BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,188
- 14,346
Ukiwa na figo nzima ukifa huwa zinasaidia nini huko kaburini?Hii figo hii
Kipara kutoa usaha si ni mapunyeNasikia kipara kinatoa usaha
Acheni ujinga nyie. Hio ndio sura yangu halisi mimi ni bondia.View attachment 3584765Kupima kwenu kwa macho kunawaponza mzungu sio mjinga kuweka vipimo sio kila homa ni malaria
Tonnie professor bingwa wa kugigida vikali vyote unavojua kama double kick, smart gin, kvant, valuer nkWho's this guy...🤔
Ikwapi?Hii figo hii
Vyote tunapiga na bado tupo njema yeye anafeli wapi.!?Tonnie professor bingwa wa kugigida vikali vyote unavojua kama double kick, smart gin, kvant, valuer nk
Ukweli ni kuwa utabibu ni mgumu, hilo tunakubali na tunaheshimu sana taaluma yenu madaktari. Ila kwa watu wanaopenda kushughulisha akili zao zama hizi, kuna mambo mengi mtu anajua, walau theoretically.Baada ya AI kuwepo wamatumbi utabibu wameuona ni kitu rahisi sana
Ndio maana siku hizi kuna antibiotic resistance kibao, mtu aingia tu AI anakimbilia pharmacyUkweli ni kuwa utabibu ni mgumu, hilo tunakubali na tunaheshimu sana taaluma yenu madaktari. Ila kwa watu wanaopenda kushughulisha akili zao zama hizi, kuna mambo mengi mtu anajua, walau theoretically.