moyo

Dambisa Felicia Moyo (born (1969-02-02)2 February 1969) is a Zambian-born economist and author who analyzes the macroeconomy and global affairs. She currently serves on the boards of Barclays Bank, the financial services group, Seagate Technology, Chevron Corporation, the global miner Barrick Gold, and the 3M Company. She worked for two years at the World Bank and eight years at Goldman Sachs before becoming an author and international public speaker. She has written four New York Times bestselling books: Dead Aid: Why Aid Is Not Working and How There Is a Better Way for Africa (2009), How the West Was Lost: Fifty Years of Economic Folly – And the Stark Choices that Lie Ahead (2011), Winner Take All: China's Race for Resources and What It Means for the World (2012), and the most recent Edge of Chaos: Why Democracy Is Failing to Deliver Economic Growth – and How to Fix It (2018). She holds a bachelor's degree in chemistry and an MBA from American University, an MPA from the Harvard Kennedy School, and a DPhil in economics from the University of Oxford.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu ana moyo wa kipekee sana, huwa anasomesha wafanyakazi wa ndani (house boy & girl) hadi Chuo Kikuu

    Hakika hapa duniani kuna binadamu wanatabia njema sana! Jirani yangu pamoja na mkewe! Wana maisha ya kawaida kabisa kama yangu ya kipato cha kati! Wakiishiwa hela wananiazima, vivyo nami nawaazima vyao nikiishiwa. Tuna maisha ya kawaida sana! Lakini Jirani Siku zote hapo kwake haishi kupokea...
  2. Rodriquz

    JamiiForums Tanzania Nimemvunja moyo sana mke wangu, kama una chochote cha kuniambia au kunishauri wewe nishauri tu

    Kawaida ya wanaume tumeumbiwa tamaa, hakuna mwanaume asiyemsaliti mke wake iwe sirini au wazi wazi, mimi na mke wangu tumepitia changamoto nyingi sana kwenye maisha, amenivumilia kwa mengi toka ajifungue amekuwa wa hospital tu anatoka leo anarudi kesho. Mimi naishi mbali nae kwa sababu ya kazi...
  3. Nzelajape

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya Magu, usiwatetee na kuwalinda waalimu wasiokidhi vigezo vya Ualimu Mkuu; unawavunja moyo wanaostahili nafasi hizo

    Nawasalimu wanajukwaa. Bila kupoteza muda, naleta hoja yangu kwa DED MAGU; itokanayo na hotuba yake aliyoitoa majuzi kwenye semina ya mtihani wa darasa la nne kwa waalimu wa shule za msingi. Kati ya mengi uliyoongea, ulimzungumzia pia Mwl. Mary Maganga wa Magu S/Msingi, ukionyesha kuridhishwa...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Kuwa na hofu na mapigo ya moyo kwenda kasi

    Ushauri wakuu ni kwa namna gani naweza epukana na kadhia hii
  5. winnerian

    JamiiForums Tanzania Bunge la Wananchi wa Tanzania Mtandaoni (BUWATA). Weka hapa hoja yako muhimu iwafikie watawala na kuwagusa mioyo yao migumu

    Mh. Spika napenda kutoa hoja kama ifuatavyo: Kwanza kabisa Mh. tumeona na kushuhudia ni kwa namna gani mtandao (internet) umeleta mageuzi makubwa kibiashara na kijamii na hivyo kufanya ubadili uti wa mgongo wetu wa Taifa kutoka "kilimo" na kuwa "biashara-mtandaoni". Vijana wengi sasa...
  6. KENZY

    JamiiForums Tanzania Moyo unanilazimisha kusema!

    Wewe ni kama hewa mwanana inayopatia mapafu yangu furaha iliyonjema!.. kila neno lako nalikumbuka na isitoshe hata lile cheko lako tamu nalikumbuka pia!. Nahisi Kama nina deni kwako haswa pale picha yako ikinijia usoni ni kama vile inaniambia "Ninayo Siri,Njoo uifunue!". Labda nilikuuzi kwa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Sijaolewa kwasababu "ndoa za watu zinanivunja moyo"

    Mm sijajolewa na natamani siku ifike nije nimpate wangu wa peke yangu atakaye nipenda kwa dhati ya moyo wake. Halafu atulie tuli. Bila hivyo siolewi. Mpk sasa nina miaka 29, lkn kila nikitaka kuingia kwenye ndoa moyo unasita. Kwasabbb tangu nipevuke nimekuwa natongozwa na wanaume (lkn walio...
  8. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM acheni kujipa Moyo, CHADEMA walijiandaa na Uchaguzi muda mrefu. Siri hii hapa...

    Kwa hakika ni WanaCCM wachache sana wanaojua kuwa CHADEMA NI MSINGI lilikua ni zoezi operation ya chama nchi nzima na lilikua na lango la kuhakiki wanachama wake nchi nzima ngazi zote kuanzia msingi, matawi hadi taifa. Zoezi hili lilifanikiwa 100%. CCM wengi hasa viongozi wake hawakujua lolote...
  9. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, endapo kumbukumbu zako zote zikafyonzwa na kufutika, kisha ukawekewa kumbukumbu za gaidi, nawe utakuwa gaidi? Au moyo utagoma?

    Ni vyema tukaliweka hili sawa, je, mtu yupo kichwani au moyoni? Mfano mtoto mdogo wa miaka 12, mwenye tabia nzuri kama malaika, tukaamua kunyonya memory yake na kuifuta kabisa kichwani kwake, kisha tukamjaza memory za gaidi la katili. Je, huyo mtoto atakuwa yule gaidi kwa kila namna au moyo...
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Moyo JKCI yatoa tahadhari kutokana na ongezeko kubwa la watu wenye matatizo ya moyo

    Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), ya Dar es Salaam imesema wagonjwa wanaofika kliniki ya hospitali hiyo kwa siku ni 200 hadi 400. Habari zinasema kwamba kwa takwimu hizo tatizo la magonjwa ya moyo nchini ni makubwa. Daktari Bingwa wa magonjwa ya moyo kutoka JKCI, Dk Samwel Rwehemamu...
  11. V

    JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli akiwa Songwe: Msipomchagua Silinde sileti maji Tunduma

    Kuna methali ya kiswahili inasema mfupa wa kulazimisha ukivunja chungu. Kwa kila aliyefatilia hotuba ya Dr. Magufuli pale Tunduma atagundua kuwa CCM haikubaliki kama Chadema, mbaya zaidi ni kutokana na mgombea CCM inayomnadi, maana haaminiki tena kwa wananchi wa Tunduma, kwa tabia yake ya...
  12. yuda75

    JamiiForums Tanzania Ukweli Unaouma. Kuhonga sio ticket ya kupendwa, wanaume acheni kujipa moyo

    Jamani tuongee ukweli, kuhonga hakuongezi kupendwa palipo penzi la dhati. Penzi la muda mfupi au la siku moja kuhonga kutaweza kukusaidia lakini kwa mwanamke au mwanaume anayekupenda haihitaji kuhonga. Hii sio kwa wanaume tu hata wanawake wanaohonga. Kwa uzoefu wangu huu penzi la kweli...
  13. Profesa ntare nkobe

    JamiiForums Tanzania Kujitolea ni moyo au ni tabia inayojengwa toka utotoni

    Habari zenu ndugu zangu wa jamii forum..Kuna hila suhala. Kuna watu wana mioyo ya kujitolea katika maishayao hiwe kwenye shida au raha wapo mstari wa mbele ikiwa ni kutoa damu au kuchangia fedha wapo mstari wa mbele bila kujali hali yao ya kipato ikoje je hii tabia wana fundishwa kutoka katika...
  14. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi kweli CCM mnataka Watanzania wawe na moyo gani kumchagua mgombea wenu?

    Hakuna mtu aliyechukia mgombea wenu, alianza vizuri lakini akajawa na madaraka yakamzidi akasahau kua kuna uchaguzi mbeleni. Yaani wasamaria wema wachangie pesa kwa ajili ya majanga halafu wewe unajipeleka kwenye miradi ya serikali siyo ukatili na uonevu kitu gani? Magufuli akishindwa urais huu...
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa JKCI, Prof. Janabi asema magonjwa ya moyo yataongezeka kutokana na ukuaji wa uchumi

    Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi amesema magonjwa ya moyo yataongezeka zaidi kutokana na uchumi kukua kwa sababu maisha yanakuwa rahisi. Prof Janabi ametoa kauli hiyo leo jijini Dar es salaam, wakati wa utoaji wa huduma za kijamii One stop Jawabu...
  16. A man from Island

    JamiiForums Tanzania Ukweli Unaonivunja Moyo Kuhusiana na hizi simu

    Habarin Za Muda Huu Wadau Wote Hapa Jukwaani. Direct To The Point; Mimi Ni Mudau Mkubwa Wa Hizi Samsung Phones But Kwa Hili La Users Reviews Zinazotolewa Kwa Simu Hizi Samsung S20 Ultra Na Note 20 Ultra Kuhusiana Na Kuchemka Na Kumaliza Moto Mapema Hasa Kwa Global Version (exynos Chipset), Hili...
  17. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Ni mpambano wa Tundu Lissu vs Polisi kuhusu Sheria. I love this guy more than enough!

    The guy is very unique. Kutojua nini amesema kwa siku moja kt kipindi hiki cha kampeni kunanipa taabu sana. Mwisho wa siku ktk fukua fukua yangu nikakutana na video hii. Ni somo la sheria kwa Polisi wetu wanaofanya kazi zao kwa mazoea tu badala ya kufuata Sheria. Huyu jamaa ni mtu anayekufanya...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwana JamiiForums Mwenzangu asikudanganye Mtu na usivunjike Moyo unaweza ukakimbiwa na kudharauliwa na wengi, ila Mungu 'atakuteulia' tu wa Kukusaidia

    LIPO JAMBO KUBWA SANA LA KUJIFUNZA KWENYE STORY HII. Simulizi ya Maisha ya Kweli: Ronaldinho 'Gaucho' alipokamatwa pamoja na kaka yake Roberto Assis kutokana na kesi ya matumizi ya pasipoti bandia huko nchini Paraguay na kuwekwa kizuizini katika gereza lenye ulinzi mkali la Agrupacion...
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sioni dalili za Dkt. Magufuli kushindwa kutetetea kiti chake cha Urais uchaguzi wa Oktoba, nimevunjika moyo kama mtumishi wa umma

    Mimi huwa mara zote napenda kusema ukweli. Niwe kazini, barabarani au nyumbani ukweli ndio ngao yangu. Kwa hakika Mimi sitamchagua Magufuli wala mwana CCM yeyote kwa ngazi yoyote ile katika uchaguzi huu. Ila kwa hali inavyoonekana Magufuli atashinda tena kwa kura za ndio. Hii imesababishwa na...
  20. S

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwasisi wa Mapinduzi Zanzibar, Mzee Hassan Nassor Moyo afariki dunia

    Mwanasiasa mkongwe na mwasisi wa Mapinduzi Zanzibar, Hassan Nassor Moyo amefariki usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake mkoani Tanga Mzee Moyo ambaye pia ni Waziri Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alikuwa pia Mwenyekiti wa Kamati ya Maridhiano Zanzibar Inna lillah wainna ilayhi...
Back
Top Bottom