morogoro

  1. APPROXIMATELY

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa bei ya chumba na fremu Morogoro Mjini na maeneo mengine nje ya mji

    Naomba kujua bei za frem na chumba kwa morogoro, na maeneo yote ya moro,sehemu palipo chagamka. Sehemu ambapo unaweza kufanya bishara ya library ya movies,biashara ya nguo,gesi,n.k Natanguliza shukrani👏👏👏
  2. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Zaidi ya Watoto 100 wakosa elimu kutokana na kitongoji kukosa shule

    Zaidi ya Watoto 100 wa Kitongoji cha Maloweke Wilayani Gairo wamekwama kupata elimu ya shuleni licha ya kuwa na umri wa kwenda shule kutokana na kukosekana kwa shule katika eneo wanaloishi. Inaelezwa shule za karibu zipo umbali wa kilometa 11 kutoka eneo, hali inayowapa ugumu Watoto kutembea...
  3. Kibenje KK

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji ambao hautakuangusha ni kuwekeza kwenye Ardhi, haiozi na inapanda thamani kila siku. Kwa sasa mkoa wa Pwani ni deal hasa Morogoro road.

    Eneo lenye ukubwa wa heka 45 linauzwa eneo lipo mkoa wa pwani vigwaza visezi barabara ya kuelekea bandari kavu eneo ni zuli kwa kujenga yard gereji na Mambo mengine bei kwa kila heka moja mil 3 tu kutoka barabara ya zege miter 400 tu maji umeme vipo hapo Eneo lingine lipo mkoa wa pwani pia...
  4. coockie monster

    JamiiForums Tanzania Sehemu Gani nzuri Morogoro ya kula supu, bia na nyama choma

    Wazee kibunda kipo na nishafika Moro,ntalala hapa Ili kesho mchana niondoke kuja dar sasa nawaza hiki kibunda changu nikitumie wapi? Nipo na girlfriend wangu.
  5. Poker

    JamiiForums Tanzania Morogoro ndio mkoa uliotoa vipaji vingi Tanzania kuliko mikoa mingine.

    Mkoa wa morogoro ndio tunu ya sanaa, burudani na michezo. Huo mkoa umetoa vipaji adhimu na adimu sana na ndio tegemeo kubwa kwa taifa kwenye kuzalisha burudani na michezo. Hapo Morogoro wametoka akina Albert Mangwea, mbaraka mwinshehe, twaha kiduku, francis Cheka, shomari kapombe n.k. Huwezi...
  6. wizardxp

    JamiiForums Tanzania Wizi wa laptop na simu ndani ya mabasi Morogoro

    Kumekua na wizi wa laptop na simu ndani ya mabasi pale Morogoro pindi watu wakishuka kwenda kutafuta chakula. Mara nyingi hutokea kwa mabasi yanayopita muda wa jioni, zaidi hutokea kwa mabasi yanayotoka Dodoma. Nimeona sio vizuri kutaja aina ya mabasi hayo. Nini kifanyike kupunguza kero kama hiyo?
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Njia 4 Kibaha - Morogoro itakuwa na Tozo

    Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Godfrey Kasekenya amesema TANROADS imetangaza zabuni ya ujenzi wa barabara ya njia 4 kutoka Kibaha hadi Morogoro ambayo itajengwa kwa utaratibu wa Engineering, Procurement, Construct and Finance (EPC + F). Kasekenya alisema gharama za ujenzi wake zitatolewa...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji usafiri wa kusafirisha mizigo(vitu vya nyumbani) kutoka Magu Mwanza kwenda Morogoro

    Wakuu naomba koneksheni ya kuweza kusafirisha mizigo ya nyumbani kutoka Magu Mwanza kwenda Morogoro. So nahitaji gari ya mizigo inayopita hapa Magu kuelekea Morogoro au Dar..
  9. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Abiria wa Basi la Shabiby tulalamikia huduma mbovu za hoteli Morogoro tunaomba mbadilishe haraka hoteli

    Sisi abiria tunaosafiri na Basi la Kampuni ya Shabiby kati ya Dodoma na Dar es Salaam tunayo malalamiko yetu makubwa kutokana na huduma mbovu mjini Morogoro ambapo basi la Shabiby husimama kwa ajili ya huduma ya chakula na kuchimba dawa. Mazingira ya hoteli hiyo ni machafu sana na hayaendani na...
  10. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Wawili mbaroni kwa Uhalifu wa Kutumia vilevi kwa Wanawake

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Kamishna Msaidizi Mwandamizi (SACP) Fortunatus Musilimu, alikiri jana kukamatwa kwa watu hao kwa nyakati tofauti kwa madai ya kujihushisha na vitendo hivyo kwenye mikoa mbalimbali nchini ikiwamo Morogoro, Dodoma, Mwanza na Dar es Salaam. Baada ya kuwafanyia...
  11. and 998 others

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazazi hawataki nioe binti kutoka Mgeta - Morogoro

    Wakuu nimekuwa kwenye mahusiano na binti kutoka Mgeta - Morogoro. Sasa wazazi hawataki kusikia kabisa hii habari.
  12. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jinamizi Morogoro: "Wala wala" yawatesa

    Awali mtoto wa kike hutakiwa kutokuondoa nywele zilizopo katika sehemu za siri kwa muda wa miezi mitatu, kisha huwekwa ndani kwa muda wa mwezi mmoja wakifanyiwa mambo ya kiutamaduni. Baada ya hapo sherehe kubwa hufanyika ikiambatana na Unyoaji wa nywele hizo kwa mfumo wa unyonyoaji huku majivu...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kelele za Aweso kwenye Maji hazina uhalisia Morogoro

    Hali ya upatikanaji wa maji safi Morogoro mjini na viunga vyake imeendelea kuzorota siku hadi siku kwa zaidi ya miaka miwili sasa licha ya sifa kama si misifa tele kwa wanaoongoza sekta hii nyeti.
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Omari Kipanga ameutaka uongozi wa chuo cha Ualimu wa Ufundi Stadi (VETA) kuhakikisha ujenzi wa mabweni unamalizika

    Na WyEST, MOROGORO Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omari Kipanga (Mb) ameutaka uongozi wa chuo cha Ualimu wa Ufundi Stadi (VETA) Morogoro kuhakikisha ujenzi wa mabweni kwa ajili ya wanafunzi chuoni hapo unamalizika ifikapo tarehe 1 Septemba mwaka huu. Mhe. Kipanga ameyasema...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Acheni 'Double Standards' utampelekaje Fatma Nyangasa Morogoro badala ya 'Kumpromoti' Albert Msando ambaye kafanya Makubwa huko?

    Natembea sana na ukiniuliza leo hii kuwa tokea Fatma Nyangasa ateuliwe kuwa DC Kigamboni kuna kipi cha maana alichofanya jibu langu la haraka nitakujibu hakuna. Ila ukiniuliza leo hii tokea Albert Msando ateuliwe kuwa DC Morogoro na kafanya nini huko ( ukizingatia GENTAMYCINE ) nilikuwa huko...
  16. Kiteitei

    JamiiForums Tanzania Foleni Morogoro Road

    Hali ni mbaya usiku wa Leo kwa wasafiri wanaotumia barabara ya Morogoro, tangu saa mbili jioni hii tuko eneo la mikese gari hazisogei, sijui huko mbele kuanzia Dar hali ikoje
  17. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania Hadi 2030 Morogoro itakuwa na maji 100%

    Serikal ya Rais Samia Suluhu imeidhinisha Sh. Bil 56 kwa mkoa wa Morogoro katika mikataba 46 ya miradi ya maji vijijini ili kuhakikisha lengo la asilimia 85, linafikiwa ifikapo mwaka 2025 kuodoa changamoto ya uhaba wa maji. Meneja wa Wakala wa Maji Vijijini (RUWASA) mkoani Morogoro alikaririwa...
  18. Old Woman

    JamiiForums Tanzania Matapeli wa ardhi Morogoro wanatamba wanavyotaka kwakuwa wanashirikiana na baadhi ya watumishi wa Serikali

    Naam hili halina ubishi. Morogoro kumekuwa na migogoro mingi sana ya ARDHI ambapo chanzo ni matapeli kuuza maeneo ya watu. Matapeli wa Morogoro wanatamba Wanavyotaka na wanatapeli pesa nyingi sana kupitia kuuza maeneo ya watu, wamekuwa na kiburi Kwa vile mgao wanapeleka Kwa wakubwa wa polisi...
  19. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Watoto watelekezwa na wazazi wao Morogoro. Mahusiano ya wazazi yanavyoweza kuathiri watoto

    Watoto watelekezwa na wazazi wao Morogoro, DC atoa maagizo Mkuu wa Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro, Ngollo Malenya, ameagiza kukamatwa kwa wazazi wawili, Thomas Ulanda na Adelyda Nakashawa kwa kuwatelekeza watoto watatu huku mmoja anayesoma kidato cha nne akiwa ndiye anayewahudumia wenzake...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Morogoro: DC Ngollo Malenya anawasaka Wazazi Waliotelekeza watoto 3 Ulanga

    Mkuu wa Wilaya ya Ulanga Mkoani Morogoro, Ngollo Malenya ameagiza kukamatwa kwa Wazazi wawili Thomas Ulanda na Adelyda Nakashawa na kufikishwa kwenye vyombo vya kisheria baada ya kuwatelekeza Watoto wao watatu Emerinda Thomas Ulanda (17) Christina Ulanda (13) na Slyvia Ulanda (9) wanaoishi...
Back
Top Bottom