Habarini za leo wanaJF
Niliombwa na baadhi yana JF kutoa ushuhuda wangu kidogo jinsi nilivyopambana kutafuta mali za mjerumani mkoani Morogoro. Hii ni baada ya kuona nikichangia baadhi ya thread kuhusiana na matukio hayo. Ni matukio ya kweli
Ndugu wana JF kwa wale wanaopenda kufuatilia habari...
shamba Liko mvuha morogoro ni eka 49 kila eka laki 5 na nusu ila maongezi yapo
wilaya ya morogoro liko mvuha njia panda kusini kwenda ngerengere chalinze Dar nasaka 4, kushoto matombo mkuyuni morogoro masaa 2,kulia dutumi kisaki stiglas masaa 2 ni eka 49
lina hati yakimila limepimwa na GPS...
Shamba limelimwa mara mbili ni safi
hati ipo ya kimila.
kila eka ni laki 5 na nusu
MAELEZO YA SHAMBA
wilaya ya morogoro liko mvuha njia panda kusini kwenda ngerengere chalinze Dar Masaa ma4, kushoto matombo mkuyuni morogoro masaa 2,kulia dutumi kisaki stiglas masaa 2
lina hati ya kimila...
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Chongolo, pamoja na sekretariati ya CCM Taifa Pamoja na viongozi wa serekali na Chama Mkoa wa Morogoro leo tarehe 10/08//2021.
Wanatembelea mradi wa treni ya mwendo kasi(SGR) kipande cha stesheni ya Morogoro Kilosa - Dar es Salaam
#KaziInaendelea
#ChamaImaraSerikaliImara
Kumekuwa na ukandamizaji, unyanyasaji na upigaji mkubwa sana wa pesa katika kata za mchombe na Mngeta kupitia mradi wa maji Lukicha! Pesa ya mfadhili pamoja na 10m alotoa Mh. Lwakate -marehemu imetumika kujenga katangi kadogo hata 5m hazifiki!
Mbali ya upigaji huu mkubwa wa ujenzi wa tangi la...
Wananchi wenye hasira wamewashambulia watumishi wa Ardhi kutoka wilaya ya Mlimba na kuchoma magari, pikipiki pamoja na vifaa vyao vingine wakati wakiendelea na zoezi la uhakiki wa mipaka ya mashamba yanayogambaniwa na muwekezaji na wananchi wilaya ya Mlimba, Morogoro.
Watumishi wa ardhi...
Moto mkubwa umeunguza na kuteketeza kituo kikubwa kabisa chenye mitambo maalumu ya kupokea, kupoza na kusambaza Umeme kuelekea Mikoa ya Morogoro, Dar es salaam, Tanga na Kilimanjaro
Moto huo bado haujazimika hadi sasa na juhudi za kuuzima zinaendelea
Hadi sasa chanzo cha moto huo hakijulikani...
SIKU Moja baada ya Mbunge wa Jimbo la Mlimba Mkoani Morogoro, Godwin Kunambi kutembelea Daraja la Mto Mngeta lililogharimu Sh Milioni 30 hatimaye Meneja wa Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA), Wilaya ya Kilombero ametolea ufafanuzi gharama za ujenzi huo.
Mhandisi Robert Magogo ambaye...
PICHA YA SIKU: Hili ni Daraja jipya katika Mto Mngeta uliopo katika mji wa Mlimba wilayani Kilombero.
Daraja hili limejengwa kwa miezi 7 kwa thamani ya shilingi milioni 31, na limejengwa kwa miti.
Pichani ni mbunge wa jimbo la Mlimba, Godwin Kunambi, akikakagua mradi.
askofu
askofu gwajima
daraja
gwajima
habari
kwanza
mambo
mamlaka
mbunge
miradi
miti
mlimba
morogoro
msingi
nchi
picha
tanzania
tarura
ujenzi
uvccm
wataalam
Wadau wasalaam!
Nataka kuanza kilimo kikubwa maeneo ya kisaki, morogoro. Natafuta shamba la kununua eka 50 mpaka 200. Naomba offer au ushauri kwa yoyote mwenye ufahamu wa eneo hili.
Asanteni.
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema Treli ya Abiria imepata ajali saa tatu asubuhi July 22, 2021 baada ya Lori kuigonga Treni hiyo katika eneo la Kambi moa Godegode, Morogoro na kupelekea majeruhi 21 ambapo Wanaume ni 13 na Wanawake 8 na kifo cha Dereva wa Lori ambaye jina lake ni Gerald...
SEKTA: MAENDELEO NA TEKNOLOJIA
Historia Fupi yakweli:
Mnamo Sept 6 2017 saa 6 kasoro mchana, Mimi mwandishi nilipata janga la moto. Ilikuwa ni safari ya Dar Es Salam kwenda Arusha kwa basi la kampuni ya “LIM SAFARI’S” lilishika moto eneo la MANGA. Uhalisia moto ulianza mdogo sana lakini...
Imezoeleka mvua kunyesha kati ya Oktoba- Januari na Machi - Mei kila mwaka, na Juni - Septemba kuwa kipindi cha vumbi jingi, lakini imekuwa tofauti hivi sasa mvua kubwa inanyesha usiku huu hii ni ishara ya kuwepo mabadiliko ya tabia nchi.
Wakuu ,
Kuna miaka morogoro Kuna Jambazi alisumbua alikuwa anaitwa Kitenga, nakumbuka alipokufa watu walikusanyika pale mortuary ya hospitali ya mkoa kwenda kumshuhudia kama ni yeye au la.
Mwenye kukumbuka historia yake atumegee kidogo, japo me nilishuhudia maiti yake, but sikumbuki matukio...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Julai 8, 2021 anashiriki Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya siku Mbili Mkoani Morogoro.
Updates:
Salamu za wanawake wa CCT
i) Ukatili kwa kijinsia
Tunakushukuru kwa jitihada na...
RAIS Samia. Morogoro tunashida hizi;
KIWANDA CHA MAZAVA KUFUNGWA
Kiwanda hiki kilikuwa kinatengeneza nguo(jezi), kiliajiri zaidi ya watu elfu kumi(10000)
Kwa sasa kimefungwa kwa kile kinachoelezwa kuwa kutokuelewana na serikali ya awamu ya tano katika suala la ulipaji kodi.
Kimsingi hakuna...
Wakuu salaam,
Leo Julai, 7 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwasili mkoani Morogoro kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku mbili katika maeneo ya Msamvu manispaa ya Morogoro, Dumila wilayani Kilosa na wilaya ya Gairo.
Aidha Mkuu wa mkoa wa Morogoro...
Kuna viongozi hawa wawili toka kwenye eneo hilo wamekuwa kero kubwa sana kwa wananchi wa eneo husika.
Maeneo haya mawili yapo kwenye tarafa moja na wilaya moja.
Ndg. Nchimbi ndiye mkuu wa Tarafa hiyo, lakini utawala wake ni wa fimbo ya chuma akishirikiana na polish dumila na wana CCM wa eneo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.