Uchaguzi 2020 Lissu umegusa moyo wa watu wa Tarime

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,626
51,581
Akiwa huko Tarime, Lissu alielezea namna alivyokwenda Tarime kwa mara ya kwanza mwaka 2003 ambapo alikuta wananchi wengi wamebambikiziwa kesi na wengine kufungwa kifungo hadi cha miaka 30 Jela kwa kupinga kuporwa migodi huko Nyamongo na wengine kuporwa ardhi zao. Huku akiongea kwa kutaja majina ya wahanga wa mkasa huo, Lissu anasema alifanikiwa kuwatoa jela watu wanaofikia 466.

Takwimu hizo na kitendo hicho kimewafurahisha sana wana Tarime na kwa kweli sina shaka kuwa kama Leo kura zinapigwa huko Tarime kati ya Lissu na Magufuli ni dhahiri Lissu atamgaragaza vibaya Magufuli.

Na siyo Tarime tu mkoa wa Mara mzima kuna uwezekano mkubwa ukaenda upinzani.

Huyu ndye katumia elimu yake kusaidia wanyonge.

Ila yule mwingine ni myonge myongeni ila haki yake mpeni. Yani unanyongwa na haki yako unapewa.
He rob from poor and he can even rob from the blind too. Hana huruma
 
Huyu ndye katumia elimu yake kusaidia wanyonge.

Ila yule mwingine ni myonge myongeni ila haki yake mpeni. Yani unanyongwa na haki yako unapewa.

Naam ujasiri wa huyu jamaa kwa wanaomjua haukuanza leo. Wanaomjua wanasema hata alipokuwa jeshini JKT enzi hizo akiwa kijana alikuwa hataki mambo ya kuonewaonewa na hata maafande walimuogopa, maana waliona kwa jinsi anavyojiamini labda atakuwa mtu wa kitengo, kumbe wapi ni kujiamini tu na kutoogopa mtu!
 
sasa unaongea mambo ya 2003 wakati huu wa magu. Ngoja magu afike huko utajionea mwenyewe. wenyewe wanajua kinachotokea kwenye sector ya madini. Time will tell
 
Akiwa huko Tarime, Lissu alielezea namna alivyokwenda Tarime kwa mara ya kwanza mwaka 2003 ambapo alikuta wananchi wengi wamebambikiziwa kesi na wengine kufungwa kifungo hadi cha miaka 30 Jela kwa kupinga kuporwa migodi huko Nyamongo na wengine kuporwa ardhi zao. Huku akiongea kwa kutaja majina ya wahanga wa mkasa huo, Lissu anasema alifanikiwa kuwatoa jela watu wanaofikia 466...
Hivi bado hujawa na utambuzi??, Watanzania wanajua wanachokifanya.
 
Akiwa huko Tarime, Lissu alielezea namna alivyokwenda Tarime kwa mara ya kwanza mwaka 2003 ambapo alikuta wananchi wengi wamebambikiziwa kesi na wengine kufungwa kifungo hadi cha miaka 30 Jela kwa kupinga kuporwa migodi huko Nyamongo na wengine kuporwa ardhi zao. Huku akiongea kwa kutaja majina ya wahanga wa mkasa huo, Lissu anasema alifanikiwa kuwatoa jela watu wanaofikia 466.

Takwimu hizo na kitendo hicho kimewafurahisha sana wana Tarime na kwa kweli sina shaka kuwa kama Leo kura zinapigwa huko Tarime kati ya Lissu na Magufuli ni dhahiri Lissu atamgaragaza vibaya Magufuli.

Na siyo Tarime tu mkoa wa Mara mzima kuna uwezekano mkubwa ukaenda upinzani.

Lisu ni mtu sahihi kwa wakati sahihi apewe nchi atuongoze
 
Nini kilimgeuza mpaka kufikia kuwatetea hao ambao awali aliwapinga kwa nguvu zote? Tamaa ya mali ya wezekana. Alipowapinga alikuwa pengine analipwa na NGO. Alipotaka kuwasaidia alitaka kulipwa kama mwanasheria wa hao mabeberu wa makanikia.
 
sasa unaongea mambo ya 2003 wakati huu wa magu. Ngoja magu afike huko utajionea mwenyewe. wenyewe wanajua kinachotokea kwenye sector ya madini. Time will tell
Sekta ipi ya madini,tegesha wote chali
 
Utakuta wanaLumumba wanasema Tundu Lissu amewafanyia nini waTanzania. Hili la kesi za Tarime ni mojawapo ya mambo mengi Tundu Lissu aliyoyafanya kutetea haki za wananchi katika kuleta Maendeleo ya Watu.
Bagamiyo Lumumba hilo hawawezi kulitambua sababu ni wao na serikali yao ndiyo iliwatendea wana Tarime hayo, hivyo kwao bado Lisu ni msaliti, adui mkubwa na mpinga maendeleo
 
Back
Top Bottom