Mna uhakika Rais Samia amesomea uchumi kweli?

Mna uhakika Rais Samia amesomea uchumi kweli?

Status
Not open for further replies.

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
7,588
Reaction score
15,478
Huyu mama hata hesabu za darasa la pili zinamshinda
Hivi kweli nusu ya laki moja ni 556? Hebu msikilizeni wenyewe

Na bado anaendelea kukopa na hajui hata kuchagua maneno ya busara ya kujustify upuuzi wake

Juzi tu katuambia Marekani mafuta lita moja ni dola 8000 sawa na Tsh milioni 20 😂😂
Nishaanza kuona dalili Tanzania inaenda kuwa failed state.

Bi Mdashi miyeyusho sana
 
Poleni na hongereni mnaofuatilia hotuba zake!
 
kwakwel Rais wenu anatoa maboko siku had siku imefika hatua sisi tunaomsafisha tunashindwa had tumsubir ngirisho msemaj mkuu wa kisiwa atoe ufafanuz ndio nas tutoe madodoki yetu kumsafisha

Kama kawaida yetu huwa tunasema.nyie wananch wa tumbatu vitu vidogo kama hv mnapigaaa kelele lakn ukwel.useme rais wetu la.saba lenyewe hakuhitimu kwa uelewa

Nusu ya lak n 556

Mafuta marekan lita n milion

Yaan mambo ya std4 prezidaa wa tumbatu haweZ kabisa

TUMEYATINDIGANYA WANA TUMBATU KWA KWELI
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom