Kutamalaki Demokrasia: CCM iwatie moyo Wanachama kuchukua fomu za Urais

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,474
39,987
Sio lazima wapitishwe, siyo lazima wapendekezwe. Ni muhimu ionekane demokrasia ipo na haiogopwi. Watu wasitishwe au kukatishwa tamaa. Kazi, sera, mitazamo na mafanikio yaliyosheheni ya Magufuli yanaonekana.

Kuna mwanaCCM mwingine anafikiri anaweza kufanya au kuongoza tofauti na bora kuliko Magufuli. Nani yuko au wote wanamezea mate ubunge tu? Au tuwasubiri 2024/2025 kwenye mnyukano wa karne?

Bashiru wahimize wanaotaka waje kuchukua fomu.
 
hata alipokuwa anagombea ubunge alikuwa akiwatisha wapinzani wake ili apite bila kupingwa. Hata alipomfukuza membe alikuwa anataka apite bila kupingwa.

hata alipovuruga uchaguzi wa serikali za mitaa ilikuwa ni uoga wa kupingwa. magazeti na redio za Tanzania hazijadili lolote lifanywalo kinyume na serikali yake kwakuwa hataki kuoingwa. Alizuia bunge live kwa sababu hapendi kupingwa. alizuia mikutano ya hadhara ya siasa kwakuwa hapendi kupingwa.

Aliwahonga viongozi wa vyama vya wafanyakazi kwakuwa hapendi kupingwa.

KAMA KWELI MAGUFULI ANAPAMBANA NA RUSHWA NA SI KUWAONEA WATU NITAJIE FISADI YEYOTE ALIYEFUNGWA KWA HII AWAMU YAKE YA KWANZA
 
Sio lazima wapitishwe, siyo lazima wapendekezwe. Ni muhimu ionekane demokrasia ipo na haiogopwi. Watu wasitishwe au kukatishwa tamaa. Kazi, sera, mitazamo na mafanikio yaliyosheheni ya Magufuli yanaonekana.

Kuna mwanaCCM mwingine anafikiri anaweza kufanya au kuongoza tofauti na bora kuliko Magufuli. Nani yuko au wote wanamezea mate ubunge tu? Au tuwasubiri 2024/2025 kwenye mnyukano wa karne?

Bashiru wahimize wanaotaka waje kuchukua fomu.
Mafanikio yakupoteza watu labda
 
Na wewe unaamini Magufuli katengeneza ajira milioni 6 kwenye utawala wake wa miaka mitano?
 
Sio lazima wapitishwe, siyo lazima wapendekezwe. Ni muhimu ionekane demokrasia ipo na haiogopwi. Watu wasitishwe au kukatishwa tamaa. Kazi, sera, mitazamo na mafanikio yaliyosheheni ya Magufuli yanaonekana.

Kuna mwanaCCM mwingine anafikiri anaweza kufanya au kuongoza tofauti na bora kuliko Magufuli. Nani yuko au wote wanamezea mate ubunge tu? Au tuwasubiri 2024/2025 kwenye mnyukano wa karne?

Bashiru wahimize wanaotaka waje kuchukua fomu.
Kama hoja sio lazima wapitishwe au wapendekezwe, kwa nini wapoteze muda wao na pesa TZS 1m?

Nani ana muda na maigizo?
 
Sio lazima wapitishwe, siyo lazima wapendekezwe. Ni muhimu ionekane demokrasia ipo na haiogopwi. Watu wasitishwe au kukatishwa tamaa. Kazi, sera, mitazamo na mafanikio yaliyosheheni ya Magufuli yanaonekana.

Kuna mwanaCCM mwingine anafikiri anaweza kufanya au kuongoza tofauti na bora kuliko Magufuli. Nani yuko au wote wanamezea mate ubunge tu? Au tuwasubiri 2024/2025 kwenye mnyukano wa karne?

Bashiru wahimize wanaotaka waje kuchukua fomu.

Hakubali wala hawezi siasa za ushindani. Anapenda siasa za shuruti na kunyenyekewa. Huyo Bashiru unayemuhimiza ashawishi watu kuchukua fomu, yeye ni zao la siasa za mbeleko, hivyo usitegemee afanye lolote zaidi ya kumsujudia Yesu.
 
Sio lazima wapitishwe, siyo lazima wapendekezwe. Ni muhimu ionekane demokrasia ipo na haiogopwi. Watu wasitishwe au kukatishwa tamaa. Kazi, sera, mitazamo na mafanikio yaliyosheheni ya Magufuli yanaonekana.

Kuna mwanaCCM mwingine anafikiri anaweza kufanya au kuongoza tofauti na bora kuliko Magufuli. Nani yuko au wote wanamezea mate ubunge tu? Au tuwasubiri 2024/2025 kwenye mnyukano wa karne?

Bashiru wahimize wanaotaka waje kuchukua fomu.
Swali la msingi? Kuna wanachama wametishwa, wamekatazwa, wamezuiwa au kutekwa wasichukue form?

Naona hili jambo linakuzwa na kupewa airtime unnecessarily.
 
Watajitokeza wawili watatu ambao ni wakulima toka vijijini huko,hawa wengine wanaogopa kukosa teuzi za UDC,RC na zingine.........
 
Sio lazima wapitishwe, siyo lazima wapendekezwe. Ni muhimu ionekane demokrasia ipo na haiogopwi. Watu wasitishwe au kukatishwa tamaa. Kazi, sera, mitazamo na mafanikio yaliyosheheni ya Magufuli yanaonekana.

Kuna mwanaCCM mwingine anafikiri anaweza kufanya au kuongoza tofauti na bora kuliko Magufuli. Nani yuko au wote wanamezea mate ubunge tu? Au tuwasubiri 2024/2025 kwenye mnyukano wa karne?

Bashiru wahimize wanaotaka waje kuchukua fomu.
Ni upuuzi kutana kuonesha kwamba "demokrasia ionekane ipo na haiogopwi" wakati kiuhalisia hutaki iwe hivyo!

Hapa ni sawa unajitahidi kukikimbia kivuli chako wakati kila mahali kipo nawe!

Nilidhani unasema "Chama Kihimize kila Mwananachama mwenye sifa na anadhani anafaa kuongoza achukue form" na mchakato wa kumpata mgombea wetu uwe wa uhuru na uwazi na si tufanye mchakato tu ili kuonesha demokrasia wakati hatutaki hiyo demokrasia.

Tusikimbilie "utamaduni wa chama" kabla ya "Katiba ya chama"!
 
Sio lazima wapitishwe, siyo lazima wapendekezwe. Ni muhimu ionekane demokrasia ipo na haiogopwi. Watu wasitishwe au kukatishwa tamaa. Kazi, sera, mitazamo na mafanikio yaliyosheheni ya Magufuli yanaonekana.

Kuna mwanaCCM mwingine anafikiri anaweza kufanya au kuongoza tofauti na bora kuliko Magufuli. Nani yuko au wote wanamezea mate ubunge tu? Au tuwasubiri 2024/2025 kwenye mnyukano wa karne?

Bashiru wahimize wanaotaka waje kuchukua fomu.
Halafu wewe mzee baadae utakuja na thread kuwa Chadema hakuna demokrasia hivi akili huanazisahau wapi nyie wazee? Unaonekna kabisa hufurahishwi ila unasema kiupole ingekua CDM povu kama lote.
 
Unaandika nini wewe ? ccm ya awamu ya 5 unaijua ?

Halafu Magufuli hawezi kushinda kwenye kura za maoni , hilo unalijua na viongozi wanalijua ndio maana wamechapisha fomu 1 tu , mnataka kudanganya watu kumpamba mtu aliyeshindwa uongozi kwa kushindwa kuajiri wala kuongeza mishahara kwa miaka mitano ! ubabe hakuna demokrasia halafu mnataka apendwe , katuroga ?
 
Huyu alipokuwa kijana alikuwa mjinga kazeeka kawa mchawi

Back
Top Bottom