Plot4Sale Shamba kubwa la kilimo Mvuha Morogoro

Ramon Abbas

JF-Expert Member
May 4, 2021
1,964
3,900
shamba Liko mvuha morogoro ni eka 49 kila eka laki 5 na nusu ila maongezi yapo

wilaya ya morogoro liko mvuha njia panda kusini kwenda ngerengere chalinze Dar nasaka 4, kushoto matombo mkuyuni morogoro masaa 2,kulia dutumi kisaki stiglas masaa 2 ni eka 49

lina hati yakimila limepimwa na GPS limelimwa mara 2 tu ilikua shamba pori limesafishwa kwenda mto ruvu ni kilometa 1 na nusu

mawasiliano: 0683011003
 
IMG-20210812-WA0011.jpg
 
Piga simu 0683011003 tuongee biashara

shamba ni potential sana kwa kilimo cha

miwa

mpunga

mahindi

Kuna kiwanda cha sukari kiko mbioni kuanzishwa na wenye mradi wanafadhili wakulima ili walime miwa kwa wingi na kuuza kiwandani.

IMG_20210809_083403_140.jpg
 
shamba Liko mvuha morogoro ni eka 49 kila eka laki 5 na nusu ila maongezi yapo

wilaya ya morogoro liko mvuha njia panda kusini kwenda ngerengere chalinze Dar nasaka 4, kushoto matombo mkuyuni morogoro masaa 2,kulia dutumi kisaki stiglas masaa 2 ni eka 49

lina hati yakimila limepimwa na GPS limelimwa mara 2 tu ilikua shamba pori limesafishwa kwenda mto ruvu ni kilometa 1 na nusu

mawasiliano: 0683011003
Karibuni sana
 
Back
Top Bottom