Hakika Siku zote Wakatoliki ndiyo huwa tunaanza kwa Kuonyesha njia na wengine Wanaiga.
Leo kama Kawaida nikiwa Ibadani Morogoro katika Kanisa langu Kuu la Katoliki la Mtakatifu Patrick ( Patrice ) nimeweza kufurahishwa tena na aina ya Ubunifu na Utaratibu wa Kiimani na Kiibada.
Ni kwamba mara...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuna mwekezaji amejitokeza ili kukifufua kiwanda cha tumbaku kilichopo Morogoro ambapo amesema kufufua kiwanda hicho kutakuza uhitaji wa soko la tumbaku na kuwataka wakulima wa tumbaku kuendelea na kilimo hicho.
Ameyasema hayo mkoani Tabora akizindua Barabara ya...
Moto usiothibitishwa chanzo chake umewaka ndani ya benki ya Nmb Morogoro.
Moto huo wa ajabu inasemekana ulikuwa unasaka makasha yenye pesa ili uyaunguze na km unavyoona kwenye hiyo video fupi tayari unamhangaisha askari moto kuuzima kibabe ilhali wenyewe ungali na hamu na kuunguza hela 😄...
Kwenye maadhimisho ya Mei Mosi nilisikia kitu cha ajabu sana kwenye risala ambacho naamini Muheshimiwa Rais hakukisikia vizuri kwani hakukitolea maoni yake.
Hivi inaingia akilini eti mfanyakazi wa shirika binafsi (Private) aliyekuwa anachangia michango yake kikamilifu huko NHIF akistaafu...
Nimependa hoja zilizotolewa na mkazi wa Morogoro kuhusu kupanda kwa bei za mafuta.
Watanzania wote tungekuwa na uelewa kama wake, hakika tungeacha kueneza uzushi juu la suala hilo kwa kuwa kupanda kwa bei za mafuta ni tatizo la dunia nzima na siyo Tanzania pekee.
Diwani wa CCM kata ya Uwanja wa Taifa mjini Morogoro, Rashid Matesa ajeruhiwa baada ya kupigana na mwenyekiti wa CCM kata hiyo, Athumani Mswagala kwenye kikao cha chama kwa kinachodaiwa kupinga hoja ya mwenyekiti wake kutaka viongozi wawili wajadiliwe kutokana na utovu wa nidhamu
Nimekutana na heading kwenye gazeti la The Citizen akiitaka AfDB kuisaidia Tanzania kwenye sekta ya kilimo hususani kilimo cha umwagiliaji. Mwamba huyu yupo.Ni hayo tu.
Napenda kumtaarifu RTO wa Morogoro kuwa kuna trela la semi limetelekezwa tangu Jumamosi last week mpaka jana usiku mbugani mikumi kama kilomita 15 kutoka mjini, trela hilo halina alama zozote za tahadhari, halina reflective stickers wala triangle, tumepita hapo jana majira ya saa 2 na bus nusura...
Kuna taarifa za kufariki mama mjamzito ambaye pia ni nesi. Mdada Huyo alifia hospitalini baada ya madaktari kumuonyesha Kwenye mashine kwamba mtoto wake hachezi na ameshakufa. Mbaya zaidi dada Huyo ni mtu wa medical kwahiyo alipoona tu Kwenye scrini kwamba mtoto wake kafa akapatwa na bp nae...
Serikali ndio mtetezi wa wanyonge dhidi ya matapeli papa wanaodhulumu wanakijiji ardhi yao, hawa ndio wanazua migogoro mikubwa sana kati ya wananchi, na kati ya serikali na wananchi. Nashauri wizara ya ardhi iunde timu ikachunguze na Kisha ichukue hatua ya kurudisha ardhi hiyo kwa wanakijiji...
Habari za humu ndani wakuu, kama heading inavyojieleza mimi nipo morogoro mjini ninayo cherehani ila nina majukumu mengine yanayonibana,natafuta mtu aliye serious na kazi na anajua kushona vizuri nimkabidhi cherehani kwa makubaliano maalumu tuweke kijiwe tupige kazi.
mwenye uhitaji huo nicheki...
Habari,
Elimu yangu ni Degree natafuta kazi yoyote halali. (Kama kusimamia biashara/ofisi, duka, supermarket etc)kwa mkoa wa Morogoro au sehemu nyingine.Yeyote mwenye connection ya kazi naomba anisaidie hata kama kutakuwa na malipo ya pesa.
Asanteni
Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro linamshikilia mpigadebe wa mabasi ya Abood Abdilah Yassin (32) mkazi wa Kihonda Manispaa ya Morogoro kwa tuhuma za kumuua mpiga debe mwenzake wakati wakigombea abiria kwenye stendi kuu ya mabasi Msamvu.
---
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linamshikilia Abdilah...
Nilipokuwa ziarani Morogoro nilijulishwa kuwa, hakuna mashine/gari au niseme kampuni hata moja iliyopo mjini Morogoro yenye gari la kuchimba visima
Nilichokikuta pale ni madalali ambao hupatana na mteja halafu wao huenda kukodisha mashine/gari la kuchimba huko DAR na hivyo kufanya bei ya...
Bondia wa Tanzania Twaha Kassim Lubaha anapambana na Alex Kabangu kutoka Congo DRC kushindania mkanda wa UBO Super Middle weight, African Title ambao hauna mwenyewe
===================
Twaha Kiduku ampiga Alex Kabangu, ashinda Mkanda wa UBO, Mkoani Morogoro
Bondia Mtanzania Twaha Kiduku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.