Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,469
- 11,252
Daa hii nchi Toka MO29, sidhani kama itakuwa sawa. Kate Ferdnand ni mke wa mchezaji Ferdinand ambae Yuko Tanzania Kwa mwaliko wa Makonda.
Mwanadada huyo kwenye post zake za Instagram uwa anapata comments kama 20-50, Cha kushangaza ndani ya siku mbili amekutana na moto wa Gen Z, walio comment kwenye page yake Kwa kimlaumu mumewe Kwa kutumika kusafisha watawala. Kwenye post za huyu bi dada comments zinasoma maelfu uku picha na video za kutisha za mauaji ya MO29 zikiwekwa kwenye comment section.
Ziara ya Ferdinand imegeuka kilio Cha kusaga meno kwake na Kwa familia, media za UK zimemngoja Kwa hamu.
Ziara ya Ferdinand Tanzania ni carrier Suicide Kwa mchezaji huyo.