RITA Nkasi(Namanyere) KWANINI MNA MAMBO MENGI HIVI?

RITA Nkasi(Namanyere) KWANINI MNA MAMBO MENGI HIVI?

Nyarupala

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2024
Posts
673
Reaction score
1,107
Habari za mida hii?

Nina mtoto ana miaka miwili na nusu. Sasa,j'nne niliingia mtandaoni ili nifanyie mchakato wa kupata cheti chake Cha kuzaliwa. Niliambatanisha viambata viwili kama ilivyoekekezwa kwenye mtandao wao(eRITA)

Niliambatanisha kitambulisho Cha kwangu Cha NIDA kama baba na kadi ya kliniki ya mtoto mwenyewe.

Sasa Cha kushangaza Leo asubuhi napigiwa simu eti Bado kiambata kimoja ambacho nimeambiwa kadi ya kliniki ya ujauzito wa mama wa mtoto. Sasa jamani kadi kliniki ya mjamzito inasaidia Nini hasa kama siyo usumbufu?
 
Ukisikia kenge ndio hao sasa. Ipo siku watadai kipimo cha mimba kuthibitisha kama mimba ilikuwemo.
 
Back
Top Bottom