwili bila kupata kazi, Kila ninapopeleka application siitwi, ila nakumbuka niliitwa katika shirika moja kubwa tu lisilo la kiserikali kwa ajili ya...
  10. funaku

    JamiiForums Tanzania GE2020 Vijana wengi wasomi wamepata moyo kugombea kwa sababu ya uimara wa Magufuli

    Mzee Shomari ameniambia kuwa kuna wimbi kubwa la vijana wasomi wakiwemo madaktari,mainjinia n.k ambao wameshawishika kutia nia huku sababu yao kuu ikiwa ni uwanja huru na wenye fursa ndani ya CCM ambao umewekwa na mwenyekiti wetu wa chama. Nawaasa vijana wazalendo kutumia fursa hii adhimu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Chaguo la moyo wangu 01

    CHAGUO LA MOYO WANGU 18+ - 01 Ilikua ni asubuhi siku ya jumatatu ambapo watu mbalimbali walikua wakiendelea na mihangaiko yao ya kila siku ili kujitafutia riziki katika mji mdogo wa zingawe, kijana mdogo ambae kwa makadirio alionekana kuwa na umri wa miaka 22 aliamka katika kitanda chake baada...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Samehe kutoka ndani ya moyo wako

    Moja ya dhambi zinazowaangusha wengi ni “kutokusamehe”. Na hii inatokana mara nyingi na kutokuelewa nini maana ya msamaha. Ni rahisi kujilazimisha kusamehe lakini kama msamaha haujatoka ndani basi huo sio msamaha. Ili kuelewa vizuri, tuchukue mfano una mtoto mdogo labda wa umri wa miaka 6 hivi...
  13. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Kutamalaki Demokrasia: CCM iwatie moyo Wanachama kuchukua fomu za Urais

    Sio lazima wapitishwe, siyo lazima wapendekezwe. Ni muhimu ionekane demokrasia ipo na haiogopwi. Watu wasitishwe au kukatishwa tamaa. Kazi, sera, mitazamo na mafanikio yaliyosheheni ya Magufuli yanaonekana. Kuna mwanaCCM mwingine anafikiri anaweza kufanya au kuongoza tofauti na bora kuliko...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Corona: Sudan ya Kusini hali ni tete, tuwasaidie. Uzoefu tunao

    Hali ni mbaya sana Sudani Kusini kuhusiana na huu ugonjwa. Kama ilivyokuwa kwetu na kugongelewa vilivyo na Mh. Makonda: "Watu huko wanapukutika kweli kweli." Hii siyo siri ya kuficha tena. Ndani ya mwezi mmoja tu hali iko hivi: Horror as South Sudan Loses 35 Generals, Senior Officials in one...
  15. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Usiukatishe tamaa moyo wako kwani kila wakati na katika kila hali unasimama na wewe

    Katika maisha ya kila siku na kumbo la wakati Binadamu tunakutana na masuala mengi mno mengine yanaumiza na kukatisha tamaa lakini katika yote hayo bado tunakuwepo na mioyo yetu. Hata katika hali ya hatari kubwa kiasi gani bado rafiki wa karibu ni wewe mwenyewe. Jenga urafiki wa dhati na moyo...
  16. Y

    JamiiForums Tanzania Kuna binadamu wana moyo...

    Natumai hamjambo wananzengo Wakuu kuna binadam wana moyo sana, hili nimelithibitisha baada ya huyu bwana kunisimulia kisa chake. Ipo hivi, huyu bwana alisoma chuo kimoja na mpenziwe, wakiwa chuo mpenziwe alimcheat na lekcha jamaa akasamehe maisha yakaendelea. Siku nyingine akawa anahtaji...
  17. Superbug

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbowe uwe na moyo mkuu! Ni msimu wa kusulubiwa utapita na utabaki salama

    Mh Mbowe ujue kwamba mti wenye matunda ndio hupigwa mawe. Watanzania bado Wana Imani nawewe mnoo na wapinzani wenu wanajua Hilo. Wanazijua nguvu zako hivyo hawataacha kukuandama. Kumbuka yesu alisalitiwa na Petro wewe ninani hata uepuke kikombe hicho? Wanaohamia CCM Sasa mbowe na chadema...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mahudhurio ya wagonjwa wa moyo yapungua JKCI kwa hofu ya COVID-19

    Wagonjwa wenye matatizo ya moyo, kisukari, shinikizo la juu la damu, figo na saratani wameshauriwa kuhudhuria kliniki zao bila kukosa ili kuepuka kupata madhara ya kiafya ikiwa ni pamoja na kupoteza maisha. Rai hiyo ilitolewa jana Dar es Salaam na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya...
  19. Terrible Teen

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dkt. Kinabo ambaye ni daktari bingwa wa moyo afariki dunia leo Dodoma

    TANZIA Ndugu yangu wa karibu Dr. KINABO anayemiliki Dispensary za Avenue hapa Dodoma, amefariki leo asubuhi. Nikiwa mwanafamilia naendelea kuisihi Serikali iwe serious na changamoto inayolikabili Taifa kwa sasa. Mchezo wao ndio mauti yetu. RIP Daktari.
  20. N

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Best speech ya Makonda, tumekaribia nchi ya ahadi, hii video inanipa moyo sana

    The best speech ever kutoka kwa mkuu wa mkoa bora kabisa tangu hii nchi ipate uhuru,tumekaribia kufika nchi ya ahadi TUPO PAZURI MNOO,NARUDIA TUPO PAZURI MNOOO Watakuja hapa vibaraka wa mabeberu kupinga lakini nakuhakikishia KISHINDO CHA AWAMU YA TANO kimegonga kote duniani na heshima ya nchi...
Back
Top Bottom