morogoro

  1. M

    Naulizia frequency za Wasafi fm Morogoro

    Wadau mwenye kujua frequency za Wasafi Fm kwa mkoa wa Morogoro anisaidie
  2. S

    Nahitaji kazi yoyote, nipo Morogoro

    Habari wakuu, Nahitaji kazi yoyote kwa sasa, kiwango cha elimu yangu ni shahada ya ualimu. Ila nipo tayari kufanya kazi yoyote nipo Morogoro maeneo ya Oil Com.
  3. Realbest

    Anayeifahamu hospitali ya Wilaya Morogoro Vijijini

    Habari za humu wakuu? Hivi kuna mtu anayeifahamu hospitali ya wilaya ya Morogoro Vijijini na mazingira yake Kwa ujumla? Kuna mdogo wangu kapangiwa kituo cha kazi huko . Napenda kujua jiografia yake Kwa ujumla pamoja na wilaya ilipo. Pamoja na changamoto zake Kwa ujumla.
  4. Analogia Malenga

    Morogoro: Magari sita ya abiria yakamatwa yakiwa na misiba feki

    JESHI la Polisi mkoani Morogoro limekamata mabasi sita yakisafirisha abiria yakiwa na mashada ya maua kuashiria yanasafirisha majeneza yenye miili ya marehemu wakati ni uongo. Mabasi hayo madogo yalikamtwa usiku wa kuamkia jana katika kizuizi cha polisi kiliyowekwa eneo la Kingolwira katika...
  5. Shujaa Mwendazake

    Ajali Morogoro: Gari liliwekewa Mashada ya Maua na abiria waliomboleza ili kukwepa Doria ya Polisi

    Basi linadaiwa kusababisha ajali jana mkoani Morogoro lilibeba mashada ya maua, dereva aliposimamishwa kwa mwendo kasi alidai Wanawahi Msibani Taarifa za kuaminika kutoka kwa abiria ni kuwa gari hilo halikubeba maiti na abiria wote waligeuka waombolezaji kila gari liliposimamishwa. Na taarifa...
  6. Linguistic

    Morogoro: Watu 5 wapoteza maisha, wengine 24 wajeruhiwa katika ajali ya gari

    Wakuu, huko Morogoro wakwetu adv. Msando kaanza na simanzi, eneo la Oilcom ajari mbaya imetokea Coaster inatokea Dar ikiwa na abiria na lori la mizigo zimegongana uso kwa uso kwenye Coaster. ===== Watu watano wamepoteza maisha na wengine 24 kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha basi dogo la...
  7. ofisa

    Pongezi kwa Msando DC Mpya wa Morogoro, nakuomba ufanye haya

    Nakupongeza nikiwa kama mkazi wa Morogoro mjini na nikiwa kama mdau wa mitandaoni na mpenda habari nimekujulia huko kwenye kazu yako ya uwakili. Naomba ukifika pitia ilani ya chama na angalia vinavyohitajika. Naomba ukae na meneja wa TARURA nae mgeni, DED atakayeteuliwa, RC mgeni, TANROAD na...
  8. 2

    Sehemu gani nzuri ya ku-enjoy kwa mkoa wa Morogoro?

    Habarini ndugu zangu, Natarajia kuwa morogoro ivi karibuni, naombeni kujua ni sehemu gani nzuri kwa mkoa wa morogoro ambayo naweza kukaa na shemeji yenu nika enjoy kwa siku kama mbili (hotel nk), au sehemu ambayo naweza pata malazi, chakula, vinywaji, na viburudisho vinginevyo. Kuna mtu...
  9. Jidu La Mabambasi

    Suala la Wamachinga: Kuwatimua DC na DED inaweza kuonekana ni kuwatetea "wanyonge" lakini ni kuendeleza kero kwa wananchi

    Tumeona karibuni Mama Samia kamtumbua DC na DED huko Morogoro. Suala ni namna ya kuwaondoa Machinga barabarani. Kwanza, kuwaondoa Machinga na kuwaweka sehemu "iliyotengwa", kwa kweli ni kutoelewa how a machinga operates. A machinga is a small trader of no fixed abode. Machinga angeweza...
  10. M

    Bei za fremu Morogoro Mjini

    Habari zenu, Naomba kujua bei za fremu Morogoro Mjini mitaa ya karibu na soko kuu. asante
  11. Erythrocyte

    Video: CHADEMA wafanya sherehe Mjini Morogoro

    Huu ndio uzuri wa Chama cha siasa kinachosimamia misingi ya haki, huwa mnajiachia tu kwa vile hakuna kulogana wala kinyongo. Hebu jionee mwenyewe.
  12. Erythrocyte

    Freeman Mbowe atua Mkoani Morogoro, ni katika Mkakati wa Operesheni Haki

    Operesheni Haki ambayo imeingia Kanda ya Kati, kwa kuanzia na Mkoa wa Dodoma, sasa leo ni zamu ya Morogoro ambapo Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe atahutubia baraza la Mashauriano la Mkoa huo. Kwa taarifa tu ni kwamba Tayari moto wa operesheni haki na Chadema digital ushaingia mitaani ambapo...
  13. Analogia Malenga

    Morogoro: Mashamba 86 kufanyiwa upekuzi

    Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi ameagiza kufanyika upekuzi wa mashamba 86 yasiyoendelezwa katika wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro ili yatakayobainika kutoendelezwa, mapendekezo ya kufutwa yapelekwe kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani. Waziri Lukuvi alitoa agizo hilo leo...
  14. Miss Zomboko

    Morogoro: Vijana 34 wakamatwa kwa tuhuma za wizi wa kukwapua mali za wananchi kwa kutumia pikipiki

    Jeshi la Polisi mkoa wa Morogoro linawashikilia vijana 34 kwa tuhuma za wizi wa kukwapua mali za wananchi kwa kutumia pikipiki ambapo jumla ya pikipiki nane zinashikiliwa na jeshi hilo. Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Fortunatus Musilimu, amesema kuwa watu hao wamekamatwa katika maeneo...
  15. Linguistic

    Uteuzi: Papa Fransisko amteua Padre Lazarus Vitalis Msimbe kuwa Askofu wa Jimbo la Morogoro

    Taarifa Kutoka Baraza La Maaskofu Katoliki Tanzania. Padre Lazarus Vitalis Msimbe ameteuliwa kuwa Askofu Mpya wa Jimbo katoliki Morogoro. Uteuzi huo umefanywa na Papa Fransisko na kutolewa taarifa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Mei 31, 2021 Lazarus Msimbe alizaliwa Desemba 27...
  16. Z

    Napendekeza barabara ya Morogoro ikikamilika ipewe jina la Hayati Magufuli

    Ili kuenzi Jitihada za Hayati Magufuli katika upanuzi wa barabara ya Morogoro kuanzia Kimara mwisho hadi maeneo ya Kibaha kwa njia 8, endapo ujenzi wa barabara hiyo utakamilika napendekeza kwa heshima na kwa kuzingatia jitihada kubwa aliyoifanya Hayati Magufuli basi barabara hiyo iitwe...
  17. beth

    Jaji Warioba: Tanzania imepiga hatua, lakini bado tuna matatizo makubwa

    Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA) Jaji Mstaafu Joseph Warioba amesema tangu Uhuru, Tanzania imepiga hatua kubwa mpaka kuingia Uchumi wa Kati lakini bado yapo matatizo hasa katika eneo la umasikini. Akizungumza katika Mdahalo wa Kumbukizi ya Kitaifa ya Hayati Edward Sokoine uliofanyika...
  18. Miss Zomboko

    Morogoro: Watu 3 wakamatwa kwa tuhuma za kufukua maiti na kunyofoa viungo

    Watu watatu wanashikiliwa na Polisi mkoani Morogoro kwa tuhuma za kufukua mwili wa Rehema Michel, aliyezikwa Jumapili na kutoa viungo mbalimbali ikiwamo kichwa, figo na sehemu za siri. Mwili wa marehemu Rehema ulizikwa kwenye makaburi ya familia katika Kijiji cha Nguyami, Kata ya Idibo wilayani...
  19. Corticopontine

    Kipande cha SGR Morogoro to Makutupora 61%

    PICHA: Kazi za ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha Morogoro – Makutupora, Dodoma (KM 422) zinaendelea ambapo Ujenzi wa kipande hicho umefikia 61%. Ujenzi wa Reli hiyo ya Kisasa unatarajiwa kuwekwa mifumo ya kisasa ambayo itamdhibiti mwendeshaji wa Treni kutovuka spidi iliyowekwa. ====...
  20. T

    Nijuzeni bei za karoti na kabechi Dodoma, Morogoro na Dar

    Mliopo Dodoma Dar na moro naomba uzoefu wenu nataka kujua bei za karoti kwa kigunia na kabechi mwezi wa 11. 12 na januari huwa inacheza vipi ? Nampango wa kupanda zitoke hio miezi kwa hio naomba kujua na ikiwezekana kama kuna wadau/ dalali wa sokoni wani pm tufanye makubaliano. Nipo Njombe
Back
Top Bottom