Brave_Idiot
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 209
- 368
Jamani mwenye working idea ya kumake money online aishushe hapo chini. Sio uweke zile za ata tukisearch google tunaziona. I mean working ideas, like una specify niche au product au service inayouzika na soko husika, mtaji needed, risk and much more 🙏🙏🙏