morogoro

  1. Stephano Mgendanyi

    Kenani Kihongosi amuwakilisha Daniel Chongolo kwenye Msiba wa Mke wa RC Martine Shigela

    Ndugu Kenani Kihongosi (Katibu Mkuu UVCCM) amuwakilisha Ndugu Daniel Chongolo (Katibu Mkuu CCM) Msiba wa Mke wa RC Morogoro, Mhe Martine Shigela. Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Cde Kenani Kihongosi akimuwakilisha Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu...
  2. Mr Dumila

    Umeme Dumila umekuwa kero iliyopitiliza toka Novemba 2021

    Dumila ipo Mkoani Morogoro kiukweli hali ya upatikanaji wa umeme ni mbayaa kupitiliza. Sio kwamba ulikuwa haukatiki kipindi cha mwendazake la hasha ulikuwa unakatika sana tu ila awamu hii imepitiliza Alipoingia January Makamba hali ndio imezid kubadilika yaani umeme unaweza katika siku 5...
  3. Mohamed Said

    Kumbukumbu ya kesi ya Sheikh Ponda 2015

    KUMBUKUMBU YA KESI YA SHEIKH PONDA MOROGORO 2015 ''Allah ni Mjuzi Allah na ni Mbora wa kulipa. Sheikh Ponda utayakuta malipo yako kwa Allah yakiwa makubwa kwa subra na ustahamilivu kwa ajili ya dini yake. Hukuwa tayari kuuza uhuru wako kwa matakwa ya wenye kudhulumu. Muda wote ulitutia moyo...
  4. Faana

    Kamati ya Ulinzi na Usalama Morogoro, simamieni viwango vya makanisa yanayojengwa kwa nguzo za miti na mbao bila kuta za matofali

    Napenda kuishauri Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Morogoro, kuchukua tahadhari na kusimamia viwango vya makanisa yanayojengwa kwa nguzo za miti na mbao bila kuta za matofari. Jana 16.01.2022 majira ya asubuhi karibia na ibada kuanza Kanisa la Nabii Joshua Lililopo Kihonda Yespa...
  5. lwambof07

    Majaribio ya treni ya treni ya umeme Dar-Moro kuanza Aprili 2022

    [emoji397] [emoji577][emoji588][emoji588][emoji588][emoji588][emoji588][emoji588][emoji588][emoji588][emoji588]
  6. Mohamed Said

    Siku moja na Sheikh Ponda Mahakamani Morogoro 2015

    SIKU MOJA NA SHEIKH PONDA MAHAKAMANI MOROGORO Miaka saba iliyopita siku kama ya leo. Siku nyingi zilikuwa zimepita sijamuona Sheikh Ponda si kwa kuwa alikuwa kifungoni mahabusi bali nilikuwa nje ya Dar es Salaam kwa muda mrefu. Nikaamua kwenda kumuona mahakamani Morogoro kesi yake ilipokuwa...
  7. kimsboy

    SGR Dar - Moro imeishia wapi? Au ilikua Sinema ya Kihindi?

    Hiyo SGR haikamiliki tu jamani? Hadi leo ni propaganda tu zimebaki mara 2019 itakua tayari,mara 2020 mwezi wa 5, mara August 2021, mara November 2021, mara january 2021,mara august 2021, mara November 2021 Kinara wa hizo propaganda ni majaliwa Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye...
  8. B

    Morogoro: Vilio na simanzi vyatawala mwili wa mwanafunzi wa SUA aliyeuawa

    Vilio na Simanzi vimetawala wakati wa ibada ya kumuaga Mwanafunzi ambaye amehitimu katika Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) mkoani Morogoro, Magreth Mashuwe aliyeuawa na watu wasiojulikana katika mashamba ya chuo hicho hivi karibuni huku chanzo kikikwa bado hakifahamiki. Ibada hiyo...
  9. kagoshima

    Kuna baadhi ya vituo vya mafuta Morogoro hawatoi receipts

    Huu ni uhujumu uchumi, SUMATRA na TRA chunguzeni. Kuna vituo vya mafuta ya petrol na diesel hapa Morogoro wameacha kutoa receipts ili kuikosesha serikali mapato. Chunguzen sitovitaja vituo husika kwani mnalipwa mishahara kwa Kazi hiyo. Sasa basi kama kuna baadhi yenu wana colude na wamiliki wa...
  10. Requal

    Aliyeko Black & white Morogoro muda huu ani - DM tuinjoy free

    Wadau mlioko kiwanja hiki, black & white DM tupombeke free
  11. Kamanda Asiyechoka

    Picha: Miaka 60 ya uhuru viongozi wa CCM wakikagua shule iliyojengwa kwa nyasi mkoani Morogoro

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro Bi. Dorothy Mwamsiku akiwa ameambatana na Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Morogoro Ndugu Anthony Mhando, ametembelea Shule Shikizi Lukande, Wilaya ya Ulanga. https://t.co/S87ZMyXNjU
  12. ramsojuma

    Nitapataje kazi za viwandani Morogoro?

    Habari ndugu zangu, Naomba mnisaidie kwa mkazi wa morogoro kupata tips za nafasi ya kazi katika viwandani,kwa aiyeoko morogoro na anajua nafasi zinapatikani anijuze
  13. Erythrocyte

    Picha: Chadema Digital yafika Malinyi, Morogoro

    Pamoja na kwamba huu ni msimu wa kilimo lakini Wananchi waliamua kusitisha kulima kwa muda kwa ajili ya Uhai wao, ikumbukwe kwamba siasa ni Uhai.
  14. Z

    MORUWASA Morogoro na ufisadi wenu na wanasiasa

    Kama kawadia yangu napenda kula raha kila wakti noti zikijaa mfukoni. Jana nilikuwa Morogoro kwenye hotel ya Mbunge Shabib, inaitwa MORENA, njiani kabisa pale Msamvu. Hotel Porsche sana! Kilichonishangaza, maji ni ya kumwaga ukilinganisha na maisha yetu ya Dar. Lakini pia Moro maji ni shiiida...
  15. Hon John Joseph

    Mkuu wa wilaya ya Morogoro, Albert Msando apongezwa kwa utendaji kazi

    Mkuu wa wilaya ya Morogoro Mhe. Albert Msando amepongezwa kwa utendaji kazi wake kuwa kwa kipindi kifupi umeleta mabadiliko mazuri kiutawala na hasa katika kuwaletea maendeleo wananchi na wakazi wa wilaya ya Morogoro Mjini. Hayo yamezungumzwa na Waheshimiwa Madiwani katika kikao Cha Baraza la...
  16. T

    Wanafunzi kidato cha 5 na 6 Morogoro Sekondari hawana maji, Wagoma kuingia darasani

    Deni kubwa maji toka Moruwasa limesababisha shule ya sekondari Morogoro kukosa maji. Kwa zaidi ya mwaka sasa wamekuwa wakitumia maji ya kisima kilichochimbwa na taasisi moja ya kiiislam, yenye maji chumvi ambayo hutumika hata Kwa kunywa. RAS Morogoro amuru moja toka Moruwasa litatue tazizo...
  17. K

    TANESCO Morogoro kila siku umeme kukatika, kwanini?

    Kama tujuavyo, bila nishati ya umeme shughuli nyingi zinakwama. Umeme kukatika siku nzima ni hasara kubwa sana kwa Taifa. Leo Morogoro hakuna umeme tangu asubuhi hadi sasa. Namna hii uchumi wa mkoa na wa watu binafsi unaathirika sana. Inawezekana umeme haukatwi makusudi ila kama kuna hitilafu...
  18. Superbug

    Morogoro a sleeping giant

    Morogoro is a sleeping giant, Such a town to sleep at 10:40 is an absurd yet you want to be awarded city status! Noooo big nooo
  19. opondo

    Wapi nitapata mchele kwa bei nzuri Morogoro?

    Naomba kuuliza wapi nitapata chimbo la mchele mzuri maeneo ya Morogoro. Mimi ni graduate nimejipiga piga nimepata mtaji kidogo around 600k (laki sita) soko la kuuza Dar nimepata maeneo ya Tandale Sokoni nilikua naomba kufahamishwa chimbo la Mchele kwa Morogoro. Nilikua nafikiri niende mbali...
  20. Superbug

    Morogoro: Kuna sehemu kunajengwa msikiti mkubwa unaopakana ukuta na kanisa, Je hii imekaaje?

    Manispaa ya morogoro Kuna eneo nadhani ukitoka hospital kubwa Kama unaelekea bigwa Kuna sehemu mkono wa kulia Kuna kanisa Kama sio yehova ni sabato; kanisa Hilo linapakana ukuta tu na eneo linapojengwa msikiti mkubwa Sana. Sasa naomba mamlaka husika za kiserikali zitolee ufafanuzi kwamba...
Back
Top Bottom