moto

Grand Prix motorcycle racing is the premier class of motorcycle road racing events held on road circuits sanctioned by the Fédération Internationale de Motocyclisme (FIM). Independent motorcycle racing events have been held since the start of the twentieth century and large national events were often given the title Grand Prix. The foundation of the Fédération Internationale de Motocyclisme as the international governing body for motorcycle sport in 1949 provided the opportunity to coordinate rules and regulations in order that selected events could count towards official World Championships. It is the oldest established motorsport world championship.Grand Prix motorcycles are purpose-built racing machines that are unavailable for purchase by the general public and unable to be ridden legally on public roads. This contrasts with the various production-based categories of racing, such as the Superbike World Championship and the Isle of Man TT Races that feature modified versions of road-going motorcycles available to the public. The current top division is known as MotoGP since 2002 when the four-stroke era began. Prior to that, the largest class was 500cc, both of which form a historical continuum as the official World Championship, although all classes have official status.
The championship is currently divided into four classes: Moto Grand Prix, Moto2, Moto3 and MotoE. The first three classes use four-stroke engines, while the MotoE class (new in 2019) uses electric motorcycles. The 2019 MotoGP season comprises 19 Grands Prix, with 12 held in Europe, three in Asia, two in the Americas, and one each in Australia and the Middle East.
The most successful rider in Grand Prix history is Giacomo Agostini with 15 titles and 122 race wins. In the top-flight series, Agostini holds the title record with eight, followed by active riders Valentino Rossi with seven and Marc Márquez with six. As of 2019, Rossi holds the record for most top-flight race wins with 89.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto ateketea kwa moto ndani ya nyumba iliyoungua

    Simanzi imeikumba familia moja wilayani Moshi Vijijini baada ya mtoto mwenye umri wa miaka mitatu, Francis David, kupoteza maisha kwa kuteketea ndani ya nyumba iliyoshika moto katika Kitongoji cha Mwitini, Kijiji cha Mwasi Kusini, Kata ya Uru Mashariki. Tukio hilo limetokea Mei 26, 2026 majira...
  2. Echolima1

    JamiiForums Tanzania IDF bado inawapelekea moto makali magaidi wa Hezbollah huko Lebanon!!!

    Magaidi wa Hezbollah bado wanapata kipondo ki Takatifu kutoka majeshi hodari ya Israel!!!
  3. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Kate, mke wa Ferdinand aonja Kaa la moto huko Instagram

    Daa hii nchi Toka MO29, sidhani kama itakuwa sawa. Kate Ferdnand ni mke wa mchezaji Ferdinand ambae Yuko Tanzania Kwa mwaliko wa Makonda. Mwanadada huyo kwenye post zake za Instagram uwa anapata comments kama 20-50, Cha kushangaza ndani ya siku mbili amekutana na moto wa Gen Z, walio comment...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Raia wenye hasira wachoma kituo cha Matibabu ya Ebola DRC

    Kituo cha Rwampara kilichomwa moto na vijana wenye hasira wakati wakijaribu kuchukua mwili wa rafiki yao aliyedhaniwa kufa kwa Ebola, kwa mujibu wa ushahidi wa mtu mmoja aliyezungumza na shirika la habari la Associated Press. Naibu Kamishna Mwandamizi Jean Claude Mukendi, ambaye ni mkuu wa...
  5. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania “Pastor Wanted!” Nairobi church job advert ya Senior Pastor imezua moto online

    Wakenya wako divided baada ya Nairobi Baptist Church kutangaza vacancy ya Senior Pastor kupitia social media. Wengine wanasema ni transparency na modern leadership , lakini wengine wanauliza, “Kanisa sasa lina-hire pastor kama kampuni?” Church inataka “visionary and Christ-centered leader”...
  6. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Palamagamba Kabudi, kuonja jiwe la moto Norway

    Daa watanzania sasa wamekuwa kama Iran, wanapeleka moto hatari. Prof Kabudi pamoja na kuwananga mabeberu kumbe Binti yake anafanya kazi Norway as a lecturer Sasa Watanzania na Wakenya Wamejipanga kuandamana kwenye chuo anachofundisha uyo binti Ili uongozi wa chuo ujue Binti uyo anafaidika Kwa...
  7. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Chadema ni wa MOTO Balaa CCM kazi wanayo uwanja wa uchaguzi ukiwa huru

    Guys guys Imagine hapa TAL Bado yupo jela lakini mwitikio bado ni mkubwa na unatisha hatari wamedhibitisha kweli ni chama kikuu Tanzania. Sipati picha Lissu awe huru hii chadema iko na MOTO 100 times kabla ya kufungiwa na baadhi wa wa mbunge wa CCM waanze kujitafakari mapema kama wataendelea...
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Asante Jaji Chande Kwa Ripoti Yako, Japo Imekidhi Haja Kutoa Idadi ya Vifo 518, ila Bado Haijakata Kiu!, Aliyetoa Amri Kutumia Za Moto ni Nani?!.

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Nipashe, Jumapili ya leo. Leo, nimeizungumzia Ripoti ya Jaji Chande kwa kuwa mtu wa shukrani, kushukuru kwa hiki kidogo ili tupatiwe kikubwa!. Asante Jaji Chande Kwa Ripoti Yako, Japo Ripoti Imekidhi Haja, ila Haijamaliza Kiu!. Asante kwa Kutoa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Chande atuonyeshe angalau picha moja alopewa ya waandamanaji wa 29/10 waliobeba silaha za moto siku hiyo kama ushahidi, la sivyo anasema uongo

    Mwenyekiti wa Tume ya 29 October anadai kuna Polisi 16 waliuwawa, na baadhi ya waandamanaji walikuwa na silaha za moto. Kwa kifupi, siamini maneno haya ya Chande na Tume yake. Kama ni hivyo, basi hii tume ituonyeshe angalau picha moja ya waandamanaji wa 29 October wamebeba silaha za moto...
  10. darautobroker

    JamiiForums Tanzania Car4Sale 2022 Land Cruiser Prado TX ya moto sana iko sokoni

    Bei/Price TSH 167,000,000/= Call/WhatsApp +255 747 999 927 LAND CRUISER PRADO TX Year: 2022 Engine: 2TR-FE Mileage: 42,644Km Fuel Used: PETROL Transmission: AUTOMATIC Sunroof Back Camera Push To Start Cruise Control 100% Duty Paid Swap Deals Available Zero Registration Cost
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hivi sasa kwanini naamini kibwetele aliwahadaa wafuasi kanisani na kuwachoma moto

    Naona jinsi wafuasi wa Trump wanavyomuamini humu Trump kila anachosema hata wakati mwengine unajua jambo hilo halingii akilini
  12. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Trafficking Allegations Zawaka Moto! Wakenya 9 Washikiliwa Tanzania Bila Charges “Sea Mfalme” Yazua Taharuki

    Wadau, kuna hii story imeanza kuwasha moto Wakenya tisa ambao ni seafarers wamekwama kule Kilwa, Tanzania tangu March 30, 2026 baada ya meli yao FV Sea Mfalme kushikiliwa kwa allegations za human trafficking. According to reports, hii vessel ilitoka Mombasa March 14 ikiwa na watu 61 onboard...
  13. Godoro la kioo

    JamiiForums Tanzania Hivi hii Hali ni kwangu tu? Maana kuna muda kichwa kinapata moto

    Wakuu Kuna muda nakaa nafikiria mpaka naanza kujiuliza aliependekeza Mimi nizaliwe aliwaza Nini Picha linaanza mpaka Sasa Nina umri wa miaka 23 Lakini Hali yangu haieleweki pangu pakavu tia mchuzi Nipo nipo tu Sina mke,Sina mtoto,Sina kiwanja,Sina nyumba hata kazi ya kueleweka sina Mwaka wa...
  14. upupu255

    JamiiForums Tanzania MIZANIA Hivi ni kweli moto hauna kivuli?

  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Na hata wakija 'Maghettoni' kwetu ili 'tuwashughulikie' kisawasawa wahakikishe wamezinyoa pia, kwani huwa zinatukata 'Stimu' ya kuwapelekea Moto

    Na sijui kwanini Wanawake wengi wanaopenda Kufuga ni wale walio Warembo hasa ila wale 'Sura Ngumu' huwa hawafugi kabisa. Kunyoa nywele za sehemu za siri kabla ya Hedhi ni uamuzi wa mtu binafsi, lakini kuna faida kadhaa za kiafya na za usafi zinazoweza kuzingatiwa. Moja ya faida kuu ni...
  16. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Moto wateketeza maduka kituo cha daladala Mawasiliano. Je, ni njama?

    Ule ni mpango wa serikali hiyo ipo wazi lile eneo lilikuwa linaangaliwa muda mrefu sana kutokana na soko la East Africa kujengwa pale pote baada ya muda wanaporomosha magorofa ya flame ambapo wamiliki wa mwanzo wataaambiwa wakae miezi 6 bure then wataanza kulipia. Hilo lipo wazi lile eneo...
  17. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Msanii kaje double killer anaaribu vijana mtaani huku wamechomwa moto wawili walikua wanajiita 45

    Huyu jamaa nyimbo zake zinahamasisha vijana wafanye uhalifu Sasa kibaya wanafanya uhalifu huku wakiwa hawana bunduki yaani ni visu na bisi bisi Leo huku mtaani vijana wawili wamechomwa moto na tisheti zao zimeandikwa 45 kikosi vijana tufanye kazi aisee imefikia hatua mtu unataka kula bangi ila...
  18. Magayor Mongolian

    JamiiForums Tanzania Msemo unaotrend "mwaga moto kama dragon " 🔥 🔥 kaanzisha nani?

    Naona kitu kidogo huko insta utasikia mwaga moto kwenye comment
  19. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Mkojo wa binadamu ni chanzo cha nishati ya Umeme majumbani na inaendesha vyombo vya moto

    Habari Tanzania !.. Habari yako EWURA, TANESCO, REA, Ofisi ya Rais, Ofisi ya Waziri Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira hali gani mpendwa !?.. Je, wajua kuwa mkojo wa binadamu unaweza kuchakatwa na kutoa nishati ya Umeme majumbani, viwandani na pia kuendeshea vyombo vya moto...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tabia ya kuchoma dhahabu mbichi kwa moto wa mkaa Wilayani Chunya ni hatarishi kwa afya

    Mimi ni mchimbaji mdogo katika moja ya Vijiji katika Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya, kero yangu ni kuwa kumekuwepo na tabia ya mazoea ya kuchoma dhahabu mbichi kwa moto wa mkaa katika hizi buying center nyingi za huku Chunya, jambo ambalo ni hatarishi kwa afya za wachimbaji. Mvuke wa zebaki...
Back
Top Bottom