Hivi mnaoangalia au kupenda movies mnapata raha gani?

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,451
17,155
Sijui kama ni mimi au kuna wengine tunaoona movies ni kama michezo ya kitoto au watoto wadogo.

Mimi akili yangu imegoma kabisa kuzielewa movies. Hata nikiangalia baadae sikumbuki nilikua naangalia kitu gani. Naona kama ni childish sana.

Nimejitahidi kuangalia movies lakini wapi akili yangu imegoma kuzielewa au kuelewa kama movies ni kitu chenye maana yoyote.

Yaani nikianza kuangalia tu nadharau pale pale naona kama ni mambo ya kijinga na ya kitoto naangalia.

Mnaoangalia nyie mnapata raha gani? Na mnaelewa nini kwenye movies?
 
inategemea na aina za movie ulizoangalia
huwezi kuangalia anaconda ukaniambia umeangalia movie hapo utakuwa umepoteza muda wako

FYI usiangalie bongo movie
 
Punguza kujichua mkuu,hio ni moja ya madhara yake.
😂😂😂Wanawake wote hawa Duniani nijichue? Malaya siku hizi ni kila kona na tena wa bure kabisa.

Leo hii una- order nyapu online kama vile unaita uber. Nyapu zilizojaa eskimi, tagged, hitwe, tinder, badoo, lovoo, meet me, tantan, sijui mtandao ganj mtu upike punyeto? Labda kama unataka mwenyewe.
 
😂😂😂Wanawake wote hawa Duniani nijichue? Malaya siku hizi ni kila kona na tena wa bure kabisa.

Leo hii una- order nyapu online kama vile unaita uber. Nyapu zilizojaa eskimi, tagged, hitwe, tinder, badoo, lovoo, meet me, tantan, sijui mtandao ganj mtu upike punyeto? Labda kama unataka mwenyewe.
Hahah kwa hiyo mitandao uliyoitaja nimeshaelewa kwanini sasa unaona movie ni utoto mzee baba.
 
Asee movies Ni hobby yangu tokea zamani sana.
Nachopendelea movies za majuu
1.idea ya filamu na wazo kuu mfano angalia movie ya saw kuanzia sehemu ya kwanza
2.wahusika wanavaa uhusika kisawasawa mfano refer Matt Damon wa movies sequel za Jason Bourne , Pamoja na John crammer wa the saw
3.wapiga pichà (cinematographers) wanajua kucheza na angle za kupiga picha,na hisia za mtazamaji yaani wanapiga picha kumshirikisha mtazamaji nawe awe sehemu ya tukio
4.mandhari ya movie na YENYEWE ni kigezo kwanini napenda movie za majuu .ma producer wako tayari kutumia kiasi chochote kile cha pesa katika kutafuta mandhari .
Mfano madmax fury ya 2015 yale mandhari ya jangwani ilikuwa ni jangwa la Kalahari namibia na Australia.unaweza kuvuta picha ni kiasi gani walitumia kutengeneza mandhari.
5.movie za majuu kwanza zipo dynamic Sana kwenye swala la dhamira katika maisha yetu.mfano vita,utumwa ,usaliti, mauaji, madawa ya kulevya na magonjwa
Kwa mfano filamu ya CONTAGION ya 2013 Kama sikosei inazungumzia world pandemic ya Corona virus
6.sound effect na sound track zimekaa poa sana tofauti na za kwetu ,kama ni sehemu ya huzuni lazima sound track itaendana ,kama Ni battle lazima ziendane...
Na mengine kibao.tu
Sasa mtu mwingine anakuja humu ana dis kuhusu kuangalia filamu binafsi ninamuona kama punguani tu .
Kila mmoja hupenda kufanya kile anachotaka as long as havunji kanuni na taratibu za kisheria za kijamii.
 
Back
Top Bottom