Mna (Georgian: მნა) is a village in the Truso Gorge, part of the historical region of Khevi, north-eastern Georgia. It is located on the left bank of the Tergi tributary river – Mnaisistskali. Administratively, it is part of the Kazbegi Municipality in the Mtskheta-Mtianeti region, known as mkhare in Georgia. Distance to the municipality center Stepantsminda is 29 km (18 mi).
Nyie leo nimechemka kwa hasira mtu aje vizuri bila hivyo nitampiga kichwa cha pua😠😠
hivi kwanini nyie wanaume wengi wenu adabu hamna, unamuheshimu mtu vizuri tu na kumuita majina kama kaka, anko, baba, mwisho wa siku anakuja kukutongoza tena mchana kweupeeee tena live hata hapepesi macho...
Natarajia lile deni la taifa trilioni 114 litafika trilion 900 kama watafikisha 2030.
Nguvu kubwa na pesa zinazowekwza kujionesha hawana tatizo na kulipa watu hata kuwapandia dau ili mradi kupunguza joto.
Hali hii sasa inaonyesha wazi walipofikia ni wazi wakabizi nchi kabla ya kuzidi kujitia...
Habari za mida hii?
Nina mtoto ana miaka miwili na nusu. Sasa,j'nne niliingia mtandaoni ili nifanyie mchakato wa kupata cheti chake Cha kuzaliwa. Niliambatanisha viambata viwili kama ilivyoekekezwa kwenye mtandao wao(eRITA)
Niliambatanisha kitambulisho Cha kwangu Cha NIDA kama baba na kadi ya...
Watuambie kuwa bunge ni kikundi cha watu wachache.
Leo uwezi kuuliza CV za mtu yoyote bila kupata kwenye tovuti ya bunge.
Uchafu wa nchi imefikia kila tovuti kuficha taarifa ya yoyote hata idara.
Mfano nilitaka kujua kama ndo mimi mfano nipo UN.
Miaka miwili iliyopita nilikuwa penzini na bidada mmoja na ukweli n kwamba kipindi kile sikuwa vzr kiuchumi
Sasa huyu bidada alinidharahu na kuniona kuwa Mimi sio type yake
Aliwahi kunitamkia kuwa yupo na Mimi ila Kuna idadi kubwa ya wanaume wanamfuata kumtongoza , hii kauri ilinifanya...
Hali zenu wafuasi wa hili jukwaa la MMU... kama kawaida yangu, nimetenga miezi hii mitatu nifanye research kuzunguka kumbi baadhi za starehe na zile ambazo kuna dada poa wanaojiuza. Ile barabara ya Mandela road nimepita mno ila sikuwahi kufika pale R Side in particular... Nimesikia mengi mno...
Siku hizi viongozi wa chama na serikali wamekuja na mtindo wa kuandaa mashindo na challenges mbalimbali za kimifumo, andiko nk
Na lengo la mashindano hayo wao wanasema ni kulenga kutatua changamoto zinazolikabiri taifa letu mfano wa challenges zilizowahi kufanyika ni pamoja na...
Naomba niwapongeze bodaboda wote walifatilia watekaji kama wasingekuwa wao Djumbe tusingemuona tena bodaboda mmefanya jambo la ujasiri sana kuhatarisha maisha yenu Mungu atawalipeni watekaji walifyatua risasi lakini mlinusurika wote
Djumbe kapata upenyo ameoka nafsi yake kutoka kwa watekaji...
Wakuu, achaneni na mambo ya siasa na uchumi, njoeni hapa pande za ChitChat tupige story za ukweli.
Leo nataka tuongee kuhusu hawa viumbe wa ajabu wanaoitwa "Vibenten" na "Mamarioo." Nitaongea lugha kipimo chao.. Nisamehewe😂
Hivi nyie wavulana wa hovyo mna akili timamu kweli au mmerogwa na...
Wanaosema matumaini na tume! Je mna matumaini na Mama! Ile ya jinai ilikuwaje?
Hata tume iseme nini kama hakuna utekelezaji na Mama akaendelea kudanganya na kujidanganya hii tume itakuwa imepoteza muda.
Mtaitwa itasomwa kama ile tume ya jinai halafu hakuna utekelezaji. Hii nchi imetekwa na...
Huyu mama hata hesabu za darasa la pili zinamshinda
Hivi kweli nusu ya laki moja ni 556? Hebu msikilizeni wenyewe
Na bado anaendelea kukopa na hajui hata kuchagua maneno ya busara ya kujustify upuuzi wake
Juzi tu katuambia Marekani mafuta lita moja ni dola 8000 sawa na Tsh milioni 20 😂😂...
Unaishi peke yako. Huna rafiki wa karibu, sasa ikatokea umepata Changamoto ya kiafya kama kuugua Ghafla usiku au kuumia bahati mbaya
Mnawezaje kupata usaidizi wa dharura?
Au ndio ile ku adapt na mazingira?
Eti wazee wa logic na akili nyingi safari hii imekuaje?😂🤣🤣 Akili zote na logic zimehamia kwenye mikuyenge?
Kutwa kucha kuwakamia wanawake kooni, safari hii mwalimu wetu kipofu kahamia huko kwenu? Kabisa unaambiwa mtu kashikwa bega mali zikaondoka na wewe mzima mzima huyooooo unaamini, kwa kitu...
Habari wana JF
Kuna kitu nimekuwa nikikiona mara kwa mara kwa wateja wanakuja kuulizia bidhaa dukani.
Mteja baada ya salamu anauliza kwa kutumia wingi, hata kama anahitaji kitu kimoja tu.
Mfano:
•Hivi mna pump za Pedrollo?
•Mna taa za Tronic?
•Mna pipes za PVC?
•Mna switches za umeme?
•Mna...
Hili jambo linaniumiza kichwa sana unakuta mtu anahamasisha tusioe ilihali yeye yumo kwenye ndoa.
Mzee wa kaliua ukimsikiliza mambo yake huko Instagram, yeye na wrngine wana kandia ndoa sana, lakini inasemekana ye kaoa na ana watoto, sasa huku nikuhurumiana kupotoshana?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.